Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua SheriaSheria zinajieleza , na katika kila nchi kuna sheria yake.
Kuna nchi zinatumia sheria za kiislamu na zingine zinatumia sheria za kiraia.
Sasa wewe kwa ujuaji wako, hii Tanzania ina sheria za kiislam??
Nina atakayewajibika na mambo ya dini ?
Hakuna mtu anayebalisha sheria za dini , ila kuna mtu anayefuata sheria za hivyo , atakuja kuhukumiwa kwa sheria za kiraia , je nina anayewajibika kwa hili.
Watakuja wakujibu.
Kituko Kingine Mtume alipewa Maagizo ya MUNGU na Malaika! Wakati Mitume wengine woote waliongea na Mungu Mwenyewe!ata wale Wanaosema kuwa ni Waislam mfano Adam (Adam aliongea na Mungu) Ibrahim -Aliongea na Mungu iweje Last born wa mitume woote Duniani apewe maagizo ya Mnyaazi mungu na Jibriri?? s Allah (الله)alikiwa wapi??Qurani ni maneno ya nani???🤔🤔🤔??
Quran 2;79 aliyekuwa ni adui wa jibril ndo aliteremsha Quran huyu adui wa malaika wa Allah ni nani???
Quran 6;7 inasema kama ingekuwa kwenye mkaratasi ingekua uchawii na hii ya ssa ipo kwenye karatasi in maana ni uchawi??
Quran Mayunga 1422 muhhamad alisemeshwa kisiri na Shetani akafikiri ni Wahyi akayanakili ndani ya Quran
Maisha muhamad uk 8 inatuambia waliojifunza kuandika makkah ni
Abubakar
Omar
Uthman
Ali
hawa ndo waandishi wa Quran je hali zao zikoje???
Tusome
Mayunga (49) Abubakar anasema ana shetan(mwandishi wa Quran)
Mayunga (61)Ali alikuwa mlevi kupindukia(mwandishi wa Quran)
Quran si maneno ya Mungu abadan ni ya nani??? Quran 2;79 adui wa jibril ndo kaileta
Adui yao ni nani??? Quran 2:36 adui yao ni shetwani(iblis) kwahiyo Quran imeletwa na nani SHETANI....
Mimi na fanya uchambuzi kutokana na mada iliyopo, sina ilimu sana, lakini ni rahisi kujifunza , napitia sana kuhusu uyahudi , nikijaribu kutofautisha hizi dini tofauti , ndo maana huwezi ukaniona nakejeli imani ya mtu,Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua Sheria
Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣
Unaweza ukapitia kisa cha Luti pia , utakuwa na la kujifunza kuliko hizi porojo.Kituko Kingine Mtume alipewa Maagizo ya MUNGU na Malaika! Wakati Mitume wengine woote waliongea na Mungu Mwenyewe!ata wale Wanaosema kuwa ni Waislam mfano Adam (Adam aliongea na Mungu) Ibrahim -Aliongea na Mungu iweje Last born wa mitume woote Duniani apewe maagizo ya Mnyaazi mungu na Jibriri?? s Allah (الله)alikiwa wapi??
Eti unapitia hahaaaMimi na fanya uchambuzi kutokana na mada iliyopo, sina ilimu sana, lakini ni rahisi kujifunza , napitia sana kuhusu uyahudi , nikijaribu kutofautisha hizi dini tofauti , ndo maana huwezi ukaniona nakejeli imani ya mtu,
Kuna wale wasio amini uwepo wa Mungu wapo pia.
Kwa hiyo niko hapa kujifunza.
Acha uoga.
Alipewa utume for the first time na Khadija 🤣Kituko Kingine Mtume alipewa Maagizo ya MUNGU na Malaika! Wakati Mitume wengine woote waliongea na Mungu Mwenyewe!ata wale Wanaosema kuwa ni Waislam mfano Adam (Adam aliongea na Mungu) Ibrahim -Aliongea na Mungu iweje Last born wa mitume woote Duniani apewe maagizo ya Mnyaazi mungu na Jibriri?? s Allah (الله)alikiwa wapi??
Kibaya nishakuuliza maswali imani ni nini haujajibu, ndio maana mpaka sasa utapatapa tupu.Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua Sheria
Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣
Dini Yao ni ya ujanjaujanja sana ,haiwezi kusimama bila kujipendekeza kwa wayahudi,na manabii wake na kitabu Chao wayahudiMnaunga unga wee mradi mlazimishe kitu ambacho hakipo. Kwani dini yenu haiwezi kujitegemea au haijitoshelezi bila validaton ya Biblia?
Historia inajieleza vizuri, una hoja lakini unaendeshwa na mihemko.Dini Yao ni ya ujanjaujanja sana ,haiwezi kusimama bila kujipendekeza kwa wayahudi,na manabii wake na kitabu Chao wayahudi
Uislamu bila kujipendekeza kwa wayahudi,ungebaki Uarabuni tu ,ungekuwa sawa na Ubudha, Shinto au Shiva
Uislamu ni dini ya kipagani iliyoasisiwa na Utawala wa RomaView attachment 3261892
Katafute wa kumdanganya mzee, huo uhusiano wa ukatoliki na uislamu, katika historia weka acha kubwabwaja pumba , hii ndo athari ya kukejeli Imani fulani bila kuwa na uthibitisho,.Uislamu ni dini ya kutengenezwa,ni dini yenye upagani kama ulivyo uroma,
Someni historia mtajua kwanini Uroma ulianzisha uislamu ,baadae uislamu ulipopata nguvu ukawageuka
Lengo la Ukatoliki ilikuwa kuchukua Yerusalemu, Ukatoliki ulipangua ukawa umeshaandaa Uislamu,na kweli uislamu ulifanikiwa kuiteka Yerusalemu,Roma alipoitaka Yerusalemu ,it too late, Uislamu ulikuwa tayari una nguvu ,
View attachment 3261939View attachment 3261940View attachment 3261942View attachment 3261943
Leta uthibitisho acha porojo.Mnaunga unga wee mradi mlazimishe kitu ambacho hakipo. Kwani dini yenu haiwezi kujitegemea au haijitoshelezi bila validaton ya Biblia?
Umeshindwa kuleta ushahidi unabaki na porojo tuAlipewa utume for the first time na Khadija 🤣
Jaribu kuyachunguza hayo aliyoyaleta mtoa madaNa ukisoma historia ya uyahudi na imani zao , unaona kuna uhusiano kati ya uyahudi na dini hizi mbili kwa baadhi ya vipengele na vingine vinapingana. Na historia imeelezea vizuri kuhusu Abrahamic religion. Na ukichimba sana tunaona matabaka matatu ya uyahudi.
Uyahudi wa Korthodoksi – Unashikilia sheria na desturi za jadi.
Uyahudi wa Kihafidhina – Unafuata desturi lakini kwa njia ya kisasa.
Uyahudi wa Kurekebisha (Reform Judaism) – Unaruhusu tafsiri za kidini kulingana na muktadha wa sasa.
Ukiachana na hilo , ni maandiko yapi kwenye biblia yanayoonyesha ujio wa mtume wa mwisho wa waislamu??
Hili ni miongoni mwa swali gumu, linalonitatiza mpaka sasa hamis77 , Al-mukheef
Leta uthibitisho wa hili kama sio porojo, ikiwa kweli upande wa pili utawapeleka jehanam.Eti unapitia hahaaa
Uislamu unawapelekeni jehanum