Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
Toa maandiko acha porojo, waislamu wanaamini , mwanzo wake ulikuwa kwa nabii Adam na maandiko yapo.Biblia ipo kabla ya Uislamu,
Uislamu unakuja juzi juzi, Biblia tayari ipo duniani Ina miaka zaidi ya 2000
Ushahidi upi, ukisubiri Quran ikwambie uongo wa Uislamu utasubiri sanaNaona umekosa ushahidi
Kabisa, unatumia kitu usichokiamini, tena hujui hata kukitumia inavyotakiwa.Biblia yenyewe anasema haiamini ,lakini anazitumia Aya za biblia kutaka kusambaza propaganda kuwa Muhammad alitabiriwa humo
Ndio utajua uislamu ni dini ya ujanjaujanja na propaganda
Onyesha uthibitisho acha porojo, kama uislamu ulianza juzi.Uislamu wa juzi,unataka maandiko kutoka wapi?
Huu sasa ni uoga na ukosefu wa maarifa.Ushahidi upi, ukisubiri Quran ikwambie uongo wa Uislamu utasubiri sana
Toka nje ya box
UISLAMU NI DINI ILIYOJENGWA KWA PROPAGANDA
Bora umejitokeza hadharani ,wewe ni muislamu,T
Toa maandiko acha porojo, waislamu wanaamini , mwanzo wake ulikuwa kwa nabii Adam na maandiko yapo.
Je wewe una nini??
Hoja kwa haya yaliyoelezwa hapa? Kama aliyeileta amekoroga namna hii unafikiri tutaelewana? Ya nini kupoteza muda?Naona umefika sasa hivi lete hoja tujadili
Nikupe uthibitisho gan kama huwez kutumia akili, ulijificha sasa hivi umejitokezaOnyesha uthibitisho acha porojo, kama uislamu ulianza juzi.
Ninavyoamini hakuna maswali ya kijinga, maswali yote ni sawa na ndani yake kuna hekima fulani.Unauliza maswali ya kijinga ,kwahiyo baada ya Yesu hakukuwa na mitume na manabii waliovuviwa ?
Hebu acha maswali ya kijinga basi
Lete UthibitishoUISLAMU NI DINI ILIYOJENGWA KWA PROPAGANDA
Swali la kijinga hiloNinavyoamini hakuna maswali ya kijinga, maswali yote ni sawa na ndani yake kuna hekima fulani.
Tatizo litakuwa linaanzia kwako
Ndio ni mihemko yake .Hoja kwa haya yaliyoelezwa hapa? Kama aliyeileta amekoroga namna hii unafikiri tutaelewana? Ya nini kupoteza muda?
Una ushahidi hata wa kuokoteza paliwahi kuwepo uislamu au MSIKITI kabla ya mudi?Lete Uthibitisho
Sasa ulikuja kufanya nini kama unaona ni kupoteza mudaHoja kwa haya yaliyoelezwa hapa? Kama aliyeileta amekoroga namna hii unafikiri tutaelewana? Ya nini kupoteza muda?
Ndio mwenzio ana mihemko, haiamini biblia lakini anazitumia Aya za biblia kusambaza propaganda kuwa Muhammad ni mtume wa MunguNdio ni mihemko yake .
HIVI KATIKA HAPA NI NANI ALIMPA UTUME MUHAMMAD??Lete Uthibitisho
Naam ni maandiko yetu ya Qur’an na SunnahUna ushahidi hata wa kuokoteza paliwahi kuwepo uislamu au MSIKITI kabla ya mudi?
Thibitisha wewe maana sisi tunachojua aliyempa utume ni AllahHIVI KATIKA HAPA NI NANI ALIMPA UTUME MUHAMMAD??
KITABU CHA WAKEZE MTUME WAKUBWA NA WANAWE''” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya''
'“Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa MTUME''”.
1.SHETANI?
2.BI KHADIJA?
Yaliyokuja juzi,?Naam ni maandiko yetu ya Qur’an na Sunnah
Bi Khadija Sista wa kikatoliki anasema hiviThibitisha wewe maana sisi tunachojua aliyempa utume ni Allah