Je Israel imeshindwa kuwaokoa mateka?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
 
Israel hata hawajui mateka waliko
 
We unafikiri Israel hajui wenda mateka walishiauawa siku nyingi?
Mateka wanatumika kama kisingizio tu cha kumdunda adui yake.
Muarabu amejichanganya pabaya kwa myahudi kwasababu wote ni wazee wa 'jino kwa jino'.. tena myahudi kaanza kitambo.. historia yao imejaa vita
 
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
hivi toka vita ianze Hamas hawajauawa hata mmoja mbona sioni Hamas wakitangaza vifo vya Hamas tunaona inatangazwa vifo vya wanawake na watoto
 
Wewe endelea kuamini ujinga

Mateka walifika lini Syria?

Walifika lini Iran na kule kwa wa Hizibolla?

Kama mateka wako pale Gaza,, kwa nini vita vinajitanua kiasi hiki, huoni kuwa hizo ni sababu za Israel kuziadabisha nchi hizo kwa mgongo wa mateka?
 
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
Wapo sawa wanatakiwa wauwe raia kwasababu hawo raia wakikua wanakuwa magaidi na vile vile hamasi iliteka raia hawo
 
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
Wameua mateka wengine Kama 7 hivi pamoja na walinzi wao waliwatwanga mabomu baada ya kupata location. Zayuni ni mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…