Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!
Sina muda wa kupingana na maandiko matakatifu ,yapo miaka zaidi ya 3000

Kwahiyo siwezi kukusikiliza wewe na Quran zilizokuja miaka ya juzi tu hapa
 
Hv unapo sema maandiko matakatifu unazungumzia hii Bible yenye mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyo andikwa baada ya yesu ku ondoka???
 
Sawa vipi unajigawaje katika kuabudu miungu watatu tofauti
 
Kilienda wapi? Haki kitabu cha wakristo ambacho waislam wanaenda kumtafuta Mohamed ni kitabu gani? Waislamu wanasema sisi wakristo hatuna injeel,ila wao hawaijui na wala hawajui ipo wapi!!!
 
Hv unapo sema maandiko matakatifu unazungumzia hii Bible yenye mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyo andikwa baada ya yesu ku ondoka???
Maandiko matakatifu yalikuwepo hata kabla ya Yesu kuja duniani na alinukuu humo mara nyingi tu,

Kama unazungumzia ukusanyaji wa vitabu vya manabii na kuvipanga sawa, ila maandiko matakatifu yapo hata kabla ya Yesu

Hapa kuna baadhi ya mifano ya aya alizonukuu:

1. Kumbukumbu la Torati 6:5 → Mathayo 22:37

Agano la Kale:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote." (Kumbukumbu 6:5)

Yesu alinukuu hivi:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote." (Mathayo 22:37)

2. Kutoka 20:13-16 → Mathayo 19:18-19

Agano la Kale:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo..." (Kutoka 20:13-16)

Yesu alinukuu hivi:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako, umpende jirani yako kama nafsi yako." (Mathayo 19:18-19)

3. Zaburi 22:1 → Mathayo 27:46

Agano la Kale:
"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Zaburi 22:1)

Yesu alinukuu akiwa msalabani:
"Eli, Eli, lama sabakthani?" (yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)" (Mathayo 27:46)

4. Isaya 61:1-2 → Luka 4:17-21

Agano la Kale:
"Roho ya Bwana Mungu i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta..." (Isaya 61:1-2)

Yesu alisoma aya hii katika sinagogi na kusema:
"Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu." (Luka 4:17-21)

5. Zaburi 118:22-23 → Mathayo 21:42

Agano la Kale:
"Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni." (Zaburi 118:22)

Yesu alinukuu akizungumzia nafasi yake kama Masiha:
"Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni..." (Mathayo 21:42)

Hii ni mifano michache tu, lakini kuna mara nyingi ambapo Yesu alinukuu
maandiko ya Agano la Kale kuthibitisha mafundisho yake.
 
HAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA HAKUNA ANAYE FANANA NAE
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKA

Imesimuliwa na Anas Ibn Malik, "Nilimsikia Nabii wa Allah akisema: Allah ni Shaitwan aliye katika umbo la Malaika na alinifunulia aya zake na kitabu chake ni Quran, na mimi ni mtume wake. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

MSIBA MKUBWA SANA HUU KWA WAISLAM WOTE

Allah is Devil in the Form of Angel . And Gibreel is a Devil in the form of Angel . And Muhammad was Prophet of the Devil Allah .

" Narrated by Anas Ibn Malik : " I heard from the Apostle of Allah that he said : " Allah was satan in the form of an angel that revealed to me the verses and his book the Quran and I am his Prophet. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

رواه أنس ابن مالك : " سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه قال " كان الله هو شيطان في شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي له . (عمدة الأحكام المجلد 3، الصفحة 460)

#Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.
FB_IMG_1740860719361.jpg

FB_IMG_1740860716594.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1740860716594.jpg
    FB_IMG_1740860716594.jpg
    46.9 KB · Views: 1
Nimekuambia weka ushahidi wa maandiko kama nabii Musa hajatumwa na Allah badala yake umeandika porojo kibao

Quran inasema uislam umeanza Kwa Adam wewe unasema kuanzisha Muhammad Yana bado Wazungu hawajachoka kukudanganyeni

Adam, Nuhu , Ibrahim, Isaka, Yakobo, Musa Hadi Yesu hao wote Quran inasema walikuwa waislam aliye kuambia kuwa uislam Ameanzisha mtume Muhammad amekudanganya

Pia aliyekuambia kuwa Mungu aliwahi kujiita Yehova pia amekudanganya maana Yeheva ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuwa na mtume mgiriki sijui unanielewa

Mungu alijifunua Kwa Musa Kwa jina la Elohim

Elohim יהוה

Allah. الله

UNaona hayo majina yanavyo fanana
Elohim ni Kiebrania, lenye asili ya lugha ya Kisemiti, na linatumika katika Biblia ya Kiebrania.

YHWH ni jina la pekee la Mungu katika Uyahudi, na linahusiana na ufunuo wa Mungu kwa Musa.

Allah ni mungu wa kiarabu

Muhammad anasema Allah ni shetani

FB_IMG_1740860719361.jpg
 
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKA

Imesimuliwa na Anas Ibn Malik, "Nilimsikia Nabii wa Allah akisema: Allah ni Shaitwan aliye katika umbo la Malaika na alinifunulia aya zake na kitabu chake ni Quran, na mimi ni mtume wake. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

MSIBA MKUBWA SANA HUU KWA WAISLAM WOTE

Allah is Devil in the Form of Angel . And Gibreel is a Devil in the form of Angel . And Muhammad was Prophet of the Devil Allah .

" Narrated by Anas Ibn Malik : " I heard from the Apostle of Allah that he said : " Allah was satan in the form of an angel that revealed to me the verses and his book the Quran and I am his Prophet. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

رواه أنس ابن مالك : " سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه قال " كان الله هو شيطان في شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي له . (عمدة الأحكام المجلد 3، الصفحة 460)

#Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.
View attachment 3255283
View attachment 3255279
Acha kutuletea hadithi dhaifu zisizothibiti!!!
Hiyo hadith kaipokea nani?
 
Maandiko matakatifu yalikuwepo hata kabla ya Yesu kuja duniani na alinukuu humo mara nyingi tu,

Kama unazungumzia ukusanyaji wa vitabu vya manabii na kuvipanga sawa, ila maandiko matakatifu yapo hata kabla ya Yesu

Hapa kuna baadhi ya mifano ya aya alizonukuu:

1. Kumbukumbu la Torati 6:5 → Mathayo 22:37

Agano la Kale:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote." (Kumbukumbu 6:5)

Yesu alinukuu hivi:
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote." (Mathayo 22:37)

2. Kutoka 20:13-16 → Mathayo 19:18-19

Agano la Kale:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo..." (Kutoka 20:13-16)

Yesu alinukuu hivi:
"Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako, umpende jirani yako kama nafsi yako." (Mathayo 19:18-19)

3. Zaburi 22:1 → Mathayo 27:46

Agano la Kale:
"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Zaburi 22:1)

Yesu alinukuu akiwa msalabani:
"Eli, Eli, lama sabakthani?" (yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)" (Mathayo 27:46)

4. Isaya 61:1-2 → Luka 4:17-21

Agano la Kale:
"Roho ya Bwana Mungu i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta..." (Isaya 61:1-2)

Yesu alisoma aya hii katika sinagogi na kusema:
"Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu." (Luka 4:17-21)

5. Zaburi 118:22-23 → Mathayo 21:42

Agano la Kale:
"Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni." (Zaburi 118:22)

Yesu alinukuu akizungumzia nafasi yake kama Masiha:
"Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni..." (Mathayo 21:42)

Hii ni mifano michache tu, lakini kuna mara nyingi ambapo Yesu alinukuu
maandiko ya Agano la Kale kuthibitisha mafundisho yake.
Aiseee Muraaa hapo Bado Upo kwenye Injili ile ile ya baada ya yesu kuondoka umepiga round about..

umenukuu kutoka ndani ya injili ndani ya kitabu cha Mathayo no 50 kilicho andikwa mwaka 1240..

Swali langu huu utakatifu wa hiki kitabu umetokea wapi wakati yesu hakuthibitisha kama ni maneno yake thabiti?
 
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ALLAH NI SHETANI KATIKA UMBO LA MALAIKA

Imesimuliwa na Anas Ibn Malik, "Nilimsikia Nabii wa Allah akisema: Allah ni Shaitwan aliye katika umbo la Malaika na alinifunulia aya zake na kitabu chake ni Quran, na mimi ni mtume wake. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

MSIBA MKUBWA SANA HUU KWA WAISLAM WOTE

Allah is Devil in the Form of Angel . And Gibreel is a Devil in the form of Angel . And Muhammad was Prophet of the Devil Allah .

" Narrated by Anas Ibn Malik : " I heard from the Apostle of Allah that he said : " Allah was satan in the form of an angel that revealed to me the verses and his book the Quran and I am his Prophet. ( Umdah Al - Ahkaam : Volume 3, Page 460 )

رواه أنس ابن مالك : " سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه قال " كان الله هو شيطان في شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي له . (عمدة الأحكام المجلد 3، الصفحة 460)

#Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.
View attachment 3255283
View attachment 3255279
Swali lako ni zuri sana nimelipenda...

Katika uislam kuna vitu viwili Quran na sunna hivi vitu ni vinaenda Sawa Sawa.. Quran ni kitabu cha maneno ya Mwenyezi na Sunna ni maisha na matendo ya Mtume..

Mtume (S.a.w) kwa ufupi alijua baada ya kuondoka kwake kutakuwa na hadithi nyingi sana za ukweli na uongo.. na utathabiti vipi kama hadithi yake hyo ni ya kweli??? Akakuambia kuwa kama hadithi hiyo inapingana na Quran hyo hadithi sio sahihi!..

Ni Sawa na swali nililo kuuliza kuhusu injili yenye mkusanyiko wa vitabu 66 je hivo vitabu unathibitisha vipi usahihi wake? Na vyote vikeandikwa baada ya yesu kuondoka nani kathibitisha usahihi wake???
 
Back
Top Bottom