Mnyonge Kabisa
Senior Member
- Nov 7, 2018
- 102
- 73
Sijawahi amini wala sitaamini maneno yaliyo katika biblia, mengi yana lengo fulani juu ya kitu fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na sisi Wabantu siku isiyo na jina tuamue kurudi Cameroon na Niger eti kisa historia inasema kuwa asili yetu ipo huko? Unahisi Wacameroon na Waniger wataukubali huo ujinga?....Wayahudi walishaondoka Eneo la "Palestina ya sasa" zaidi ya miaka 1000 iliyopita na Hao Waarabu wa Palestina walianza kukaa hapo baada ya kuanguka kwa dola la Kirumi mwaka 470's ...sasa hapo unawezaje kumtoa mtu ambaye amespend more than 900 years kwenye nchi "inayotambulika duniani kote" halafu uje Na bible yako mkononi useme hapo ni kwako!! That's not fair/right.Hakuna taifa ambalo halina ardhi yake, wanatumia maandiko kuunda upya lile taifa lao, baada ya kuzaliwa kwa red haife, muda si mrefu ule msikiti watabomoa ili wajenge hekalu na hivyo kukamilisha unabii wa nabii Ezekiel!
Kurudi kwao hakukufanyika kupitia Bible bali maafikiano ya UN, ingawaje kwa sasa wanatumia Bible kudai maeneo yaliyo na historia muhimu kwao, ila pia saa nyingine kuwarudisha watu walipotokea siyo mbaya, hata Afrika inapaswa kuwarudisha hawa waarab wa Afrika kaskazini(Magreb) kule walikotokea.Kwa hiyo na sisi Wabantu siku isiyo na jina tuamue kurudi Cameroon na Niger eti kisa historia inasema kuwa asili yetu ipo huko? Unahisi Wacameroon na Waniger wataukubali huo ujinga?....Wayahudi walishaondoka Eneo la "Palestina ya sasa" zaidi ya miaka 1000 iliyopita na Hao Waarabu wa Palestina walianza kukaa hapo baada ya kuanguka kwa dola la Kirumi mwaka 470's ...sasa hapo unawezaje kumtoa mtu ambaye amespend more than 900 years kwenye nchi "inayotambulika duniani kote" halafu uje Na bible yako mkononi useme hapo ni kwako!! That's not fair/right.
Wewe ndio wa hovyo kweli, ndani ya Palestina kuna Wayahudi Wakristo na Waislam.Waislam wachache wahovyo kweli wakiongozwa na media zinazojiita zina misingi ya kiislam.
.
Nenda kawakomboe sasa hao wapalestina wanaodhurumiwa anzisheni jihad dhidi ya Israel mwasubiri mini miongo yote hiyo?
Sawa sawaNi hiyo hiyo ya Netanyahu
Hujalazimishwa kuamini, Mungu ana watu wengi.Sijawahi amini wala sitaamini maneno yaliyo katika biblia, mengi yana lengo fulani juu ya kitu fulani.
Basi kama unawaona ni wa kispoti spoti kapigane nao ndio ujue Mungu yupo upande wao ama hayupo.Tofauti na wadogo zao (Watoto wa mama yao wa kambo HAJIR) ambao watapigana naye lakini mwisho wa siku Mungu anaingilia kati, hakuna taifa lingile litakalothubutu kumgusa huyo binadamuSijawahi amini wala sitaamini maneno yaliyo katika biblia, mengi yana lengo fulani juu ya kitu fulani.
