Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Dawa ishakuingia ,safi
Huwezi kupotosha kwa hadithi zako za uzushi
Hadithi unazitumia wewe halafu unasema zetu inaingia akili kwetu
Halafu ukiulizwa umezitoa wapi hujibu πŸ˜ƒ
 
Kwani wewe mungu wako nani mbona hueleweki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaona sasa!! Una mlimit Mungu vitu anavyoweza kufanya,nilidhani Mungu ni muweza wa kila kitu!!
Kwani si mnasema Mungu ni wa milele sasa kufa huko vipi sasa
 
Wapi wamesema kafara katika hiyo hadith
Shida yako umekomaa na neno kafara,hapo alipo. Ila kitendo cha muislam kumtoa mkristo au myahudi ili asiende kwenye moto ni nini?
 
Shida yako umekomaa na neno kafara,hapo alipo. Ila kitendo cha muislam kumtoa mkristo au myahudi ili asiende kwenye moto ni nini?
Nani atafanya hivyo?
Ni binadamu au Allah mwenyewe
 
Hehehehehehehehehehehehehehehehe
Ikiwa Allah ni Mungu, kwa nini anahitaji mke ili awe na mwana?

"Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi. Anawezaje kuwa na mwana ilhali hana mwandani, naye ameumba kila kitu? Na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu."
β€” Qur'an (6:101)

Allah si Mungu

Maria alipata Yesu bila mume, kwa nini Allah anahitaji mwanamke ili awe na mwana?
 
Okay swali zuri sana..

Quran kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu ni katika MANENO(maandishi) na VITENDO..

kwa maneno ukiisoma utajihisi amani kwa hili hauwezi kuniamini kwasababu haujawahi kuisoma..

Kwa vitendo unaweza kuitumia, vitendo vinaweza kuwa vzur au vbaya( watu hutumia Quran vbaya)

vitendo vbaya ni matumizi mabaya ya Quran kama kumsomea mtu awe Chizi,kichaa, kutumia kwa matumizi yako binafsi hvyo ni vitendo vbaya..

Vitendo vizur ni kuisoma kwaajili ya kuomba Dua yako ifike, kuomba mvua yenye kheri, kufanya toba..

Hayo ni katika mambo yanayo onekana na kuthibitika hapa hapa duniani sitaki kukwambia kuhusu kuelezea siku zijazo na kuelezea uumbaji huko hauto nielewa...

Hope nimekujibu vzur bila kuikosea imani yako
 
Hawezi kuzaa kwa sababu hana mshirika,Mungu wenu uwezo wake ni mdogo na ndiyo maana anasema ukweli kuhusu kutoweza kuzaa.
Lakini wa kwenu anazaa??? Na ana zaliwa???

Sisi kwetu Mungu ni mmoja na anajitosheleza hana utatu wa nafsi wala hana mshirika..

Ndo maana sisi tunamuabudu Mungu mmoja na nyinyi muabudu miungu yenu mitatu..
 
Ulitaka athibitishe tapeli Muhammad?
Out of Points

Okay unaweza kutetea hoja yako kwann umemuona Muhammad ni tapeli??

Kama me ninavyo iona biblia kuwa ni maneno ya watu walio pita kumuhusu yesu na sio kitabu kitakatifu Bali ni kitabu cha historia tu.. umeshindwa kunibadilisha mawazo!!!
 
Nani atafanya hivyo?
Ni binadamu au Allah mwenyewe
Muislam ataleta myahudi au mkristo,Allah atamsamehe dhambi ili asiende motoni. Kisha mkristo au myahudi atatupwa kwenye moto kwa ajili ya dhambi za muislam yule. Haya ni matendo ya Allah na muislam yule, mkristo au myahudi ni wahanga tu.
 
Wewe ulitaka awe nani ?

Allah kwangu sio Mungu ,ni mungu wa kikureshi
Hakuna waliposema Allah ni Mungu wa kikureshi
Lakini mungu wako anaonekana ni wakiyahudi yaani wa wana wa Israel wewe mbongo hakuhusu πŸ˜ƒ
 
Maana yake hana wa species yake
Kwani huyo wenu alipataje mtoto
 
Muislam ataleta myahudi au mkristo,Allah atamsamehe dhambi ili asiende motoni. Kisha mkristo au myahudi atatupwa kwenye moto kwa ajili ya dhambi za muislam yule. Haya ni matendo ya Allah na muislam yule, mkristo au myahudi ni wahanga tu.
Una uhakika kwamba muislam ndiye ataleta myahudi na mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…