Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Sio tu mabinti zetu, hata watoto wetu wa kiume. Maake huu uchafu unazidi kukua siku hadi siku. Kibaya zaidi wahanga hawazungumzi

Dunia inazidi kuchafukwa siku hadi siku. Tuweni makini

Msiseme sikuwaambia
 
IMG_5256.jpg

Eti alimkubalia kichwa tu [emoji16]

Qmamae zake kichwa?

Kaisikilizia yote [emoji16]

Mwandishi nae konyo sana angemficha uso huyo demu ila ni sawa tu hata kupiga yowe ya kuomba msaada beach [emoji2513] allishindwa
Bora angenyama
Imeenda hiyo kula kimasiara
 
Kivipi mkuu
Mi malaya tu hiyo. Ukifatilia interview nzima utashangaa mwishoni anatoa namba za simu ili mwenye uhitaji apige ahudumiwe.

Iliwahi kupostiwa video nyingine kama hii kuwa aliliwa 0713 kwa nguvu. Mwishoni akasema anatoa 'huduma miguu' yote akatoa na namba za simu.
 
Sio tu mabinti zetu, hata watoto wetu wa kiume. Maake huu uchafu unazidi kukua siku hadi siku. Kibaya zaidi wahanga hawazungumzi
View attachment 2778112
Dunia inazidi kuchafukwa siku hadi siku. Tuweni makini

Msiseme sikuwaambia
Hizi interview wanazifanya Hawa waaandishi uchwara Sana Ili wapate views kwenye viblog vyao na utube Huku wakiwatafuta Malaya na kuwalipa Yani tz ina watu wa hovyo balaaa
 
Huku panyaroad wanatikisa, kule beach boys wanatamba!

Hivi huko Daslamu hakunaga Serikali?

-Kaveli-
 
Mbona kama vile tatizo lipo beach zote za waswahili bongo? Ni beach zipi tatizo ni kubwa

Huko Daslamu ni kama vile hakuna Mamlaka wala Serikali.

Panyaroad tu walitikisa Jiji. Hao beach boys nao wanabaka mabinti na wadada huko kwenye fukwe kana kwamba ni Jambo la kawaida tu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom