Hapo amekutana na muajemi akili nyingi, na ukiangalia Iran imejifunza kama sana kutoka Iraq na Syria kwa yaliowatokea, kuanzia mashambulizi ya vinu vya nuclear n.k
Mfano mzuri Iraq ilijenga kinu kama uwanja wa mkapa, kipo wazi, hata Syria vile vile ndio maana vilipigwa na ndege za Israel..
Iran ikakaa chini ikaona dawa ni kuweka vinu chini ya milima, kitu ambacho Israel imekosa jibu ifanye nini kuharibu, wameitahidi kuua wanasayansi lakini nyuma kuna wanasayansi kama wote, akifa huyu yule anaendelea..
Kingine ukaguzi, hili ndilo lilifanya Sadam apigwe...
US na Israel wanakosa usingizi kutaka kufahamu Iran imefikia wapi kijeshi hasa kwenye nuclear...
Ngoma bado ni ngumu..