Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Nani wewe umemuona anashabikia vita??
Mara ngapi unaonesha furaha ya wazi kabisa kwa kuuwawa wapalestina.?

Kwanini isikutoshe kuwatuhumu na kuwawajibisha HAMAS lakini wewe umevuka mpaka kufurahia vifo vya wasiokuwa na hatia. Shame on you
 
Imefikia wapi oparation Gideon? Ulipotangaza Kwa mbwembwe? Hamas wameisha?
Bado mbichi kabisa na ndiyo wameanza vipi Hamas wameshadoda? Mwambie jamaa yako apunguze Kabobo maana Oct 07,2023 alikuwa na furaha sana mwambie aendelee na furaha hiyohiyo aache kubwabwaja ovyo!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    34.8 MB
Mara ngapi unaonesha furaha ya wazi kabisa kwa kuuwawa wapalestina.?

Kwanini isikutoshe kuwatuhumu na kuwawajibisha HAMAS lakini wewe umevuka mpaka kufurahia vifo vya wasiokuwa na hatia. Shame on you
Hakuna asiye na hatia Gaza hao raia walishiriki kikamilifu kwenye mauaji ya Oct 07,2023 na mpaka sasa hivi wanawahifadhi mateka kwenye nyumba zao na wanahifadhi na maiti zao bila hata kujali!!

Maiti za watoto Familia ya Bibas walijitokeza kwa wingi kufurahia vifo vya watoto Kfri ,Ariel na mama yao Shrii. Kwa kuwa wewe ni mjinga nimekuwekea na video uone labda ujinga wako utakutoka ili siku nyingine usiniletee uzwazwa wako!!!

View: https://x.com/sprinterobserve/status/1713064886027063584?s=12

View: https://x.com/cherylwroteit/status/1853167570263687639?s=12

View: https://x.com/vividprowess/status/1895645037012414537?s=61

View: https://x.com/abierkhatib/status/1851836494383546491?s=61

View: https://x.com/zin_zjzik/status/1921961167326441692?s=61

View: https://x.com/eyakoby/status/1902047960084455642?s=61

Kwa UZUZU wako hao ndiyo kwa uzwazwa wako unawasema hawana hatia? Kaa kwa kutulia acha ujinga!!!
They strangled babies and then celebrated. You people are sick!!!!
 
🇵🇸🤝🇪🇸 — Hamas Movement:
➡️We appreciate the decision of the Barcelona City Council to sever relations with the occupation government and suspend the friendship agreement with the Tel Aviv municipality in solidarity with our Palestinian people.

➡️We urge countries and cities of the world to activate the boycott of the rogue occupation, isolate it, and hold it accountable for its massacres and the crime of starvation against our Palestinian people in the Gaza Strip.
Hata hawatikisi kitu malengo yote mpaka yatimizwe
 
"We will support you with your brother "........
Baada ya kufanya joint oparation iliyoondoka na wajaalana 10 Kwa mpigo Al Qasam amepublish joint wall frame na Al Quds... Chini yake akisema hio silaha haitashuka chini either ushindi au ushahidi peponi
Tupe ka video tuhakikishe kama si TAQIYYAH yenu maana kwa uongo mna zaidi hata Shetani!!
 
Hakuna asiye na hatia Gaza hao raia walishiriki kikamilifu kwenye mauaji ya Oct 07,2023 na mpaka sasa hivi wanawahifadhi mateka kwenye nyumba zao na wanahifadhi na maiti zao bila hata kujali!!

Maiti za watoto Familia ya Bibas walijitokeza kwa wingi kufurahia vifo vya watoto Kfri ,Ariel na mama yao Shrii. Kwa kuwa wewe ni mjinga nimekuwekea na video uone labda ujinga wako utakutoka ili siku nyingine usiniletee uzwazwa wako!!!

View: https://x.com/sprinterobserve/status/1713064886027063584?s=12

View: https://x.com/cherylwroteit/status/1853167570263687639?s=12

View: https://x.com/vividprowess/status/1895645037012414537?s=61

View: https://x.com/abierkhatib/status/1851836494383546491?s=61

View: https://x.com/zin_zjzik/status/1921961167326441692?s=61

View: https://x.com/eyakoby/status/1902047960084455642?s=61

Kwa UZUZU wako hao ndiyo kwa uzwazwa wako unawasema hawana hatia? Kaa kwa kutulia acha ujinga!!!
They strangled babies and then celebrated. You people are sick!!!!

Sasa mimi na wewe unaetumia AI mpaka leo haujui kingereza nani atakuwa mjinga.?
Kutukana ni ishara ya kuishiwa hoja, sema umezeeka vibaya ningekushauri ukaanze kusoma elimu ya darasani ungeelewa hata Centrifugal ni kitu gani. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kiingereza Mimi kinisaidie nini mimi Mmatumbi wa kilwa?
 
Acha wavivunjevunje tu hakuna namna kwani wao wanasema wazi ni kwa ajili ya kuingamiza Israel. Dwa ni kuwawahi!
 
Angekuwa na izo ndege au mbavu kubwa mbona Sababu alishapata baada ya kupigwa kama Mtoto mara 2 !!

Taifa gani liliwai kuishambulia Israel na Israel isijibu !!!

ujajua tu Iran ndio Baba lao..
Iran baba lao, au sio!
 
Iran ipo mbali zaidi ya Syria au Iraq toka Israel, sasa tujiulize kama F-16 na F-15 zinaweza kubeba makombora yenye uwezo wa kupiga vinu vya nuclear vilivyopo chini ya ardhi kwa kuyabeba umbali toka Israel mpaka Iran? hii inamaanisha mabomu ya maangamizi yawe na filling weight kubwa kuliko yale waliyotumia Syria na Iraq, katika mashambulizi ya Iraq na Syria ndege za Israel zilikuwa zikibeba external tanks, katika operation ya kwanza ndege ziliachia tanks kwenye jangwa la Saudi hata mission ya pili ndege ziliachia tanks Turkey wakati wanarudi hii ni kupunguza uzito,sasa F-16 na F-15 zitabeba tanks kubwa kiasi gani zenye fuel ya kutosha kuzifikisha Iran na kurudi?

Ndio maana nawaambia hizo ni ngonjera hawana huo uwezo, bunker buster ya kupiga kinu cha nuclear kilicho chini ya mlima inabidi iwe na uzito usio wa kawaida kitu ambacho kwa hizo F16s n.k hazina huo uwezo...

Ndio maana kwa miaka mingi Israel imekuwa ikijitahidi kuchelewesha Iran kupata silaha za nuclear kwa kuua wanasayansi, ku hack mifumo ya urutubishaji lakini hawajafanikiwa... sasa wameamua waende kushambulia kwa jinsi wanavyosema kitu ambacho pia hawatoweza...

Hii mada niliandika 2020...

Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?
Bado unaamini hawateza kisa ndege za F15-16. Unadhani Israeli hakuandaa ndege zenye uwezo zaidi kama hizi za F-35?
 
Back
Top Bottom