Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sasa mbona ukristo ni wa juzi kama ulivyokiri wewe kuwa ulitokana na dini ya kiyahudi

Naona hiyo mada yako uliileta kwa kutumia porojo tu!
Ukristo sio wa juzi, Ukristo umeanzishwa na Yesu kristo, una miaka 2000

Uislamu umekuja Karne ya 7 ,ambayo ni juzi tu

Uislamu unakuja ,Ukristo tayari una miaka mingi hapa duniani

Ninaposema uislamu wa juzi namaanisha
 
Kuna shida gani kwani ?

Haya Yesu jina lake limekatishwa

Yesu jina lake Ni YEHOSHUA
Mmeliandika kwenye maandiko yenu hilo jina la yesu na mnalitumia kila siku
Je sisi wenyewe tunalitumia hilo jina
 
Kama ni msomaji sitegemei kuuliza hilo swali

Kasome historia ya Roman empire Hadi inaanguka mwaka 476AD , na inaibuka Roma ya kidini, hapo hakuna hata dini au chembe ya Uislamu au MSIKITI duniani
Ushahidi wa maandiko unakosa
 
N
Na ulisema utatu hauamini na mbona bado unajinasibisha na mafunzo ya utatu??
 
Kama ni msomaji sitegemei kuuliza hilo swali

Kasome historia ya Roman empire Hadi inaanguka mwaka 476AD , na inaibuka Roma ya kidini, hapo hakuna hata dini au chembe ya Uislamu au MSIKITI duniani
Tatizo umeegemea upande mmoja , bila ya kuangalia upande wa pili, je kuna mtu amekuficha kuhusu kitabu cha upande wa pili?

Huu ni muendelezo wa uoga wako na porojo tupu.
Bila ya kuwa na uthibitisho.
 
N

Na ulisema utatu hauamini na mbona bado unajinasibisha na mafunzo ya utatu??
Kajifunze kwanza dogma ya utatu inasemaje ile ya Roma

Yesu kuwa Mungu sio utatu, hayo ni maandiko

Je unaamini Zaburi, torati na manabii?
 
Uji ulioukoroga hapa huwezi kunywewa na mtu, hujui ulichokiandika, usiharibu maandiko ya biblia
 
Tatizo umeegemea upande mmoja , bila ya kuangalia upande wa pili, je kuna mtu amekuficha kuhusu kitabu cha upande wa pili?

Huu ni muendelezo wa uoga wako na porojo tupu.
Bila ya kuwa na uthibitisho.
Wapi nimeegemea ?

Mimi Huwa nipo huru labda hunijui tu, Mimi sifungwi na dini

Ndio maana niliukana uislamu hadharani sababu niliona ni uongo na propaganda tupu

Nimezaliwa humo na kukulia humo ,

ila sifungwi na dini ,nimezisoma dini nazijua ,kwahiyo usije fikiri nipo hapa KUTETEA dini Fulani
 
Uji ulioukoroga hapa huwezi kunywewa na mtu, hujui ulichokiandika, usiharibu maandiko ya biblia
Biblia yenyewe anasema haiamini ,lakini anazitumia Aya za biblia kutaka kusambaza propaganda kuwa Muhammad alitabiriwa humo

Ndio utajua uislamu ni dini ya ujanjaujanja na propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…