Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.
Mtume wenu na iyo Quran wasema imeandikwa miaka 20 baada ya kifo chake, hat hivyo maisha ya mtume wenu hayaonyeshi kua ni ya kufundisha au ya kuyafwata. Alikua watu wengi, alioa Binti mdogo, alikabwa na majini na mengine mengi yanafundishwa kwenye Quran ambayo si ya ku utu. Upande mwingine, Biblia imejawa na mafundisho ya upendo na tofauti kabisa na mafundisho ya kiislam. Hauwezi fananisha Wala onganisha Imani hizi mbili
 
Hakuna anayekushawishi uamini, upande fulani.
Unakuwa na hoja lakini , uthibitisho hauna , kwa mantiki hiyo wewe ni mpotoshaji.
MPOTISHAJI NI MUDI ,

HIVI UNANZAJE KUIAMINI QURANI ?

HEBU ONA BIBLIA ILIVYO EXACTY KUHUSU MJI WA NINAWI HAUTAJENGWA TENA ,

Uharibifu wa Ninawi (612 KK)

Andiko: Nahumu 3:7

"Na wewe utakuwa aibu kwa watu wote, na yote watakuwa wa kushangilia, kwa sababu ya uovu wako; na watu watasema, hakutakuwa tena na wengine kama wewe."

Utimilifu / Historia: Ninawi, mji mkuu wa Ashuru, uliteketezwa na mashambulizi ya Babuloni, Waemezi, na Wamakedi mwaka wa 612 KK. Mji huo ulielezwa kuwa haujangwa tena, na hii inathibitishwa na historia.

images (1).jpeg
 
Je wewe unaamini ni mtu mmoja mwenye MWILI,,NAFSI NA ROHO?? KWAMBA MWILI WAKO UNAWEZA KUWEKWA PEMBENI NA NAFSI YAKO IKAWEKWA PEMBENI NA ROHO YAKO IKAWEKWA PEMBENI?? Unaamini inawezekana.??
Ngoja Nimsaidie Kujibu!

Kwa Mujibu wa Biblia..
Ukitoa Roho Ukaweka Pembeni Unabaki Mwili Peke Yake na Nafsi Huondoka..

Kwa Mujibu wa Mwanzo 2:7,
Mungu alipomuumba Adamu:

"Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai (Roho); mtu akawa nafsi hai."

Katika Mhubiri 12:7, Biblia inasema:

"Ndipo mavumbi (Mwili) hurudi katika nchi kama yalivyokuwa, naye roho humrudia Mungu aliyewapa."

so Ukitoa Roho Hakuna Nafsi tena Bali Kuna Mwili na Roho
 
NAONA HUJUI HATA QURAN WALIOIANDIKA NI WALEVI

SIO MANENO YANGU

Ukweli ukoje kuhusu kitabu hiki.

Kitabu cha maisha ya Nabii muhammad. Kinatuelezea kuhusu waandishi wa hiyo Qur'an. Uk.8

Mtu wa awali aliyejifundisha kusoma na kuandika katika mji wa maka alikuwa Bwana Harb bin Ummayya_ babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa yamen na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa maka. Wakati Mtume alipopata Utme walikuwako watu 6 tu katika makka waliokuwa akijua kuandika. 4 katika hao waliingia katika Uislam, wakawa ndio waandikaji "Wahy" (Aya za Qur'an ). Watu hao alikuwa ni

Sayyidna Abubakr.
Sayyidna umar.
Sayyidna Uthman na
sayyidna Ali.

Hawa jamaa ndio maswahaba wa muhammad na nio walio andika hiyo qur'an

Lakini wandishi hawa walikuwa na hali gani?

Maidah 5:93
fafanuzi mwandishi anatupasha habari

93. Aya hizi za kukataza ulevi kwa tashidd hii zimeteremka mwaka wa sita wa Al-jra baada ya kuwa masaba wengi wamekufa na hali ya kuwa wakilewa.
Huyu jamaa naye alipoona kuna kasoro za kilevi akaisahihisha.

Na Shekh Abdullah saleh akaipitia tena tafsiri yake yote nzima kabla ya kutabiishwa chapa ya pili akaongeza ya akasafisha yakusafisha kwa mwisho wa jitihada yake ili iwe na nafuu kubwa na kusahihika kabisa. Lakini kinacho kinachofanywa na Mwanaadam hata kikitengenezwa vipi muhali kusalimika na makosa.
Kumbe quran inamakosa meng
Umeweka hii Surah Al-Ma’idah 5:93 , nimefuatilia kile kilichoandikwa ni hiki

Surah Al-Ma'idah 5:90, inayosema:
"Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, masanamu, na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli ni najisi katika kazi za Shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa."

Sasa uache upotoshaji , hizi sio zama za kumdanganya watu.
 
Hiyo Aya ilishuka sababu ya hao Walevi
 
MPOTISHAJI NI MUDI ,

HIVI UNANZAJE KUIAMINI QURANI ?

HEBU ONA BIBLIA ILIVYO EXACTY KUHUSU MJI WA NINAWI HAUTAJENGWA TENA ,

Uharibifu wa Ninawi (612 KK)

Andiko: Nahumu 3:7

"Na wewe utakuwa aibu kwa watu wote, na yote watakuwa wa kushangilia, kwa sababu ya uovu wako; na watu watasema, hakutakuwa tena na wengine kama wewe."

