Ni nini hicho kilifanya uwepo wa Nguvu nyingi?
Ni wapi Asili ilitoa jina Yesu? Na kwa namna gani?
Nguvu ni jambo la asili katika uumbaji. Shetani ajaumba wala hawezi umba hata sisimizi. Kuna nguvu kuu mbili yaani positive toka kwa Mungu na negative toka kwa shetani. Jesus Christ ndie asili ya positive power. Hizi nguvu azichangamani, mwanadamu kapewa uwezo wa kuamua awe negative au positive. Nguvu ya jina la Yesu inatokana na asili ya uumbaji na nguvu ya jina hili utenda kazi kwa imani.
Hakuna Uchawi ulio mkuu hapa duniani kupita ule uliomo katika hoja za neno IMEANDIKWA....Wewe kama ni mkristo na nimeona kwa jinsi ulivyoandika unaamini ukristo,lakini nataka nikushauri kitu Mungu anakupenda na naona unahitaji msaada wake.Hii elimu uliyoleta huna hata andiko moja kutoka kwenye biblia kuisupport hata basi tuletee kama imokwenye Quran.Katika ukristo kujadili jambo bila reference au andiko lolote la kwenye biblia linalosupport hichokitu ni sawa na stroy za kijiweni.
Kama unanielewa njoo,PM,Nimekufuatilia naona umeleta video ya mtu aliyekuwa mtumishi wa shetani na sasa anamtumikia Mungu unataka tumsikilize na tujifunze kutoka kwake.Hiki ulichofanya watumishi wengi wanachemka na wanakosea,Yesu alipoondoka alisema sita waacha yatima nitawaletea msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu,yeye ni mfariji,yeye ni mshauri yeye ni mwalimu.
Kwa kifupi chanzo cha elimu au jambo lolote ambalo wakristo wanatakiwa kujifunza linatakiwa litoke kwa Mungu,hii elimu yako haijatoka kwa Mungu na inapingana na maandiko.
Kwanza nakubali watu wanatofautiana nguvu na nguvu inaweza ongezeka,inaweza pungu ana inaweza isha.Wanafunzi wa Yesu waliletewa mtu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa ,wakaomba hakupona.Yesu alipomwombea yule mtu akafunguliwa katika kifungo chake.Wale wanafunzi baadaye wakamuuliza Yesu inakuwaje?Akwaambaia mambo mengine hayawezekani isipokuwa kwa kufunga na kuomba.
Ukisoma Efeso 3:20
"Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu"
Hapo juu panaonyesha ndani yetu kuna nguvu na nguvu hiyo haifanani i.e tunatofautiana sasa wewe kusema eti mwanadamu ana nguvu ACD 1 hizi ndizo elimu za kupotosha watu.
Katika kitabu cha mambo ya Nyakati 1 Nya 16:11 "Mtakeni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote".Unaona hapo maandiko yanaonyesha Mungu ndiye anayetujaza nguvu kwa kadri apendavyo,sasa unaposema wanadamu wana nguvu sawa ni kinyume na maandiko.Assume una watu wawili "A" na mwingine "B".Mtu "A" anabidii sana katika kumtafuta Munguna nguvu zake lakini mtu "B" hana bidii.Iweje hawa watu wawe na nguvu sawa?
Kosa ambalo limekuwa linafanyika katika makanisa ya leo nikuwapa muda waliokuwa watumishi washetani wawafundishe(sikatai mtu anaweza kuwa alikuwa mtumishi wa shetani na akarudi kweli kumtumikia Munghu) lakini hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba hiyo elimu anayowafundisha kanisani imetoka kwa Mungu?Kama haikutokamkwa Mungu na aliipata kwa shetani siyo sahihi kumpa muda awafundishe.Badala yayeye kukaa nyie mmfundishe,yeye anaanza kuwafundisha nyie mambo ya kuzimu ambayo hata hamna uhakika kama anachowaambia ni kweli au si kweli.Tena akiweka na maandiko kidogo ndiyo mnapatikana kweli.Je mmesahau ya kuwa shetani ni baba wa uongo?Je hujui kama shetani kuna muda huwa anasema ukweli kidogo ili akunase?Elimu inayotakiwa kufundishwa kanisani chanzo chake ni lazima iwe Mungu na siyo shetani.Kama Mungu anataka tuyajue yanayofanywa upande wa giza yeye ana uwezo wa kuyaweka wazi.Yesu alipokuwa anatoa pepo alikuwa haruhusu mapepo yaanze kuto maelezo,leo hii eti mtumishi anamsikilza pepo anavyotoa amelezo "tulimtesa sana huyu,bibi yake anamhitaji awe cmhawi,pepo anaongea nawe unasadiki,lakini hapo ujue kuna ukweli umechanganyikana na uongo....".Enzi za Yesu alikuwa anasema "Pepo ninakuamulu ukae kimya na umtoke mtu huyu,leo mtumishi anapiga story na mapepo,"ehe Mlivyomchukua mlimfanya nini...?? .Nawahurumia sana wale manojiita Wakristo na hamna muda wa kusoma biblia na kuyafuatilia haya mambo.Someni biblia ili muijue kweliotherwise utaingia kwenye mitego ya adui.
Kwa hiyo hii elimu yakoya kipimo cha nguvu ni batili,ila kama utaweza kuniletea maandiko kutoka kwenye biblia yanayoisupport yamkini naweza kukubaliana na wewe kama utakuwepo ushahidi.Nawakaribisha Private (pm) kwa ushauri na maswali.
