Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Hata kwa Magaidi wa Hezbollah mlikuwa mnawaramba Matako. Sasa tena mmehamia kuwapambania matako Iran hata hivyo Mtanyooshwa tu Mbwa nyie!!
Hezbollah ni gang tu kama bongo na panya road.haina hata viwanda vya silaha
 
Wana wasi wasi sana na hivi juzi wameona anazalisha Uranium nyingi wameogopa sana
Nimeona habari kwamba Israel inajipanga kesho jumapili waishambulie Iran, Netanyahu ameshatoa tamko rasmi wananchi wanunue chakula cha kutosha wahifadhi huko kwenye mahandaki ...

Iran pia imefunga anga, Russia ndio imetoa taarifa kwamba Israel inajipanga kuishambulia Iran...

Netanyahu anachotaka ni kuefusha mizozo hapo ME kwa sababu anajua akitoka tu madarakani ICC inamhusu...
 
Kwani ilikuaje mamia makombora na drones zilizosafiri km zaidi 2000 kuingia kwenye anga la Israel nchi inayosifika kuwa na kinga bora ya anga duniani?
Mimi nakumbuka Iran ilirusha makombola zaidi ya 400 kati yake 200 yalipopolewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel makombola mengine yaliangukia sehemu za wazi hivyo haya kuwa na madhara na hayakuua Myahudi hata mmoja bali yaliangukia tu mhamiaji haramu kutoka Gaza aliyejipenyeza kama Gaidi na kuuliwa na makombola hayo!!!


View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1842064184923562126?s=61
 
Mzigo huo hapo unasoma 60%


🇮🇷❌🇮🇱🇺🇳 — The International Atomic Energy Agency (IAEA) reported that Iran's stockpile of 60% enriched uranium has increased to 408 kilograms.

➡️Using 410 kilograms of 60% enriched uranium, 16 to 24 tactical nuclear bombs can be made, which can cause certain destruction and death within a radius of 500 meters and can be used to destroy military bases.
Hizo ni ndoto za mwendawazimu
 
Mimi nakumbuka Iran ilirusha makombola zaidi ya 400 kati yake 200 yalipopolewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel makombola mengine yaliangukia sehemu za wazi hivyo haya kuwa na madhara na hayakuua Myahudi hata mmoja bali yaliangukia tu mhamiaji haramu kutoka Gaza aliyejipenyeza kama Gaidi na kuuliwa na makombola hayo!!!


View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1842064184923562126?s=61

1- Iran haikutuma makombora 400 kwenye true promise 1 na 2..

2- Iran haikulenga wananchi wa Israel japo uwezo huo wlikuwa nao...

Ndio maana walipiga base za kijeshi na maeneo yenye silaha za kijeshi, hivyo makazi ya raia ni very easy target..
 
Operesheni ya Israeli ya kushambulia mpango wa nyuklia wa Iran imekuwa tayari kwa miaka mingi sasa Kinachohitajika sasa ni kuidhinishwa tu. Lakini hapa ndio watu wengi hawajui:

Wakati Israeli ililenga maeneo ya nyuklia ya Iran hapo awali, ikiwa ni pamoja na centrifuges na viwanda vya ulinzi, haikutumia ndege za kivita. Kwa hiyo Israeli walifanyaje mashambulizi hayo?

Hebu nifuatilie hapa chini:

1. Stuxnet Cyberattack (2010)
View attachment 3351317
Mnamo Juni 2010, mashambulizi ya mtandaoni ya Stuxnet, operesheni ya kisasa iliyopewa jina la "Operesheni ya Olimpiki ya Michezo" na Marekani na Israel, ililenga kituo cha kurutubisha uranium cha Natanz cha Iran. Mdudu aina ya Stuxnet alijipenyeza kwenye mifumo ya udhibiti wa viwanda ya kituo hicho, na kusababisha takriban centrifuge 1,000 kusogea bila kudhibitiwa na kujiharibu. Silaha hii isiyo na kifani ilivuruga mpango wa nyuklia wa Iran, na kuchelewesha urutubishaji wa uranium kwa wastani wa mwaka 1-2.

