Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi mojaHilo ni tusi ? Mla MAHARAGE ni mtu tu wakwaida
Yaani unataka TUKUSIKILIZE WEWE na kina Mazinge wanauza mafuta na maji na kina Sharifu majini
Ila manabii wa Mungu tuwapuuze?
Una ushahidi gani kuwa waliviharibu ,ulijuaje waliharibuWalioviharibu ni wayahudi taurat baada ya Nabii Musa kufa na Injil ni baada ya Nabii Isa kufa
Lete ushahidi kutoka kwenye Qur’anUislamu ni dini ILIYOKUWA MANUFACTURED na UROMA ,
Padre Waraq na Sista Khadija mkatoliki ndio waliotumwa kuhakikisha mission inafanikiwa ,
Roma waliuunda uislamu kwa malengo ya kuiteka Yerusalemu,ila hawakujua uislamu utakuwa mkubwa hivi
Nakujuza uislamu ni dini ya Wakatoliki
Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi moja
Mimi nimekupa maandiko ya manabii wa Mungu,Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi moja
Lete hoja hivyo vitabu ni vya mungu au ni maneno ya hao manabii?Mufti uwezo wako WA kuelewa maandiko ni mdogo sana..Omba darasa Kwa waliokuzidi...Na pia weka akili yako kwenye utayari WA kuelewa..
Yaani Qurani unataka iseme uislamu ni dini ya wakatoliki?Lete ushahidi kutoka kwenye Qur’an
Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojoRizali kwa Tasbihi
Jumapili kwa ijumaa
Bikira Maria kwa Lutta Uzza na Manata
Kumbuka mama wa Yesu anaitwa Mariam.
Kuungama kwa Padre na kusujudia sanamu kwa kuungama na kulisujudia Jiwe Jeusi la Maka.
Kusali Novena na Kutufu
Kengere kwa Azana.
Kanzu kwa Joho
Baraghashia kwa Kofia
Kufunga ramadhani kwa kufunga Kwaresma.
Katekisimu kwa Qurani
Unataka nikupe mengine ?
Mbona nakujibu kuwa ni wayahudi walioviharibu taurat iliharibiwa baada ya nabbi Musa kufa na injil baada ya nabii Isa kufaHili swali unaliogopa ,yaani hapo unaona umejibu ?
Sasa Mimi nimekuuliza waliviharibu lini ,nyie mlijuaje na kipi kiliwafanya mjue Original ziliharibiwa na hizi zilizopo ni fake ,
Hizo Original mliziona wapi
Kwahiyo unategemea Quran hii iliyotengenezwa na wakatoliki ,ijiumbue ?Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojo
Maelezo ya Qur'an na hadith ni ushahid tosha kwetuUna ushahidi gani kuwa waliviharibu ,ulijuaje waliharibu
Hizo Original mliziona wapi mkajua waliviharibu?
Hizi ni porojo leta ushahidi waliviharibu vipi ,unatoa wapi hizi habari kuwa waliviharibu?Mbona nakujibu kuwa ni wayahudi walioviharibu taurat iliharibiwa baada ya nabbi Musa kufa na injil baada ya nabii Isa kufa
Utasema tena sijakujibu
Porojo mnazo nyinyi za kumdaia mtu kama nyinyi uunguMimi nimekupa maandiko ya manabii wa Mungu,
Porojo peleka msikitini
Ulisema nini kinafanana kati ya Uislamu na Ukatoriki nimekuwekea hapo.Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojo
Maandiko matakatifu ya manabii ,kuanzia Torati, manabii ,Zaburi zote zinataja na kuntabiria Yesu masihi kama MunguPorojo mnazo nyinyi za kumdaia mtu kama nyinyi uungu
Sikujibu tena maana jana nilikupa aya na hadith unataka kupotezea tu mada nyingine makusudi ndio maana kila siku unideal na kitu kilekile unachojibiwa 😃Hizi ni porojo leta ushahidi waliviharibu vipi ,unatoa wapi hizi habari kuwa waliviharibu?
Kwa Mazinge au Sharifu majini ?
Weka dalili na ushahidi sio story za kahawa
BIKRA MARIA, KIUNGO KIKUU KATI YA UKATOLIKI NA UISLAMUMaelezo ya Qur'an na hadith ni ushahid tosha kwetu
Lete ushahidi wa Qur’an kuwa uislamu na uroma ni dini mojaUlisema nini kinafanana kati ya Uislamu na Ukatoriki nimekuwekea hapo.
Una andiko la kwenye Qurani linalosema muimbe Azana kila kukicha na kutupigia kelele ?
Nani kawaambia mtupigie mikelele kila Alfajiri?
Ni ibada za kijitungia
Sawa nimekuelewa na nakubaliana na wewe kuwa mna miungu mitatu sitawapinga tenaMaandiko matakatifu ya manabii ,kuanzia Torati, manabii ,Zaburi zote zinataja na kuntabiria Yesu masihi kama Mungu
Au unadhani ni Quran hii
Punguza MUDA kujibu kila kitu pitia usome Lau utapata maarifa hata kidogo ya kukusaidia,,,la sivyo utakuwa unabisha kila kitu pasi na kujua wewe ni Sawa na kasuku aliekariri mambo mengi Ila hayaelewi...Lete hoja hivyo vitabu ni vya mungu au ni maneno ya hao manabii?
Wala siharibu mada, mbona hapa tunajadili zaidi ya mada moja ,hili swali ni gumu ndio maana unalikimbia sanaSikujibu tena maana jana nilikupa aya na hadith unataka kupotezea tu mada nyingine makusudi ndio maana kila siku unideal na kitu kilekile unachojibiwa 😃