Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
Leta uthibitisho, acha maneno mengi.Hili halihitaji hata elimu, kasome historia ya Uislamu Hadi mudi anapewa utume
Uislamu ni project ya wakatoliki
Ukate ukubali
Kakuuliza kuhusu utofauti wa biblia ya kiprotestant na kiromaManabii hawajaishi wakati mmoja wameishi era tofautitofaut
Simple tu ,unaulizaje swali kama hilo
Leta maandiko ndugu , tujifunze.ZABURI UNAIAMINI ? KABLA SIJAANZA KUSHUSHA NONDO ,NIKISHUSHA NATAKA UKIRI KABISA NI MAANDIKO
SIO NAWEKA MAANDIKO ,UNAYAKATAA
Yaani unataka Quran ikwambie hivo ?😂😂Watu wanataka ushahidi wa maandiko kuwa Uislamu ni zao la ukatoliki usikwepe!!!
Nilishamjibu huko juu ,ndio maana mnanishangaza ,nilishamjibu hakuna tofauti na nikasema hivo vitabu kwa wakatoliki ni vya historia tuKakuuliza kuhusu utofauti wa biblia ya kiprotestant na kiroma
Naona hutaki kuleta hayo maandiko yako maana sijaona humu watu wakiulizana kuhusu kuyaamini maandiko ili ndo wakuletee ushahidiZABURI UNAIAMINI ? KABLA SIJAANZA KUSHUSHA NONDO ,NIKISHUSHA NATAKA UKIRI KABISA NI MAANDIKO
SIO NAWEKA MAANDIKO ,UNAYAKATAA
Bila maandiko ni porojo tu!!!Yaani unataka Quran ikwambie hivo ?😂😂
Muhammad hakuwa mjinga hivo
Kasome historia,mmefichwa vingi, Uislamu ni pure project ya wakatoliki ,lengo ilikuwa kuiteka Yerusalemu wakati wa Dola ya Byzantine
NIMELETA sana maandiko ,cha ajabu mtu anarudia kuuliza kitu hicho hicho hata mara 10Leta maandiko ndugu , tujifunze.
Ndio wameishi era tofauti tofauti , leta utofauti wa hivyo vitabu viwili , na ueleze kwa nini huo utofauti upo, na nini anayewajibika.Manabii hawajaishi wakati mmoja wameishi era tofautitofaut
Simple tu ,unaulizaje swali kama hilo
Uislamu ni project ya wakatoliki,Bila maandiko ni porojo tu!!!
Kwa mfano na mimi nikikuambia ukristo ni zao la dini ya uyahudi utakuja kujua baadae sanaUislamu ni project ya wakatoliki,
Utakuja kujua baadae sana
Utofauti ni mmoja tu ,wakatoliki wameweka vitabu vya historia ya mwaka 500B.CNdio wameishi era tofauti tofauti , leta utofauti wa hivyo vitabu viwili , na ueleze kwa nini huo utofauti upo, na nini anayewajibika.
SiiaminiNIMELETA sana maandiko ,cha ajabu mtu anarudia kuuliza kitu hicho hicho hata mara 10
So aseme hapa ,je anaamini Zaburi
Kama haiamini aseme
Na najua anakwepa kusema haamini maana anajua nitampiga Pini
Na akisema anaiamini atapigwa Pini vile vile
Kwahiyo muache aruke ruke tu
Kwani uongo ,Ukristo ndio ni zao la Uyahudi kwani nani hajuiKwa mfano na mimi nikikuambia ukristo ni zao la dini ya uyahudi utakuja kujua baadae sana
Vipi hapo?
Ndio maana unarudiarudia maswaliSiiamini
Kwani yesu alishawahi kunukuu kutoka matendo ya mitume mbona hiko kitabu kipo kwenye biblia yenu ikiwa hamtaki vitabu visivyonukuliwa na yesuUtofauti ni mmoja tu ,wakatoliki wameweka vitabu vya historia ya mwaka 500B.C
Waprotestanti hawajaviweka sababu havihusihani na maandiko mengine wala kuendana
Yesu na mitume hawakuwahi kuvinukuu
Mwisho catholic ni state ,ni zaidi ya dini, hawategemei muongozo wa maandiko tu,wao wanategemea mapokeo ,ndio hao hao waanzilishi wa Uislamu
Huenda una hoja , je una uthibitisho kuhusu hili au ni muendelezo wa porojo na kejeli zako?Hili halihitaji hata elimu, kasome historia ya Uislamu Hadi mudi anapewa utumea
Uislamu ni project ya wakatoliki
Ukate ukubali
Matendo ya mitume ni kitabu cha matendo ya mitume baada ya Yesu, na hao mitume wamemuelezea Yesu ,na wameishi nae.Kwani yesu alishawahi kunukuu kutoka matendo ya mitume mbona hiko kitabu kipo kwenye biblia yenu ikiwa hamtaki vitabu visivyonukuliwa na yesu
Kwa hiyo wewe unakiri kuwa ukristo ulibuniwa kutoka dini ya uyahudi?Kwani uongo ,Ukristo ndio ni zao la Uyahudi kwani nani hajui
Hata Yesu na manabii ,mitume walikuwa wayahudi
Yesu alisema ,WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
Hata mimi nasubiria uthibitisho wake otherwise ni porojo tuHuenda una hoja , je una uthibitisho kuhusu hili au ni muendelezo wa porojo na kejeli zako?