Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ni munguHiyo ni sanamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni munguHiyo ni sanamu?
Hoja dhaifuNi mungu
Kama huyo mungu wenu mnayemuabuduHoja dhaifu
Vipi kuhusu miungu yenu mnayoiabuduKama huyo mungu wenu mnayemuabudu
Kwa hiyo sisi tunavyoabudu miungu mnaona wivu na nyie mnaabudu jiwe?Vipi kuhusu miungu yenu mnayoiabudu
Una ushahidi upi kuwa tunaabudu jiweKwa hiyo sisi tunavyoabudu miungu mnaona wivu na nyie mnaabudu jiwe?
It was narrated from Hisham, from his father, that `Umar (رضي الله عنه) came to the [Black] Stone and said: I know that you are only a stone and you cannot cause harm or bring benefit. Were it not that I saw the Messenger of Allah(ﷺ )kiss you, I would not have kissed youUna ushahidi upi kuwa tunaabudu jiwe
Wapi wameandika kuwa tuabudu jiwe
Hapo Umar anasema kuwa hilo ni jiwe tu na haliwezi kudhuru wala kunufaisha na hiyo ndio sifa ya Allah kwa hiyo anamaanisha hilo jiwe sio MunguIt was narrated from Hisham, from his father, that `Umar (رضي الله عنه) came to the [Black] Stone and said: I know that you are only a stone and you cannot cause harm or bring benefit. Were it not that I saw the Messenger of Allah(ﷺ )kiss you, I would not have kissed you
Mohamed MWENYEWE ALIKUWA MBUSU JIWE
Ni kweli anasema kwa sababu anajua hilo ni jiwe. Kama ni hivyo kwa nini Muhamad analipa utukufu wa kulibusu? Kwa nini hadi leo mnaenda kubusu jiwe Makkah?Hapo Umar anasema kuwa hilo ni jiwe tu na haliwezi kudhuru wala kunufaisha na hiyo ndio sifa ya Allah kwa hiyo anamaanisha hilo jiwe sio Mungu
Ni jiwe tu ndio maana halwezi kudhuru wala kunufaisha
Sasa kama kakiri kuwa haliwezi kudhuru wala kunufaisha vipi utasema kuwa alimaanisha kuwa jiwe ni mungu?
Hilo jiwe ni sehemu ya historia ya Uislamu na kulibusu au kuliashiria mkono ni katika sehemu ya ibada ya kumuabudu Allah.Ni kweli anasema kwa sababu anajua hilo ni jiwe. Kama ni hivyo kwa nini Muhamad analipa utukufu wa kulibusu? Kwa nini hadi leo mnaenda kubusu jiwe Makkah?
Kuoitia jiwe. Pigia mstarisehemu ya ibada ya kumuabudu Allah
Lete maandishi yanayosema kuwa hilo jiwe ni MunguKuoitia jiwe. Pigia mstari
Nioneshe Allah na mimi nikuthibitishe hilo jiwe ndiyo mungu wakoLete maandishi yanayosema kuwa hilo jiwe ni Mungu
Kwa upande upi yakheeMbona wenyewe kwa wenyewe tena
Nikuonyeshe Allah kivipiNioneshe Allah na mimi nikuthibitishe hilo jiwe ndiyo mungu wako
Nyote si hamuamini dini?Kwa upande upi yakhee
Kwahio ndo tuungane? mbona waislam huko uarabuni wao kwa wao wanafumuana....hakuna jipyaNyote si hamuamini dini?
Mji gani,msikiti upi na una ushahidi gani na suala hilo
Ata Historia ya Dini yako uijui !! PatheticMji gani,msikiti upi na una ushahidi gani na suala hilo