Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwani taleban walikua na nini ambacho us alikua hanaNyie pro Iran huwa mnajitoa ufahamu kweli, Iran inaweza kupambana na USA kwa lipi? Kitu gani Iran anacho ambacho anaweza kumtishia USA? Kiburi cha Iran ni sawa na enzi za Sadam Husein , kila siku alikuwa anasema USA akiivamia Iraq askari wote wa USA watachinjwa na kurudisha majeneza, leo yak wapi? Iran anataka kuharibu uchumi wa nchi yake na kusambaratisha taifa lake
Iran haharibu uchumi wake sababu hana mpango wa kuingia vitani na mtu ila akiingizwa atajibu vikali sanaaa
Acha kufananisha Ira na mambo ya kijinga kijana