hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua SheriaSheria zinajieleza , na katika kila nchi kuna sheria yake.
Kuna nchi zinatumia sheria za kiislamu na zingine zinatumia sheria za kiraia.
Sasa wewe kwa ujuaji wako, hii Tanzania ina sheria za kiislam??
Nina atakayewajibika na mambo ya dini ?
Hakuna mtu anayebalisha sheria za dini , ila kuna mtu anayefuata sheria za hivyo , atakuja kuhukumiwa kwa sheria za kiraia , je nina anayewajibika kwa hili.
Watakuja wakujibu.
Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