Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Una ushahidi upi kuwa tunaabudu jiwe
Wapi wameandika kuwa tuabudu jiwe
It was narrated from Hisham, from his father, that `Umar (رضي الله عنه) came to the [Black] Stone and said: I know that you are only a stone and you cannot cause harm or bring benefit. Were it not that I saw the Messenger of Allah(ﷺ )kiss you, I would not have kissed you

Mohamed MWENYEWE ALIKUWA MBUSU JIWE
 
Hapo Umar anasema kuwa hilo ni jiwe tu na haliwezi kudhuru wala kunufaisha na hiyo ndio sifa ya Allah kwa hiyo anamaanisha hilo jiwe sio Mungu

Ni jiwe tu ndio maana halwezi kudhuru wala kunufaisha

Sasa kama kakiri kuwa haliwezi kudhuru wala kunufaisha vipi utasema kuwa alimaanisha kuwa jiwe ni mungu?
 
Ni kweli anasema kwa sababu anajua hilo ni jiwe. Kama ni hivyo kwa nini Muhamad analipa utukufu wa kulibusu? Kwa nini hadi leo mnaenda kubusu jiwe Makkah?
 
Hilo jiwe ni sehemu ya historia ya Uislamu na kulibusu au kuliashiria mkono ni katika sehemu ya ibada ya kumuabudu Allah.

Elewa Umar alivyosema kuwa ni jiwe tu! Au kama una maandiko mengine yanayosema hilo jiwe ni mungu tuletee vinginevyo ni propaganda tu
 
Attachments

  • IMG_2829.jpeg
    IMG_2829.jpeg
    151.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom