Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

Hakuna kitu kama Israel...wale ni USA agents... kwahiyo Iran hawezi shindana na USA for now
 

Katika nchi zenye uwezo kijeshi Israeli mtoe, ule uongo mliokua mkidanganya marahii umefika mwisho. Hana uwezo hata wa kupigana na wanamgambo, mwezi wa sita huu anahangaika na Hamas. Kuporomosha majumba na kuuwa wanawake na watoto huo ni wendawazimu sio vita.
 
Kupima uwezo wa nchi katika medali za kivita ni ngumu kiasi kwasababu Israel anawashirika na Iran anawashirika. Ubora wa hao washirika unanafisi kubwa katika kuamua matokeo chanya. Israel huenda hamuogopi Iran ila anawaogopa washirika wa Iran.
Katika medani za kivita Irani na washirika wake wanaweza Kuwa bora dhidi ya Israel na Washirika wake.
 
.
 
Hakuna kitu kama Israel...wale ni USA agents... kwahiyo Iran hawezi shindana na USA for now
US yenyewe inaigopa Iran ikiwa Ma Al Hout wa Yemen kawakimbia iwe Iran.

US labda akapige nuclear tu ndio atamshinda Iran, lakini Iran mwendo anao kwenda nao kwenye kutengeneza silaha, US atie maji kichwani karibu atanyolewa huko huko ndani ya US.
 
Mkuu, umeuliza swali zuri ila sasa mbona hujaweka vigezo vya kuzingatia zaidi ya Udini tu? Yan kwa mfano Israeli isimame kama israeli(nchi peke yake bila washirika) na Iran kama Iran (nchi peke yake bila washirika) au
 

Na kuna wakristo bongo meno yote nje wakifurahia kuuawa kwa watoto/Raia wasio na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…