hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Dawa ishakuingia ,safiHiyo yenu pengine ni yako 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ishakuingia ,safiHiyo yenu pengine ni yako 😃
Maana yake nini wewe kusamehewa dhambi ikiwa utatoa mkristo au myahudi ili achukue nafasi yako ya motoni?Wapi wamesema inabidi tuwatoe kafara
Huwezi kupotosha kwa hadithi zako za uzushiDawa ishakuingia ,safi
😂😂 Unaona sasa!! Una mlimit Mungu vitu anavyoweza kufanya,nilidhani Mungu ni muweza wa kila kitu!!Basi sio Mungu maana Mungu hafi
Kwani wewe mungu wako nani mbona huelewekiNILISHAKWAMBIA HUNA ELIMU ,NDIO MAANA MADA ZANGU HUWA UNAZIKIMBIA
Neno "YEHOVA" au "JEHOVAH" halitokani na Kigiriki, bali ni matokeo ya mabadiliko ya lugha kutoka Kiebrania hadi Kilatini na hatimaye Kingereza.
Asili ya jina hili ni kutoka kwenye Tetragrammaton (YHWH), ambalo ni jina takatifu la Mungu linalopatikana katika Biblia ya Kiebrania.
Katika Kiebrania cha zamani, herufi "YHWH" hazikuwa na vokali kwa sababu lugha hiyo awali iliandikwa bila vokali.
Baadaye, Wamasoreti (wasomi wa Kiyahudi wa karne ya 6-10 BK) waliongeza nukta za vokali kutoka kwa jina Adonai ili kusaidia kulitamka bila kulitaja kwa heshima.
Watafsiri wa Kilatini walichukua herufi hizo na kuzibadilisha kuwa "JHVH", kisha wakaongeza vokali kutoka "Adonai" na kupata "Jehovah" (Kiingereza) au "Yehova" (Kiswahili).
Mungu alijifunua kwa jina la YHWH (Yehova) kwa Waisraeli, kama inavyothibitishwa na Biblia yenyewe:
Kutoka 6:3 – "Nami nalijulikana kwa Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwa jina la Mungu Mwenyezi; bali kwa jina langu Yehova sikujulikana kwao."
Zaburi 83:18 – "Ili watu wajue ya kuwa wewe, ambaye jina lako ni Yehova, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya dunia yote."
Kwa hiyo, JEHOVAH / YEHOVA si jina la Kigiriki, bali ni tafsiri ya YHWH kutoka Kiebrania kupitia Kilatini.
Wapi wamesema kafara katika hiyo hadithMaana yake nini wewe kusamehewa dhambi ikiwa utatoa mkristo au myahudi ili achukue nafasi yako ya motoni?
Kwani si mnasema Mungu ni wa milele sasa kufa huko vipi sasa😂😂 Unaona sasa!! Una mlimit Mungu vitu anavyoweza kufanya,nilidhani Mungu ni muweza wa kila kitu!!
Shida yako umekomaa na neno kafara,hapo alipo. Ila kitendo cha muislam kumtoa mkristo au myahudi ili asiende kwenye moto ni nini?Wapi wamesema kafara katika hiyo hadith
Kwani Yesu alikufa milele?Kwani si mnasema Mungu ni wa milele sasa kufa huko vipi sasa
Nani atafanya hivyo?Shida yako umekomaa na neno kafara,hapo alipo. Ila kitendo cha muislam kumtoa mkristo au myahudi ili asiende kwenye moto ni nini?
Wewe ulitaka awe nani ?Kwani wewe mungu wako nani mbona hueleweki
Ikiwa Allah ni Mungu, kwa nini anahitaji mke ili awe na mwana?Hehehehehehehehehehehehehehehehe
Okay swali zuri sana..Tukitumia darubini hiyo hiyo,unathibitisha vipi kwamba Quran ni maneno ya Allah? Allah hajathibisha kwamba ni maneno yake, Quran nzima ni maneno ya Mohamed. Lete proof kutoka kwa Allah akithibitisha kwamba Quran ni maneno yake,usinukuu maneno ya Mohamed kutoka kwenye Quran tafadhali.
Lakini wa kwenu anazaa??? Na ana zaliwa???Hawezi kuzaa kwa sababu hana mshirika,Mungu wenu uwezo wake ni mdogo na ndiyo maana anasema ukweli kuhusu kutoweza kuzaa.
Out of PointsUlitaka athibitishe tapeli Muhammad?
Muislam ataleta myahudi au mkristo,Allah atamsamehe dhambi ili asiende motoni. Kisha mkristo au myahudi atatupwa kwenye moto kwa ajili ya dhambi za muislam yule. Haya ni matendo ya Allah na muislam yule, mkristo au myahudi ni wahanga tu.Nani atafanya hivyo?
Ni binadamu au Allah mwenyewe
Hakuna waliposema Allah ni Mungu wa kikureshiWewe ulitaka awe nani ?
Allah kwangu sio Mungu ,ni mungu wa kikureshi
AlawiteWewe ni dhehebu gani kati ya hayo?
Maana yake hana wa species yakeIkiwa Allah ni Mungu, kwa nini anahitaji mke ili awe na mwana?
"Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi. Anawezaje kuwa na mwana ilhali hana mwandani, naye ameumba kila kitu? Na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu."
— Qur'an (6:101)
Allah si Mungu
Maria alipata Yesu bila mume, kwa nini Allah anahitaji mwanamke ili awe na mwana?
Una uhakika kwamba muislam ndiye ataleta myahudi na mkristoMuislam ataleta myahudi au mkristo,Allah atamsamehe dhambi ili asiende motoni. Kisha mkristo au myahudi atatupwa kwenye moto kwa ajili ya dhambi za muislam yule. Haya ni matendo ya Allah na muislam yule, mkristo au myahudi ni wahanga tu.