Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Okay swali zuri sana..

Quran kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu ni katika MANENO(maandishi) na VITENDO..

kwa maneno ukiisoma utajihisi amani kwa hili hauwezi kuniamini kwasababu haujawahi kuisoma..

Kwa vitendo unaweza kuitumia, vitendo vinaweza kuwa vzur au vbaya( watu hutumia Quran vbaya)

vitendo vbaya ni matumizi mabaya ya Quran kama kumsomea mtu awe Chizi,kichaa, kutumia kwa matumizi yako binafsi hvyo ni vitendo vbaya..

Vitendo vizur ni kuisoma kwaajili ya kuomba Dua yako ifike, kuomba mvua yenye kheri, kufanya toba..

Hayo ni katika mambo yanayo onekana na kuthibitika hapa hapa duniani sitaki kukwambia kuhusu kuelezea siku zijazo na kuelezea uumbaji huko hauto nielewa...

Hope nimekujibu vzur bila kuikosea imani yako
Hata mimi nikisoma Biblia napata amani ambayo huwezi kuijua. Inanitia nguvu nikiwa dhaifu,inanipa magumaini nikikata tamaa na kuninyoosha nikipotea njia .

Nikiwa na shida zangu binafsi au na mtu namuomba Mungu naye anajibu na kutenda. Tukiwa kama waumini wa imani mbili tofauti kabisa lazima tukubaliane kutokukubaliana. Mnaamini kitabu kinaweza fanya miujiza,tunaamini Yesu anafanya miujiza.
 
Una uhakika kwamba muislam ndiye ataleta myahudi na mkristo
Quran na Hadith ni kwa ajili ya waislamu,mtu asiye muislam anahusikaje kwenye dini yenu chief? Yesu alikufa na kufufuka ndiyo sadaka kubwa kabisa kwa ajili yetu.

Kwenu itabidi muislam mmoja mmoja aje na mtu wake wa motoni ili aweze kupata msamaha . Labda kama unaweza kuja na tafsiri nyingine ya hiyo Hadith.
 
Wapi wamesema inabidi muislam aje na mtu wake ili aweze kupata msamaha
 
Hata mimi nikisoma Biblia napata amani ambayo huwezi kuijua. Inanitia nguvu nikiwa dhaifu,inanipa magumaini nikikata tamaa na kuninyoosha nikipotea njia .

Nikiwa na shida zangu binafsi au na mtu namuomba Mungu naye anajibu na kutenda. Tukiwa kama waumini wa imani mbili tofauti kabisa lazima tukubaliane kutokukubaliana. Mnaamini kitabu kinaweza fanya miujiza,tunaamini Yesu anafanya miujiza.
Okay nadhani umesha sikia wale watu wanao tibu, na kutumia Maneno ya Mungu Quran kwaajili ya Kufanya Madhambi Yao kama Kumfanya mtu kichaa, mambo ya nyota na nk

Unaweza kunithibitishia Biblia inauwezo gani katika haya maisha halisi maisha ya kweli
 
Biblia ni ujumbe pamoja na historia ya maisha ya watumishi wa Mungu. Yesu ndiyo nguvu iliyo hai,nyie mnaamini kitabu kina nguvu wakati sisi tunaamini Yesu ana nguvu za kutenda kazi leo.

Kitabu chenu kuna watu wanakitumia kufanya (shirk) kuroga watu,Yesu wetu hafanyi shirk. Kazi ya Yesu ni kuokoa na kuponya.
 
Kitabu (Quran) ni maneno ya Mungu mmoja tunae muamini... Tunaamini katika Mungu mmoja na Kitabu chake..

Wengi wenye elimu ya kitabu hiko wanatumia vbaya kwa maslahi Yao binafsi na wanaelewa fika kabisa ni makosa
 
Out of Points

Okay unaweza kutetea hoja yako kwann umemuona Muhammad ni tapeli??

Kama me ninavyo iona biblia kuwa ni maneno ya watu walio pita kumuhusu yesu na sio kitabu kitakatifu Bali ni kitabu cha historia tu.. umeshindwa kunibadilisha mawazo!!!
Ni mjinga Pekee anaweza acha kuamini maandiko yaliyotangulia ,aje aamini Quran iliyokuja juzi juzi kwa mkono wa Uroma
 
Kwani ilikuwepo kipindi cha nabii Adamu
Adam sio nabii ,maandiko yameanza kuhifadhiwa kwenye magome na KUANDIKWA kipindi cha Musa

Quran imekuja kuandikwa juzi tu hapa na vijana Walevi wanne ,
 
Hata biblia imeandikwa juzi tu haikuwepo zamani
 
Back
Top Bottom