Sina muda wa kupingana na maandiko matakatifu ,yapo miaka zaidi ya 3000Sote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!
HAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA HAKUNA ANAYE FANANA NAESote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!
Hv unapo sema maandiko matakatifu unazungumzia hii Bible yenye mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyo andikwa baada ya yesu ku ondoka???Sina muda wa kupingana na maandiko matakatifu ,yapo miaka zaidi ya 3000
Kwahiyo siwezi kukusikiliza wewe na Quran zilizokuja miaka ya juzi tu hapa
Sawa vipi unajigawaje katika kuabudu miungu watatu tofautiSina muda wa kupingana na maandiko matakatifu ,yapo miaka zaidi ya 3000
Kwahiyo siwezi kukusikiliza wewe na Quran zilizokuja miaka ya juzi tu hapa
Hapo wana wa Mungu nimemaanisha tu viumbe wakeHAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA HAKUNA ANAYE FANANA NAE
Ahaa kama washkaji zake MunguHapo wana wa Mungu nimemaanisha tu viumbe wake
MaybeAhaa kama washkaji zake Mungu
Wazushi sana hawa jamaa😏😏.Hili swala huyo jamaa analiogopa kama ukoma
😂😂😂Hata mimi nitasema shahada.Akijibu hili swali narudi Leo kuwa muislamu na nitakuwa Sunni ,kundi la Wahabi
Maandiko matakatifu yalikuwepo hata kabla ya Yesu kuja duniani na alinukuu humo mara nyingi tu,Hv unapo sema maandiko matakatifu unazungumzia hii Bible yenye mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyo andikwa baada ya yesu ku ondoka???
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKAHAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA HAKUNA ANAYE FANANA NAE
Elohim ni Kiebrania, lenye asili ya lugha ya Kisemiti, na linatumika katika Biblia ya Kiebrania.Nimekuambia weka ushahidi wa maandiko kama nabii Musa hajatumwa na Allah badala yake umeandika porojo kibao
Quran inasema uislam umeanza Kwa Adam wewe unasema kuanzisha Muhammad Yana bado Wazungu hawajachoka kukudanganyeni
Adam, Nuhu , Ibrahim, Isaka, Yakobo, Musa Hadi Yesu hao wote Quran inasema walikuwa waislam aliye kuambia kuwa uislam Ameanzisha mtume Muhammad amekudanganya
Pia aliyekuambia kuwa Mungu aliwahi kujiita Yehova pia amekudanganya maana Yeheva ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuwa na mtume mgiriki sijui unanielewa
Mungu alijifunua Kwa Musa Kwa jina la Elohim
Elohim יהוה
Allah. الله
UNaona hayo majina yanavyo fanana
Acha kutuletea hadithi dhaifu zisizothibiti!!!MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKA
Imesimuliwa na Anas Ibn Malik, "Nilimsikia Nabii wa Allah akisema: Allah ni Shaitwan aliye katika umbo la Malaika na alinifunulia aya zake na kitabu chake ni Quran, na mimi ni mtume wake. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )
MSIBA MKUBWA SANA HUU KWA WAISLAM WOTE
Allah is Devil in the Form of Angel . And Gibreel is a Devil in the form of Angel . And Muhammad was Prophet of the Devil Allah .
" Narrated by Anas Ibn Malik : " I heard from the Apostle of Allah that he said : " Allah was satan in the form of an angel that revealed to me the verses and his book the Quran and I am his Prophet. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )
رواه أنس ابن مالك : " سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه قال " كان الله هو شيطان في شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي له . (عمدة الأحكام المجلد 3، الصفحة 460)
#Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.
View attachment 3255283
View attachment 3255279
Ukishawekwa mtu kati ,unatafuta kichakaAcha kutuletea hadithi dhaifu zisizothibiti!!!
Hiyo hadith kaipokea nani?
Hadithi ni kitu gani!?..ya shia,sunni,sallafi,ahmadiya,sufi,alawite au?Hiyo ni hadithi yenu Mzee ,sio yangu
Kaipokea nani?Ukishawekwa mtu kati ,unatafuta kichaka
Kuwa ni Hadith dhaifu
Aiseee Muraaa hapo Bado Upo kwenye Injili ile ile ya baada ya yesu kuondoka umepiga round about..Maandiko matakatifu yalikuwepo hata kabla ya Yesu kuja duniani na alinukuu humo mara nyingi tu,
Kama unazungumzia ukusanyaji wa vitabu vya manabii na kuvipanga sawa, ila maandiko matakatifu yapo hata kabla ya Yesu
Hapa kuna baadhi ya mifano ya aya alizonukuu:
1. Kumbukumbu la Torati 6:5 → Mathayo 22:37
Agano la Kale:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote." (Kumbukumbu 6:5)
Yesu alinukuu hivi:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote." (Mathayo 22:37)
2. Kutoka 20:13-16 → Mathayo 19:18-19
Agano la Kale:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo..." (Kutoka 20:13-16)
Yesu alinukuu hivi:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako, umpende jirani yako kama nafsi yako." (Mathayo 19:18-19)
3. Zaburi 22:1 → Mathayo 27:46
Agano la Kale:
"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Zaburi 22:1)
Yesu alinukuu akiwa msalabani:
"Eli, Eli, lama sabakthani?" (yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)" (Mathayo 27:46)
4. Isaya 61:1-2 → Luka 4:17-21
Agano la Kale:
"Roho ya Bwana Mungu i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta..." (Isaya 61:1-2)
Yesu alisoma aya hii katika sinagogi na kusema:
"Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu." (Luka 4:17-21)
5. Zaburi 118:22-23 → Mathayo 21:42
Agano la Kale:
"Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni." (Zaburi 118:22)
Yesu alinukuu akizungumzia nafasi yake kama Masiha:
"Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni..." (Mathayo 21:42)
Hii ni mifano michache tu, lakini kuna mara nyingi ambapo Yesu alinukuu
maandiko ya Agano la Kale kuthibitisha mafundisho yake.
Swali lako ni zuri sana nimelipenda...MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKA
Imesimuliwa na Anas Ibn Malik, "Nilimsikia Nabii wa Allah akisema: Allah ni Shaitwan aliye katika umbo la Malaika na alinifunulia aya zake na kitabu chake ni Quran, na mimi ni mtume wake. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )
MSIBA MKUBWA SANA HUU KWA WAISLAM WOTE
Allah is Devil in the Form of Angel . And Gibreel is a Devil in the form of Angel . And Muhammad was Prophet of the Devil Allah .
" Narrated by Anas Ibn Malik : " I heard from the Apostle of Allah that he said : " Allah was satan in the form of an angel that revealed to me the verses and his book the Quran and I am his Prophet. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )
رواه أنس ابن مالك : " سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه قال " كان الله هو شيطان في شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي له . (عمدة الأحكام المجلد 3، الصفحة 460)
#Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.
View attachment 3255283
View attachment 3255279
Unajuaje alishushiwa Yesu wakati hata waislam hamjawahi kukiona?Kitabu alichoshushiwa yesu, injili,hakipo physically