Utimilifu / Historia: Ninawi, mji mkuu wa Ashuru, uliteketezwa na mashambulizi ya Babuloni, Waemezi, na Wamakedi mwaka wa 612 KK. Mji huo ulielezwa kuwa haujangwa tena, na hii inathibitishwa na historia.

View attachment 3261608
Sasa wewe una aminije biblia?
Na nishakuiliza maswali juu, kuhusu imani ni nini ukayakimbia, acha ujuaji.
Unaokoteza lakini kuokoteza kwenyewe ni pumba tupu , rudi tena ukasome , hizi sio zama za kudanganya mtu.

Mbona wengine kuna kuamini, Mungu hayupo .
Lakini ukishajua muktadha wa imani ni nini ndo utaelewa , na sio kutuletea mipasho hapa
 
Ngoja Nimsaidie Kujibu!

Kwa Mujibu wa Biblia..
Ukitoa Roho Ukaweka Pembeni Unabaki Mwili Peke Yake na Nafsi Huondoka..

Kwa Mujibu wa Mwanzo 2:7,
Mungu alipomuumba Adamu:

"Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai (Roho); mtu akawa nafsi hai."

Katika Mhubiri 12:7, Biblia inasema:

"Ndipo mavumbi (Mwili) hurudi katika nchi kama yalivyokuwa, naye roho humrudia Mungu aliyewapa."

so Ukitoa Roho Hakuna Nafsi tena Bali Kuna Mwili na Roho
Heart na heart kwenye biblia zinaongelea vitu gani ?
 
Abdullah bin Abi Sarah, huyu alikuwa ni mmoja wa waandishi wa Qur'an ilipokuwa ikishushwa kwa mtume (saw), kwanini aliritadi??
 
Hiyo Aya ilishuka sababu ya hao Walevi
Ndio , na sio ulevi tu imeelezea mambo kadhaa , lakini huyu mwenzetu ananakili aya ya surah fulani ukienda , kuangalia unaona kabisa anavyopotosha .

Tumwambie tuuh hizi sio zama za kumdanganya mtu, kwenye biblia analeta vitu kama vilivyo , upande wa pili anaokoteza tu. propaganda zake zimeshindwa vibaya.
 
Hawa watu wa namna ya hamis77 , huwezi jifunza chochote zaidi kuletewa nadharia , kejeli bila uthibitisho.

Jambo rahisi ni mtu kuamini anachokiamini.
Hamis 77 Huja kwa Nia Ya Mabishano Na Sio Kujifunza Ila Akipata Muda akaja kwa Njia Ya kujifunza Ni mtu mmoja mzuri sana
 
WAJUE WAANDISHI WA QURAN📚

kazi yangu ni kukwambia ukweli jukumu la kuamini au usiamini ni juu yako...

✍️Quran kwa kiswahili inaitwa "Fulkani" maana yake imechukua hapa kidogo na kule kidogo(maandishi mseto kwa kiarabu na kiurthu)

👉Quran imeandikwa na mikono ya watu kumi na wawili haikushushwa kutoka popote na baadae ikafanyiwa maboresho ,Soma 15:90-92 Quran.. Hawa ndio waandishi👇👇

1.IMRUL QAYS-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya kuzaliwa Muhammad

2.ZAYD b.AMR b.NAUFAL-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa Hanifism

3.LABID-mshairi mwingine

4.HASAN b.THABIT:-mshairi rasmi wa Muhammad

5.SALMAN– Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad

6.BAHIRA:-Nestoraian Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria

7.JABR:-Jirani wa Kikristo wa Muhammad

8.IBN QUMTA:-Mtumwa wa Kikristo

9.KHADIJA:-Mke wa kwanza wa Muhammad

10.BINAMU WARAQA:- Ndugu ya Khadija

11.UBAY b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake

12.MUHAMMAD: – Mwenyewe.
(ushahidi Soma📚 khulaswa Nuurul Yaqiin)

👉Hii ndio sababu maandishi ya Quran yanajichanganya Sana

✍🏽ukitaka kupata ushahidi wa kimaandishi juu ya waandishi wa quraani ni akina nani kwa wewe muislamu usiangaike kwani ushahidi upo katka vitabu vyenu wenyewe tatizo hamusomi mna kalili tu baadhi ya aya na kuja kutu sumbua huku mitandaoni someni👇

"KHULASWA NUURUL YAQIIN" na kwa faida kuna lugha 4 zinazo fanana zililizo andika quraani + vitabu vya hadithi 40 ni lugha za arabic,urdhu,amharic na farsy zote zina fanana

NANI MSEMAJI WA QURAANI? ALLAH,MTUME,MALAIKA AU IBILISI?

FB_IMG_1741281738802.jpg
 
Ndio , na sio ulevi tu imeelezea mambo kadhaa , lakini huyu mwenzetu ananakili aya ya surah fulani ukienda , kuangalia unaona kabisa anavyopotosha .

Tumwambie tuuh hizi sio zama za kumdanganya mtu, kwenye biblia analeta vitu kama vilivyo , upande wa pili anaokoteza tu. propaganda zake zimeshindwa vibaya.
Kasome utaelewa waliandika walikuwa Walevi pia
 
Back
Top Bottom