Dhul Qarnainn
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 151
- 67
- Thread starter
- #101
Utatu huo wa nini ilhali Mungu ni mmoja tu.Ndiye huyo anayekamilika Utatu Mtakatifu yaani Baba, Mwana na huyo Roho wa Bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatu huo wa nini ilhali Mungu ni mmoja tu.Ndiye huyo anayekamilika Utatu Mtakatifu yaani Baba, Mwana na huyo Roho wa Bwana
Biblia inasema nini kuhusu Roho mtakatifuRoho Mtakatifu anayewaongoza waamini katika maisha yao ya kila siku.
Unaweza kunielezea huyu ni mwana kivipiMwana
Kwa mujibu wa biblia ishimaili hakuwa mwana wa pekee na mteule na mridhi wa ahadi za Ibrahimu,Bali ni Isaka na uzao wake.Hatuwanasibishi waarabu na wayahudi ila tunawanasibisha na Ismail(عَلَیهِالسَّلام).
Ama wewe una ushahidi wowote kuwa waarabu si kizazi cha Ismail(عَلَیهِالسَّلام)?
Huu pia ni Upuuzi kudhani mtu hatakiwe Rehma mpka awe na mabayaRehema kwa ubaya au amkosa gani waloyafanya?
Inawezekana umekaa siku nzima ukiandika huu utumboKatika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).
1.Kumbukumbu la Torati 18:18 - Nabii kama Musa
"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)
Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.
Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.
Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.
2.Isaya 42:1-13 - Nabii kutoka Kedar
Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:
Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.
Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.
Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”
Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.
3. Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani
Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:
Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."
Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.
Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”
Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.
Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.
4. Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos) na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Yesu alisema:
Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”
Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.
Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).
Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:
Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."
Ahmad ni jina lingine la Muhammad.
Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.
5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma
Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."
Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.
Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
Yesu alikufa na kufufka kama ilivyotabiliwa,na akapaambingunu..point of collectionKama unamzungumzia yesu ambaye alifia msalabani na ambaye yeye mwenyewe ni mungu basi ni kweli ulichokisema.
Lakini tukimzungumzia Yesu ambaye hakufa msalabani na wala yeye si mungu basi uliyosema si sahihi
NsUtatu huo wa nini ilhali Mungu ni mmoja tu.
Kama unamzungumzia yesu ambaye alifia msalabani na ambaye yeye mwenyewe ni mungu basi ni kweli ulichokisema.
Lakini tukimzungumzia Yesu ambaye hakufa msalabani na wala yeye si mungu basi uliyosema si sahihi
Yohana 14:16Muongo mkubwa wewe unaandika vipande vipande yohana 14:16 umeifupisha endelea Hadi mstari wa 17 utajua Kama aliongelewa roho mtakatifu.
Kuna gape kubwa Sana Kati ya uislam na ukristo. Mohamed Yule Ni muhuni mmoja tu aliyokuwa anachukua kwenye biblia anachanganya na yake.
MAANDIKO SAHIHIYepi maandishi yamepotoshwa na yepi maandishi ya ukweli tuanzie kwanza hapo ndugu mjukuu wa mudi.
Hatujinasibishi na uyahudiAcha kuchanganya mafaili na kujinasibisha na Uyahudi mana uyahudi ni mbingu na ardhi na uislamu.
Ukweli Mchungu uko hapa.Mkuu, kuliko kutafuta mantiki kwa kuokoteza, kuungaunga, na kisha kupotosha maandiko, patanisha ukweli juu ya mambo yafuatayo,
Je! Maryamu atajwaye katika Quran mama wa Nabii Issa ndiye hasa Maria mama wa Yesu Kristo atajwaye katika Biblia?
Je! Nabii Issa atajwaye katika Quran ndiye hasa Yesu Kristo atajwaye katika Biblia?
Endapo simulizi juu ya hao zitapatana, basi hoja yako inaweza kuwa na mashiko. La sivyo, ulichokiandika chote itakuwa ni kujidanganya wewe mwenyewe.
Kwa ivo vitabu vya kumbukumbu la torati na isaya ni Vitabu vya Injili tangu lini.Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).
1.Kumbukumbu la Torati 18:18 - Nabii kama Musa
"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)
Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.
Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.
Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.
2.Isaya 42:1-13 - Nabii kutoka Kedar
Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:
Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.
Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.
Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”
Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.
3. Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani
Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:
Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."
Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.
Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”
Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.
Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.
4. Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos) na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Yesu alisema:
Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”
Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.
Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).
Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:
Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."
Ahmad ni jina lingine la Muhammad.
Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.
5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma
Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."
Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.
Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
Muongo mkubwa wewe unaandika vipande vipande yohana 14:16 umeifupisha endelea Hadi mstari wa 17 utajua Kama aliongelewa roho mtakatifu.
Kuna gape kubwa Sana Kati ya uislam na ukristo. Mohamed Yule Ni muhuni mmoja tu aliyokuwa anachukua kwenye biblia anachanganya na yake.
Yesu alikufa na kufufka kama ilivyotabiliwa,na akapaambingunu..point of collection
Kwani yesu ni mungu ama?Mungu Yehovah
1. Ni Mungu katika Utatu Mtakatifu (Baba, Mwana na Roho Mtajatifu)
2. Anasamehe dhambi na amezuia kuua, wala visas, anasisitiza kumpwnda hata adui yako maana
3.
Ns
Hapo ndo ujue tunaongelea vitu viwili tofauti. Kwa Mkristo ilikuwa ni lazima Yesu AFE ili awe sadaka kwa watu wote. Ndiyo huo UKOMBOZI tunaojivunia sasa. Yesu ambaye hakufa siyo yule aliyetumwa na Baba kuja kuukomboa ulimwengu, maana ukombozi ulimpasa afe na kufufuka.
Kwahiyo next time usisahau tunazungumzia beings 2 tofauti kabisa, hiyo yako siyo ya Wakristo. Na hiyo ndiyo kazi ya shetani, kuipotosha kweli, yaani kuwaaminisha waliopotea kuwa Yesu hakufa wala kufufuka.
My dear You, tukio hilo lilikuwa ni the most important single event ever katika wokovu wa mwanadamu dhidi ya Shetani. Ndiyo maana baada ya Agano la kale Wakristo leo hawatoi kafara, hawachinji, kafara wetu ni Yesu na alishakamilisha kila kitu pale msalabani.
Mimi nimezungumzia bibliaKwa ivo vitabu vya kumbukumbu la torati na isaya ni Vitabu vya Injili tangu lini.
Umepuyanga braza