and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Hamas, nHezbollah na Houthi bado wapo kiongozi...Muda utanena yaliyo mema.Hata Hezbollah, Hamas na Houth zilikuwa ni el-hadith kama hizo tu.
Hamas, nHezbollah na Houthi bado wapo kiongozi...Muda utanena yaliyo mema.Hata Hezbollah, Hamas na Houth zilikuwa ni el-hadith kama hizo tu.
Hata wagonjwa mahututi wapo na hatuwaiti marehemu ndugu.Hamas, nHezbollah na Houthi bado wapo kiongozi...
Sawa kiongozi nimekuelewa, mimi hebu niendelee kusoma comments za wataalamu wa mambo hapaMataifa mengi tu yamechangia katika Tech iliyopo duniani.. hizo ni propaganda..
Shida yenu, unaweza kukuta NASA ina engineers 100 kwa mfano, lakini kati ya hao wakitokea wawili ama 10 wakawa ni wayahudi basi ngonjera zitaanza kwamba bila hao wayahudi hio project haiwezekani...
Haya matangopori sijui mnatoa wapi?
Kila nchi, taifa, dini na hata kabila zilizochangia kwenye ukuaji wa tech , uchangiaji wao ulikuwa na umuhimu mkubwa pengine wasingekuwepo kuna vitu visingefanyika...
Sasa kama wapo mahututi si Israel iwamalize kabisa waishe?Hata wagonjwa mahututi wapo na hatuwaiti marehemu ndugu.
Mi nachotafakari anawezaje kushambulia hivyo vinu?![]()
Saudi warned Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike
DUBAI (Reuters) -Saudi Arabia's defence minister delivered a blunt message to Iranian officials in Tehran last month: take President Donald Trump's offer to negotiate a nuclear agreement seriously bec...www.yahoo.com
Anawaomba wakubali kuchomwa sindano ya kujiua kwa hiyari yao.Sasa kama wapo mahututi si Israel iwamalize kabisa waishe?
Kwa maneno yako hayo Israel wanasema uongo hawana uwezo wa kuishambulia Iran? Je hawajawahi kuishambulia Iran?Israel ina bomber ya kubeba bomu lenye uzito zaidi ya tani 13, na hio ndege isafiri hadi Iran na kurudi hadi Israel?
Vitu vingin zungumzeni kwa hoja acheni movies za hollywood, zungumza realistic..
Mi nakupa facts we unaimba taarabu...
Israel haina strategic bombers kama B-2, B-1 au B-52 , lakini inatumia ndege za kivita zenye uwezo wa kubeba mabomu mazito na kufanya mashambulizi ya kina ni kama bombers ndogo kwa mazingira ya Mashariki ya Kati.
Katika ndege waliyonayo ambayo ina uwezo mkubwa wa kubeba mizigo mizito na kusafiri umbali mrefu ni F-15i inabeba hadi tani 11.. hebu tueleze wana ndege gani nyingine yenye huo uwezo?
Na hapo inabidi kuwe na drop tanks au air refueling kwa kutumia ndege kama KC-46 Pegasus au KC-707...
Wekeni hoja acheni ngonjera na propaganda, vita si movie...
Kumbuka F-15I inabeba mizigo mizito kuliko F-35 Adir ambayo tani 8.2 kwa external na internal, F-35 mizigo na silaha inabeba kwa ndani ili iwe stealth, lakini ikibebeshwa tani 8.2 zote inabidi mizigo mingine ikae kwa nje na hapo inakuwa sio stealth tena.. je iatapenya anga la Iran...? kwanza haitofika kwa maana hata bunker buster moja ya GBU-57 uenye tani 13 haina uwezo wa kubeba...
Twendeni na hoja tuache taarabu..
Narudia tena zinapoishia nchi za kiarabu na Uajemi kufikiria hapohapo ndipo Israel inaanzia kwa kwenda mbele. Israel wasingekuwa na uwezo hata wasingeweza kusema lolote juu yao!!Mi nachotafakari anawezaje kushambulia hivyo vinu?
Israel inachofanya ni Saber-rattling, kwa maana mziki wa Iran wanautambua vyema...
Hizbollah,Hamas na Houth bado wanafanya oparation zao kama kawaida. Al Houth kafunga anga na bahari, Hamas bado anakupumulia na amekataa ceasefire jana, hizbollah yuko kwenye ceasefire na myahudi hivyo anajipanga kivyake na taarifa juzi Katuma drone ya intelligence ikarudi salama myaudi kachukia kusambaza mjengo mzima eti ni wa hizbo kati walishahama siku nyingi.Muda utanena yaliyo mema.Hata Hezbollah, Hamas na Houth zilikuwa ni el-hadith kama hizo tu.
Nitakuwa nakukumbusha Ila tu usije kuzima simu!!!!Kuna watu humu jamiiforums naweza kupingana nao kwa hoja, na hizi mada tulishajadili humu miaka nyuma..
Wewe ni taarabu tu huwa unaimba.. hujui hochote kuhusu geopolitics na masuala ya kijeshi... ni mahaba juu ya Israel yamekujaa..
Hizbollah,Hamas na Houth bado wanafanya oparation zao kama kawaida. Al Houth kafunga anga na bahari, Hamas bado anakupumulia na amekataa ceasefire jana, hizbollah yuko kwenye ceasefire na myahudi hivyo anajipanga kivyake na taarifa juzi Katuma drone ya intelligence ikarudi salama myaudi kachukia kusambaza mjengo mzima eti ni wa hizbo kati walishahama siku nyingi.
🫸🫷🧐Nitakuwa nakukumbusha Ila tu usije kuzima simu!!!!
Wewe ndugu,una khatari wewe!Haya maneno yasiwafikie wale mandugu-digitals!😜Iran bado ni bikra sana kwenye maswala ya technologia
We jamaa akili zako unazijua mwenyewe..Kwa maneno yako hayo Israel wanasema uongo hawana uwezo wa kuishambulia Iran? Je hawajawahi kuishambulia Iran?
Kwa hiari yao wakati kila siku anashambulia Houthis? anashambulia Hamas...Anawaomba wakubali kuchomwa sindano ya kujiua kwa hiyari yao.
Wenyewe hawajibu mapigo?Kwa hiari yao wakati kila siku anashambulia Houthis? anashambulia Hamas...
Hujaweza kunipa source ya data zako. Hakuna cha muziki wa Iran kwani walidundwa na Israel mwaka jana na hawakufanya lolote (nimetoa source). Anyway, tusubiri...Mi nachotafakari anawezaje kushambulia hivyo vinu?
Israel inachofanya ni Saber-rattling, kwa maana mziki wa Iran wanautambua vyema...