Mlipuko wa Natanz (Julai 2020)
View attachment 3351325
Mnamo Julai 2, 2020, mlipuko mkubwa ulitikisa kituo cha juu cha mkutano wa centrifuge kwenye tovuti ya nyuklia ya Natanz ya Iran, ambayo ilihusishwa sana na hujuma ya Israeli. Inakisiwa kuhusisha vifaa vya vilipuzi vilivyotegwa na wahudumu, mlipuko huo ulisababisha uharibifu mkubwa kwa warsha hiyo muhimu kwa ajili ya kutengeneza vijidudu vya hali ya juu. Shambulio hilo lilivuruga kwa kiasi kikubwa uwezo wa Iran wa kutengeneza vipengele hivi, na kuchelewesha mpango wake wa kurutubisha uranium kwa miezi. Maafisa wa Iran walithibitisha tukio hilo kuwa ni hujuma.

Natanz Blackout (Aprili 2021)
View attachment 3351323
Mnamo Aprili 11, 2021, kukatika kwa umeme kwa ghafla kulikumba kituo cha kurutubisha uranium cha chini ya ardhi huko Natanz, siku moja tu baada ya Iran kuwezesha vijito vipya. Tukio hilo lililopewa jina la "ugaidi wa nyuklia" na mamlaka ya Irani, lilihusishwa na Israeli na labda lilisababishwa na mlipuko uliolenga usambazaji wa umeme wa kituo hicho. Shambulio hilo liliharibu maelfu ya centrifuges, na kuvuruga kwa kiasi kikubwa uwezo wa Iran wa kurutubisha uranium na kuchelewesha mpango wake wa nyuklia.

Shambulio la sfahan Drone (Januari 2023)
View attachment 3351328
Mnamo Januari 28, 2023, ndege nyingi zisizo na rubani ziligonga kiwanda cha risasi huko Isfahan kinachohusishwa na wizara ya ulinzi ya Iran, na kusababisha milipuko katika shambulio sahihi linalohusishwa sana na ujasusi wa Israeli. Wakati Iran ikidai kuwa mashambulizi hayo ya ndege zisizo na rubani hayakufaulu, ripoti za nje zilionyesha uharibifu mkubwa kwenye kituo hicho. Operesheni hiyo ilivuruga uwezo wa utengenezaji wa ulinzi wa Iran na kufichua udhaifu katika mifumo yake ya ulinzi wa anga, ikisisitiza uwezo wa Israel wa kulenga maeneo nyeti ndani ya ardhi ya Iran.

Je, shambulio litakalofanywa na Israel dhidi ya Iran litahusisha ndege za kivita, au kila kitu kiko tayari?

Je, centrifuges zilizobaki tayari zimenaswa?
Sio mshabiki wa vita wala mauaji, lakini nina mashaka makubwa sana na Taaluma yako, huenda ulisomea magitaa na matarumbeta pekee, that's why hata uzi wako umetumia AI kuuwasilisha.

Naomba tuanzie kwenye Centrifugal ni kitu gani, nyie huwa mnasema waislamu hawasomi wala hawapendi elimu, nakaribisha mjadala huru hapa. Tupe maana ya Centrifugal na maelezo yake yakinifu, sasa ole wako nikupe quiz halafu ukimbie
 
Nimeona habari kwamba Israel inajipanga kesho jumapili waishambulie Iran, Netanyahu ameshatoa tamko rasmi wananchi wanunue chakula cha kutosha wahifadhi huko kwenye mahandaki ...

Iran pia imefunga anga, Russia ndio imetoa taarifa kwamba Israel inajipanga kuishambulia Iran...

Netanyahu anachotaka ni kuefusha mizozo hapo ME kwa sababu anajua akitoka tu madarakani ICC inamhusu...
Tulioko huku hakuna taarifa hiyo lakini wewe uliye Bongo unazo taarifa ninyi ndiyo mnaliharibu Jukwaa hili kwa habari zenu za uongo uongo!!
 
1- Iran haikutuma makombora 400 kwenye true promise 1 na 2..

2- Iran haikulenga wananchi wa Israel japo uwezo huo wlikuwa nao...

Ndio maana walipiga base za kijeshi na maeneo yenye silaha za kijeshi, hivyo makazi ya raia ni very easy target..
1- kama haikurusha makombola 400 ilirusha mangapi najua hujui!!!
2-Maneno ya mtu asiye na ufahamu wa mambo ya vita!! Je kwenye hizo base hakukuwa na watu/askari wote walikimbia na kuacha kambi wazi?
 
