ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Hata mimi nikisoma Biblia napata amani ambayo huwezi kuijua. Inanitia nguvu nikiwa dhaifu,inanipa magumaini nikikata tamaa na kuninyoosha nikipotea njia .Okay swali zuri sana..
Quran kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu ni katika MANENO(maandishi) na VITENDO..
kwa maneno ukiisoma utajihisi amani kwa hili hauwezi kuniamini kwasababu haujawahi kuisoma..
Kwa vitendo unaweza kuitumia, vitendo vinaweza kuwa vzur au vbaya( watu hutumia Quran vbaya)
vitendo vbaya ni matumizi mabaya ya Quran kama kumsomea mtu awe Chizi,kichaa, kutumia kwa matumizi yako binafsi hvyo ni vitendo vbaya..
Vitendo vizur ni kuisoma kwaajili ya kuomba Dua yako ifike, kuomba mvua yenye kheri, kufanya toba..
Hayo ni katika mambo yanayo onekana na kuthibitika hapa hapa duniani sitaki kukwambia kuhusu kuelezea siku zijazo na kuelezea uumbaji huko hauto nielewa...
Hope nimekujibu vzur bila kuikosea imani yako
Nikiwa na shida zangu binafsi au na mtu namuomba Mungu naye anajibu na kutenda. Tukiwa kama waumini wa imani mbili tofauti kabisa lazima tukubaliane kutokukubaliana. Mnaamini kitabu kinaweza fanya miujiza,tunaamini Yesu anafanya miujiza.