Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sheria zinajieleza , na katika kila nchi kuna sheria yake.
Kuna nchi zinatumia sheria za kiislamu na zingine zinatumia sheria za kiraia.

Sasa wewe kwa ujuaji wako, hii Tanzania ina sheria za kiislam??
Nina atakayewajibika na mambo ya dini ?

Hakuna mtu anayebalisha sheria za dini , ila kuna mtu anayefuata sheria za hivyo , atakuja kuhukumiwa kwa sheria za kiraia , je nina anayewajibika kwa hili.

Watakuja wakujibu.
Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua Sheria

Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣
 
Qurani ni maneno ya nani???🤔🤔🤔??

Quran 2;79 aliyekuwa ni adui wa jibril ndo aliteremsha Quran huyu adui wa malaika wa Allah ni nani???

Quran 6;7 inasema kama ingekuwa kwenye mkaratasi ingekua uchawii na hii ya ssa ipo kwenye karatasi in maana ni uchawi??

Quran Mayunga 1422 muhhamad alisemeshwa kisiri na Shetani akafikiri ni Wahyi akayanakili ndani ya Quran

Maisha muhamad uk 8 inatuambia waliojifunza kuandika makkah ni
Abubakar
Omar
Uthman
Ali

hawa ndo waandishi wa Quran je hali zao zikoje???

Tusome

Mayunga (49) Abubakar anasema ana shetan(mwandishi wa Quran)

Mayunga (61)Ali alikuwa mlevi kupindukia(mwandishi wa Quran)

Quran si maneno ya Mungu abadan ni ya nani??? Quran 2;79 adui wa jibril ndo kaileta

Adui yao ni nani??? Quran 2:36 adui yao ni shetwani(iblis) kwahiyo Quran imeletwa na nani SHETANI....
Kituko Kingine Mtume alipewa Maagizo ya MUNGU na Malaika! Wakati Mitume wengine woote waliongea na Mungu Mwenyewe!ata wale Wanaosema kuwa ni Waislam mfano Adam (Adam aliongea na Mungu) Ibrahim -Aliongea na Mungu iweje Last born wa mitume woote Duniani apewe maagizo ya Mnyaazi mungu na Jibriri?? s Allah (الله)alikiwa wapi??
 
Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua Sheria
Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣
Mimi na fanya uchambuzi kutokana na mada iliyopo, sina ilimu sana, lakini ni rahisi kujifunza , napitia sana kuhusu uyahudi , nikijaribu kutofautisha hizi dini tofauti , ndo maana huwezi ukaniona nakejeli imani ya mtu,

Kuna wale wasio amini uwepo wa Mungu wapo pia.
Kwa hiyo niko hapa kujifunza.

Acha uoga.
 
Unaweza ukapitia kisa cha Luti pia , utakuwa na la kujifunza kuliko hizi porojo.
 
Mimi na fanya uchambuzi kutokana na mada iliyopo, sina ilimu sana, lakini ni rahisi kujifunza , napitia sana kuhusu uyahudi , nikijaribu kutofautisha hizi dini tofauti , ndo maana huwezi ukaniona nakejeli imani ya mtu,

Kuna wale wasio amini uwepo wa Mungu wapo pia.
Kwa hiyo niko hapa kujifunza.

Acha uoga.
Eti unapitia hahaaa

Uislamu unawapelekeni jehanum
 
Kituko Kingine Mtume alipewa Maagizo ya MUNGU na Malaika! Wakati Mitume wengine woote waliongea na Mungu Mwenyewe!ata wale Wanaosema kuwa ni Waislam mfano Adam (Adam aliongea na Mungu) Ibrahim -Aliongea na Mungu iweje Last born wa mitume woote Duniani apewe maagizo ya Mnyaazi mungu na Jibriri?? s Allah (الله)alikiwa wapi??
Alipewa utume for the first time na Khadija 🤣
 
Hakuna dini hapo, wewe uliyekuwa unajifanya sio muislamu ,sasa hivi ndio unazijua Sheria

Yaani unaogopa hata kujiweka wazi 🤣🤣
Kibaya nishakuuliza maswali imani ni nini haujajibu, ndio maana mpaka sasa utapatapa tupu.
 
Mnaunga unga wee mradi mlazimishe kitu ambacho hakipo. Kwani dini yenu haiwezi kujitegemea au haijitoshelezi bila validaton ya Biblia?
 
Mnaunga unga wee mradi mlazimishe kitu ambacho hakipo. Kwani dini yenu haiwezi kujitegemea au haijitoshelezi bila validaton ya Biblia?
Dini Yao ni ya ujanjaujanja sana ,haiwezi kusimama bila kujipendekeza kwa wayahudi,na manabii wake na kitabu Chao wayahudi

Uislamu bila kujipendekeza kwa wayahudi,ungebaki Uarabuni tu ,ungekuwa sawa na Ubudha, Shinto au Shiva

Uislamu ni dini ya kipagani iliyoasisiwa na Utawala wa Roma
FB_IMG_1741291262644.jpg
 
Uislamu ni dini iliyotengenezwa na Utawala wa Roman Catholic,

Uislamu umejaa upagani sawa sawa na ukatoliki
images (5).jpeg
 
Mambo machache kuhusu uyahudi.