Sio mshabiki wa vita wala mauaji, lakini nina mashaka makubwa sana na Taaluma yako, huenda ulisomea magitaa na matarumbeta pekee, that's why hata uzi wako umetumia AI kuuwasilisha.

Naomba tuanzie kwenye Centrifugal ni kitu gani, nyie huwa mnasema waislamu hawasomi wala hawapendi elimu, nakaribisha mjadala huru hapa. Tupe maana ya Centrifugal na maelezo yake yakinifu, sasa ole wako nikupe quiz halafu ukimbie
Hapo waislamu wameingiaje?
 
Yemeni Armed Forces Statement: Hypersonic Strike on Ben Gurion Airport
➖
🇾🇪|🤔 In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful
"Allah will certainly support those who support Him. Indeed, Allah is Powerful and Exalted in Might" (Quran 22:40)

The Yemeni Rocket Force has successfully struck Tel Aviv's Ben Gurion Airport (Lod) with a hypersonic ballistic missile, achieving:
• Complete operational success by Allah's grace
• Mass evacuation of Zionist settlers to shelters
• Total shutdown of airport operations

We reaffirm our commitment to:

Continue supporting Palestinian resistance
Maintain aerial blockade on Israeli aviation
Escalate operations until Gaza siege is lifted
"Allah is sufficient for us, and He is the best disposer of affairs"
Long live free Yemen - Victory to all freedom fighters
➖
🌟@DEQNEWS
Uongo mtupu hakuna lolote!!
 
Astafilulaah kitumbua si andazi kwa taarifa yako Ben~Gurion inafanya kazi haijawahi kufungwa na mimi June 08,2025 siku ya Jumapili nitaondoka kupitia uwanja huo kurudi nyumbani.

Uongo uongo wewe unapenda sana toka asubuhi nasikia miungurumo ya midege kuruka na kutua kutokea hapo!! Israel si ya kutisha na Houth huoni sasa wao ndiyo wamefunga anga ndege yao iliyobaki nayo imeangamizwa!!!!!!!!!

Wa kupambana na Israel bado kabisa hajazaliwa!!!! Na lazima mjue Israel ni Kidume huko Mashariki ya kati na huko Uajemi!!
A country which can simultaneously fight in multiple fronts without disturbing its economy
 
1- kama haikurusha makombola 400 ilirusha mangapi najua hujui!!!
2-Maneno ya mtu asiye na ufahamu wa mambo ya vita!! Je kwenye hizo base hakukuwa na watu/askari wote walikimbia na kuacha kambi wazi?
Kwani Iran ilipopiga zile kambi za US kule Iraq kuna askari alikufa?
 
Sio mshabiki wa vita wala mauaji, lakini nina mashaka makubwa sana na Taaluma yako, huenda ulisomea magitaa na matarumbeta pekee, that's why hata uzi wako umetumia AI kuuwasilisha.

Naomba tuanzie kwenye Centrifugal ni kitu gani, nyie huwa mnasema waislamu hawasomi wala hawapendi elimu, nakaribisha mjadala huru hapa. Tupe maana ya Centrifugal na maelezo yake yakinifu, sasa ole wako nikupe quiz halafu ukimbie
Nani wewe umemuona anashabikia vita??
 
🇵🇸🤝🇪🇸 — Hamas Movement:
➡️We appreciate the decision of the Barcelona City Council to sever relations with the occupation government and suspend the friendship agreement with the Tel Aviv municipality in solidarity with our Palestinian people.

➡️We urge countries and cities of the world to activate the boycott of the rogue occupation, isolate it, and hold it accountable for its massacres and the crime of starvation against our Palestinian people in the Gaza Strip.
 
"We will support you with your brother "........
Baada ya kufanya joint oparation iliyoondoka na wajaalana 10 Kwa mpigo Al Qasam amepublish joint wall frame na Al Quds... Chini yake akisema hio silaha haitashuka chini either ushindi au ushahidi peponi
 

Attachments

  • IMG_20250531_152603_506.jpg
    IMG_20250531_152603_506.jpg
    105.2 KB · Views: 28
“We are not in a situation in which European leaders are viewing Israel and its leadership eye-to-eye with Russia and its leader, Putin, who invaded Ukraine,” said Ingber. “There is still an understanding that Israel was attacked on October 7 and had no choice but to defend itself and is fighting to bring back the remaining hostages held in Gaza.” Kuna sehemu imeandikwa kwenye hiyo link yako!!
 
Back
Top Bottom