Nakuunga mkono mkuuIsrael walijiita hivyo kwa vile waliwahi kustaarabika, na kwa uzalendo waliokuwa nayo kwa nchi ya na miji yao eg Jerusalem wakayaita maeneo matakatifu. Lakini ukiniuliza mimi hakuna bustani nzuri ya Eden kama Serengeti & Ngorongoro ambako viumbe wote wa Mungu wanapatikana, na Tanganyika yangu ikiwa ndiyo taifa teule. Sema sisi technology duni, umasikini, uongozi mbovu usiothamini raia wake nk
Kibongobongo unapotumia neno 'ma' kabla ya jina kama herufi hiyo sii sehemu ya jina hilo basi umelitumia kwa kumdharau, na kumkebehi. Wapeni heshima zao hao ni WAYAHUDI na hata kwenye kitabu kuna sura inayowahusu.kwanza nyinyi wakristo mujue mayahudi sio ndugu zenu wao wanadini yao na ninyi mna dini yenu na ukristo haujaaziia israel umeanza kwa watu wa mataifa ( warumi na wagiriki) na na mji mtukufu ni ule baitul maqadis (jerusalem) ambako ni Palestine na sio Israel
Akili kweli wewe hauna kabis.Yaani huyu Mungu wa huruma ninaemsikia ndo anaruhusu hawa wapuuzi watumie silaaa? Shenzi kabisa wwBasi kama unawaona ni wa kispoti spoti kapigane nao ndio ujue Mungu yupo upande wao ama hayupo.Tofauti na wadogo zao (Watoto wa mama yao wa kambo HAJIR) ambao watapigana naye lakini mwisho wa siku Mungu anaingilia kati, hakuna taifa lingile litakalothubutu kumgusa huyo binadamu
We binti ndio hujui kabisa maandiko. Mungu huyu huyu ndio aliowaongoza na kuwasimamia hawa mabwana kupigana vita vingi na akawa upande wao, umesahau hadithi ya Musa Alipokwenda kuwatoa utumwani mwa Mwarabu wa misri aliyejulikana kama PHARAOH ambaye kuna watu wanamwita FIRAUNI? unakumbuka mapigo aliyoyapata FIRAUNI huyo wa kiarabu hadi kuwaachia taifa la Mungu warudi kwenye ardhi yao ya asili ambayo ndio sasa wamefika? unakumbuka mapigo waliyoyapata pale bahari ya shamu walipojitia vihere here kuwafuta?Akili kweli wewe hauna kabis.Yaani huyu Mungu wa huruma ninaemsikia ndo anaruhusu hawa wapuuzi watumie silaaa? Shenzi kabisa ww
hapo uliposema HADITHI umepoteza maana yote.Kumbe ni hadithi so kunaweza kusiwepo ukweli? Biblia ipo kimikakati tuu na ata huyo unaemwita Firauni au Farao unayoyasikia juu yake sio kweli ata kidogo soma vitabu hususan kitabu kilichanddikwa kipindi cha Dark Age Period utaelewa.Narudia kusema Sitakuja kuamini biblia wala dini yoyote iwe ukristo, uyahud au uislam.MwishoWe binti ndio hujui kabisa maandiko. Mungu huyu huyu ndio aliowaongoza na kuwasimamia hawa mabwana kupigana vita vingi na akawa upande wao, umesahau hadithi ya Musa Alipokwenda kuwatoa utumwani mwa Mwarabu wa misri aliyejulikana kama PHARAOH ambaye kuna watu wanamwita FIRAUNI? unakumbuka mapigo aliyoyapata FIRAUNI huyo wa kiarabu hadi kuwaachia taifa la Mungu warudi kwenye ardhi yao ya asili ambayo ndio sasa wamefika? unakumbuka mapigo waliyoyapata pale bahari ya shamu walipojitia vihere here kuwafuta?
Hadithi ni simulizi ya mambo ya kale yawe ya kweli ama ya uongo. Kwa huwa sisi tunayasoma kwenye maandiko na yalitokea kale ni hadithi tuu.hapo uliposema HADITHI umepoteza maana yote.Kumbe ni hadithi so kunaweza kusiwepo ukweli? Biblia ipo kimikakati tuu na ata huyo unaemwita Firauni au Farao unayoyasikia juu yake sio kweli ata kidogo soma vitabu hususan kitabu kilichanddikwa kipindi cha Dark Age Period utaelewa.Narudia kusema Sitakuja kuamini biblia wala dini yoyote iwe ukristo, uyahud au uislam.Mwisho
mnaisoma biblia kufurahisha mioyo yenu na sio kama SAUTI YA MUNGUWayahudi walitumia maandiko ya Mwenyezi Mungu vibaya sana kujipa "superiority"...hata hivyo hali ya sasa inawaumbua mbele ya macho ya Watu duniani kote kwani hawana tofauti na Congo (DR), Syria au Afghanistan. Kwanza kisheria na kiutaratibu ni Wadhulumat wa ardhi ya Wapalestina japo wanatumia hayohayo maandiko kujisafishia njia ya kuwanyanyasa Wapalestina. Kwa kiburi walimkataa hata Yesu (Nabii Issa A.S).