1. Kwa nini Wayahudi walikataa Yesu kama Masiya?

2. Je, Wayahudi wanaamini katika utatu wa Mungu?

3. Je, Wayahudi wanamtambua Yesu kama nabii?

4. Kwa nini Wayahudi walikataa Agano Jipya?

5. Je, kwa nini Wayahudi walishindwa kutambua utimilifu wa unabii wa Agano la Kale kwa Yesu?

6. Kwa nini Wayahudi wanaamini kuwa Masiya atakuja tena?

7. Kwa nini Wayahudi hawakufanya toba kwa ajili ya kifo cha Yesu?

8. Kwa nini Wayahudi wanaamini kuwa Mungu aliwawekea Sheria za Ki-Musa kama utaratibu wa wokovu?

9. Je, Wakristo wanadai kuwa Wayahudi wamepotosha mafundisho ya Biblia?

10. Kwa nini Wakristo wanawaona Wayahudi kama watu wa "upofu wa kiroho"?

Kuna mambo mengi ya kujifunza, hoja ni hoja lakini bila uthibitisho ni upotoshaji.

Mambo kadhaa niliyojifunza kuhusu uyahudi. Ni miongoni mwa maswali machache mtu anaweza akajiuliza . hamis77 kujifunza hakuna mipaka lakini kile anachojifunza mtu hakimtambulisha mtu kwa namna yoyote.
 
Uislamu ni dini ya kutengenezwa,ni dini yenye upagani kama ulivyo uroma,

Someni historia mtajua kwanini Uroma ulianzisha uislamu ,baadae uislamu ulipopata nguvu ukawageuka

Lengo la Ukatoliki ilikuwa kuchukua Yerusalemu, Ukatoliki ulipangua ukawa umeshaandaa Uislamu,na kweli uislamu ulifanikiwa kuiteka Yerusalemu,Roma alipoitaka Yerusalemu ,it too late, Uislamu ulikuwa tayari una nguvu ,

images (2).jpeg
main-qimg-e655399798afca3b1776923f64196f8a-lq.jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg
 
Dini Yao ni ya ujanjaujanja sana ,haiwezi kusimama bila kujipendekeza kwa wayahudi,na manabii wake na kitabu Chao wayahudi

Uislamu bila kujipendekeza kwa wayahudi,ungebaki Uarabuni tu ,ungekuwa sawa na Ubudha, Shinto au Shiva

Uislamu ni dini ya kipagani iliyoasisiwa na Utawala wa RomaView attachment 3261892
Historia inajieleza vizuri, una hoja lakini unaendeshwa na mihemko.

Huu ndio ujinga tumia hata Google translator ujue kilichoandikwa , hizi sio zama za kumdanganya mtu .

Wakati maelezo yanasema hubal ni Mungu wa kipagani , kabla ya mafundisho ya kiislamu , sasa hapo kuna uhusiano gani kati ya uislamu na upagani .

Wakati ukisoma vizuri unaona hamna uhusiano kabisa , historia inasema baada ya mtume wa mwisho wa waislamu alikuja na mafundisho, ambayo yalikuja kuupinga upagani , kilichopelekea kuondoshwa kwa masanamu yote .

Sasa wewe na porojo zako za kuokoteza huo uhusiano kati ya hayo unayoyasema uko wapi?
 
Uislamu ni dini ya kutengenezwa,ni dini yenye upagani kama ulivyo uroma,

Someni historia mtajua kwanini Uroma ulianzisha uislamu ,baadae uislamu ulipopata nguvu ukawageuka

Lengo la Ukatoliki ilikuwa kuchukua Yerusalemu, Ukatoliki ulipangua ukawa umeshaandaa Uislamu,na kweli uislamu ulifanikiwa kuiteka Yerusalemu,Roma alipoitaka Yerusalemu ,it too late, Uislamu ulikuwa tayari una nguvu ,

View attachment 3261939View attachment 3261940View attachment 3261942View attachment 3261943
Katafute wa kumdanganya mzee, huo uhusiano wa ukatoliki na uislamu, katika historia weka acha kubwabwaja pumba , hii ndo athari ya kukejeli Imani fulani bila kuwa na uthibitisho,.

Wakati huo historia kuhusu utawala ottoman na utawala wa suleimani na suala la Jerusalem
Kulingana na historia liko wazi.

Sasa wewe madai yako bado ni madhaifu sana, katafute wa kumdanganya.
 
Na ukisoma historia ya uyahudi na imani zao , unaona kuna uhusiano kati ya uyahudi na dini hizi mbili kwa baadhi ya vipengele na vingine vinapingana. Na historia imeelezea vizuri kuhusu Abrahamic religion. Na ukichimba sana tunaona matabaka matatu ya uyahudi.

Uyahudi wa Korthodoksi – Unashikilia sheria na desturi za jadi.

Uyahudi wa Kihafidhina – Unafuata desturi lakini kwa njia ya kisasa.

Uyahudi wa Kurekebisha (Reform Judaism) – Unaruhusu tafsiri za kidini kulingana na muktadha wa sasa.

Ukiachana na hilo , ni maandiko yapi kwenye biblia yanayoonyesha ujio wa mtume wa mwisho wa waislamu??
Hili ni miongoni mwa swali gumu, linalonitatiza mpaka sasa hamis77 , Al-mukheef
 
Jaribu kuyachunguza hayo aliyoyaleta mtoa mada
 
Eti unapitia hahaaa

Uislamu unawapelekeni jehanum
Leta uthibitisho wa hili kama sio porojo, ikiwa kweli upande wa pili utawapeleka jehanam.

Wakati wewe ukiwa mdogo , ulikuja ukiwa hujui chochote, lakini ukafunzwa na ukaelewa, kwa hiyo kujifunza ni miongoni mwa hatua za ukuaji na kujifunza hamna ukomo, mtu unaweza ukajifunza mambo mbali mbalimbali na ukaelewa.

Acha uoga na ujuaji, hakuna aliyemkalifu, wewe ambaye umechagua upande wako , sisi wengine bado tunajifunza na tuchague upande wetu pia
 
Back
Top Bottom