Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Umebaki huna hoja ,leta andiko ndio umeona kichaka
Sasa wewe unataka tuamini maneno matupu tu!
Au nikikwambia yesu ni mtoto wa shetani bila kukupa maandiko yanayoelezea swala hilo we utakubali?
 
RCC wanatumia rozari na shanga za maombi Uislamu hutumia shanga za maombi
 
RCC hufundisha kundi lao kuinamia sanamu na mabango katika ibadaUislamu huwafundisha kundi lao kuinama mara 5 kwa siku wakiuelekea mwamba mweusi ambao hukaa Makka
 
Ukatoliki wa Kirumi unaamuru waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa KwaresmaUislamu unahitaji waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa Ramadani
 
Nazi wa Palestina wakionyesha salamu ya Kiroma👇👇
palestiniannazisalute01.jpg


Makuhani wa Kikatoliki wakimsalimia Adolf Hitler
👇👇
priests-salute.jpg
 
Wakatoliki wamefundishwa kumwangalia Maria kama mfano

Waislamu wamefundishwa kumwangalia Maria kama mfano
 
Kanisa Katoliki hufundisha kwamba Yesu ni mwana wa MariaWaislamu hufundisha Yesu ni mwana wa Maria
 
RCC hufundisha kwamba Maria alikuwa bikira wala hakuguswa na mwanamume maisha yake yote

Uislamu hufundisha Maria alikuwa bikira wala hakuguswa na mwanamume maisha yake yote
 
Waislamu, Wahindu, na Wakatoliki wakiiomba sanamu ya Bikira Maria.
islmaria1.jpg
 
RCC hufundisha kundi lao kuinamia sanamu na mabango katika ibadaUislamu huwafundisha kundi lao kuinama mara 5 kwa siku wakiuelekea mwamba mweusi ambao hukaa Makka
Je waislam huinamia sanamu?
 
Wanawake wa Kiislamu wa Shiite wakija kumwabudu Maria katika Madhabahu ya Mama maria , Lebanon huko Harissa, Lebanoni mnamo Mei 1, 2016.

Screenshot_20250308-201619_1.jpg
Screenshot_20250308-201702_1.jpg
 
Back
Top Bottom