Jehovah" is not a direct Hebrew word, but rather a rendering of the Hebrew Tetragrammaton (YHWH) which is believed to be pronounced as "Yahweh" and is interpreted to mean "I Am" or "He who causes to be"
JEHOVAH sio neno la kiebrania
It is a combination of the consonants YHWH with the vowel sounds from the Hebrew word "Adonai".
Walatini wametengeneza jina JEHOVAH Kwa kuunganisha majina mawili ya Mungu ya kiebrania Yani
YAHWEH Mungu muumba
Adonai Bwana wetu
Jina la Mungu haliwezi kupatikana Kwa stail hiyo na ndio maana wakaita Tetragrammaton maana yake ni kwamba sio njia sahihi kilugha na ndio maana kilichozaliwa hapo ni kitu kipya na si jina la Mungu
Not a direct translation:
While "Jehovah" is used in many translations of the Bible, it is not considered the exact pronunciation of the divine name in Hebrew.
JEHOVAH sio tafsiri ya Moja Kwa Moja kutoka jina la Mungu ambalo Mungu alijifunua Kwa Musa
” The term “Jehovah” was introduced by Christian scholars. It is merely JHWH pronounced with the vowel of Adonai, thus making JeHoWaH.
It is a hybrid and is not usually used by Jews.
Jina JEHOVAH limewekwa na wasomi wa kikristo katika Bibilia
Wayahudi hawalijui jina JEHOVAH Wala hawalitumii
The word “Jehovah” first appeared in the 1530 Bible translation of William Tyndale. However, the form “Jehovah” has been used in English since at least the 1300s.
Kwa mara ya kwanza neno JEHOVAH lilionekana katika Bibilia karine ya 15
Hivyo kabla ya hapo hapa kuwa na jina JEHOVAH kuwa ni jina la Mungu
Why was Gods name - Jehovah - deliberately removed from most Bible translations (some 7000 times) and replaced with LORD or GOD? Jehovah is a mistaken guess at the pronunciation of God's name revealed to Moses in Exodus 3:15.
Na katika Bibilia nyingi Duniani hilo jina JEHOVAH waliliondoa katika Bibilia zao Kwa sababu ni jina la uongo
The truth is, the word YHWH, is actually only one of the titles (the most used in scripture) of the God of the Bible. But it is however, not the true Proper Name of the God of the Bible.
Na sio tu JEHOVAH hata hilo YHWH pia ni jina fake na Wala sio jina la Mungu
Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Majina ambayo Mungu alijifunua Kwa wayahudi ni hayo na Hadi Leo ndio wanayo yatumia in written and spoken
Source
Website ya Cambridge university
Sasa wewe bishana na maprophesa wa Cambridge university wataalamu wa historical language
Yani nyinyi hiyo dini Kila kitu ni fake Wazungu wamekufanyeni misukule yao
UNAUTAFSIRI UKRISTO KWA MTAZAMO WA KIARABU NA KIISLAMU ,
Unaulizia kuwa maneno JEHOVAH, YAHWEH na JESUS ni maneno ya Kigiriki na si Kiebrania?
Jibu ni Hapana Tena KUBWA KABISA, HAPANA SIO YA KIGIRIKI,
NITAKUPA ELIMU MAANA UMEDANGANYWA UKADANGANYIKA
majina haya yana asili katika Kiebrania lakini yamepitia mabadiliko ya lugha kadri yalivyoenea katika mataifa mengine.
NITAANZA NA 👇
"Yehoshua" (יְהוֹשֻׁעַ) ni jina la Kiebrania ambalo limefupishwa kuwa Yeshua (יֵשׁוּעַ), ambalo katika Kigiriki lilihamishwa kuwa Ἰησοῦς (Iēsous) na baadaye kuwa Jesus katika Kiingereza.
NAKUJA KWA YHWH
YHWH (יהוה) ndilo jina la Mungu katika Kiebrania. Kwa kuwa Wayahudi waliheshimu jina hili sana kiasi cha kutoitamka, waliweka badala yake neno Adonai (Bwana). Baadaye, neno hilo liliandikwa kwa matamshi yaliyokaribiana na Yahweh na kisha likachanganywa na vokali za Adonai, likazalisha jina Jehovah, ambalo ni tafsiri katika baadhi ya lugha za Magharibi.
Kwa hiyo, majina haya si Kigiriki, bali ni Kiebrania kilichohamishwa kwa lugha zingine.,Hii ni elimu ndogo tu ,
Unaulizia leo hii Yesu akija, ukimuita kwa jina "Jesus", atakuelewa na kukuitikia?
NAKUJIBU NDIYO TENA KWA HERUFI KUBWA NDIYO ATAITIKIA,YESU SIO Allah mungu wa kiarabu anayejua lugha moja,Yesu ataitikia kwa sababu Yesu si mdogo kwa lugha moja. Yeye ni Bwana wa mataifa yote, na anajua kuwa katika kila lugha jina lake linatamkwa tofauti, lakini linarejelea mtu yuleyule "ATAKAYE WAOKOA NA DHAMBI ZAO" Na hapa ndipo msingi wa kukataa Issa sio Yesu sababu maana ya jina ni tofauti .
Yesu ukimuita ISA atakulamba makofi ,maana halina maana halisia ,Isa ni wekundu au zeruzeru .
Ni sawa na mtu anayeitwa John kwa Kiingereza, lakini kwa Kifaransa anaitwa Jean, kwa Kijerumani Johann, kwa Kiebrania Yochanan, na kwa Kiswahili Yohana. Jina linabadilika kulingana na lugha, lakini mtu ni yuleyule na maana ya jina ni ile ile ,hii elimu ya bure nakupa chukua.
Biblia inasema kuwa
“Kila mtu atakayeliitia jina la Bwana ataokoka” (Warumi 10:13).
Haisemi kuwa lazima litamkwe kwa lafudhi fulani au lugha Fulani ili liwe na nguvu., mungu wa kiarabu allah ndiye anasikia kiarabu tu.
Unauliza kama Wagiriki walishindwa kutamka jina la Yesu sawasawa, kwa nini ulazimishe kuwa walipata pronounce za kweli za majina ya miungu?
Unajaribu kulinganisha jambo lisilo na msingi wowote, Wagiriki hawakupotosha jina la Yesu kwa makusudi, bali walilitafsiri kwa jinsi lilivyoeleweka katika lugha yao.,sawa na sisi waswahili tunavyoliita Yesu ,kutoka Yehoshua.
Lugha zote zina mapungufu ya kutamka maneno ya lugha nyingine, lakini hiyo haimaanishi kuwa maana inapotea., HII ELIMU YA BURE NAKUPA
Zaidi ya hayo, jina la Yesu halina nguvu kwa sababu ya matamshi yake, bali kwa sababu ya mamlaka yake.
Filipo alipomwambia Yesu,
"Bwana, tuonyeshe Baba" Yesu alijibu, "Aliyeniona mimi amemwona Baba" (Yohana 14:8-9).
Hii ina maana kuwa Yesu mwenyewe ndiye ufunuo wa Mungu, si lafudhi ya jina lake.
Kwa hiyo, suala si je, tunatumia jina lake katika lafudhi gani, bali je, tunamwamini na kumfuata kama Bwana na Mwokozi wetu?
UNAPOISOMA BIBLIA ,USIISOME KIMSIKITISIKITI UTAPOTEA