Regards
Aqua
Mtumishi nimekuelewa kwanza Mimi namkubali zaidi mtu aliyekuwa gizani au aliyekuwa mtumishi wa shetani na akaacha na akaamua kumtumikia Mungu,huyu ndie mtumishi sahahi ambae Bwana amemuita sababu alikuwa kwa shetani akiamini ndie nguvu kuu kuliko Yesu,katika misukosuko yake shetani akashindwa kumsaidia na kumuokoa dhidi ya kombora toka kwa Yesu akageuka sasa kama shetani mwenyewe niliyekuwa namuabudu namtegemea amekula kona kaniacha nipambane na hali yangu dhidi ya Yesu, au walipokuwa wakienda kwenye nyumba za watu wa Mungu wanakuta moto wa gesi,mlima mkubwa,barafu,nk au walipokuwa wanaenda mahospitalini kuchukua vitoto vichanga vyenye ulinzi wa Mungu awasogei yaani wanakutana na moto wa kwann mtu huyu asione kumbe Yesu ndie mwenye nguvu zaidi kuliko shetani, kama shetani mwenyewe anakimbia. Utapambana vipi na shetani kama umjui vizuri anavyotenda Kazi, ukitaka kumjua adui ni vyema umjue. Kuwa mtumishi wa Mungu kwa kujifungia tu kwenye elimu ya Ukristo pekee bila kujifunza elimu zingine wewe bado ni mchanga, utajua vipi sasa utendaji Kazi wa ulimwengu wa roho, maana huwezi ongoa roho kama uujui vizuri ulimwengu wa roho. Hawa waliokuwa watumishi wa shetani wanaujua vizuri tena in deep zaidi ulimwengu wa roho kuliko mtu aliyepata elimu tu ya darasani bila vitendo. Zipo shuhuda za watu walikuwa gizani leo ni watumishi au ni Wakristo wazuri zaidi ya waliozaliwa kwenye Ukristo baada ya kuijua kweli,Tazama mtume Paulo kabla ndie aliyewaua Wakristo wengi sana kabla ajakutana na nguvu ya Yesu akiwa kwa shetani akiamini ndie nguvu kuu kuliko,baada ya kupata wongofu akawa Mkristo ndie aliyeanzisha makanisa mengi Sana na ndie aliyechangia Sana kuenea kwa Ukristo asia ndogo na ulaya mashariki,mtu alikuwa mchawi na jambazi Sugu ameua maelfu leo anamuhubiri Kristo akinifundisha ubaya wa dhambi kwann nisimuamini zaidi. Mimi nazungumzia elimu ya ulimwengu usioonekana tena elimu ya jumla sio category ya Christianity au Quran. Ukitaka kuujua ulimwengu usioonekana ambao upo pande mbili wa giza na nuru usijifungie tu kwenye elimu yako tu jifunze pia imani zingine wao wanasema nini.Wewe kama ni mkristo na nimeona kwa jinsi ulivyoandika unaamini ukristo,lakini nataka nikushauri kitu Mungu anakupenda na naona unahitaji msaada wake.Hii elimu uliyoleta huna hata andiko moja kutoka kwenye biblia kuisupport hata basi tuletee kama imokwenye Quran.Katika ukristo kujadili jambo bila reference au andiko lolote la kwenye biblia linalosupport hichokitu ni sawa na stroy za kijiweni.
Kama unanielewa njoo,PM,Nimekufuatilia naona umeleta video ya mtu aliyekuwa mtumishi wa shetani na sasa anamtumikia Mungu unataka tumsikilize na tujifunze kutoka kwake.Hiki ulichofanya watumishi wengi wanachemka na wanakosea,Yesu alipoondoka alisema sita waacha yatima nitawaletea msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu,yeye ni mfariji,yeye ni mshauri yeye ni mwalimu.
Kwa kifupi chanzo cha elimu au jambo lolote ambalo wakristo wanatakiwa kujifunza linatakiwa litoke kwa Mungu,hii elimu yako haijatoka kwa Mungu na inapingana na maandiko.
Kwanza nakubali watu wanatofautiana nguvu na nguvu inaweza ongezeka,inaweza pungu ana inaweza isha.Wanafunzi wa Yesu waliletewa mtu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa ,wakaomba hakupona.Yesu alipomwombea yule mtu akafunguliwa katika kifungo chake.Wale wanafunzi baadaye wakamuuliza Yesu inakuwaje?Akwaambaia mambo mengine hayawezekani isipokuwa kwa kufunga na kuomba.
Ukisoma Efeso 3:20
"Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu"
Hapo juu panaonyesha ndani yetu kuna nguvu na nguvu hiyo haifanani i.e tunatofautiana sasa wewe kusema eti mwanadamu ana nguvu ACD 1 hizi ndizo elimu za kupotosha watu.
Katika kitabu cha mambo ya Nyakati 1 Nya 16:11 "Mtakeni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote".Unaona hapo maandiko yanaonyesha Mungu ndiye anayetujaza nguvu kwa kadri apendavyo,sasa unaposema wanadamu wana nguvu sawa ni kinyume na maandiko.Assume una watu wawili "A" na mwingine "B".Mtu "A" anabidii sana katika kumtafuta Munguna nguvu zake lakini mtu "B" hana bidii.Iweje hawa watu wawe na nguvu sawa?
Kosa ambalo limekuwa linafanyika katika makanisa ya leo nikuwapa muda waliokuwa watumishi washetani wawafundishe(sikatai mtu anaweza kuwa alikuwa mtumishi wa shetani na akarudi kweli kumtumikia Munghu) lakini hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba hiyo elimu anayowafundisha kanisani imetoka kwa Mungu?Kama haikutokamkwa Mungu na aliipata kwa shetani siyo sahihi kumpa muda awafundishe.Badala yayeye kukaa nyie mmfundishe,yeye anaanza kuwafundisha nyie mambo ya kuzimu ambayo hata hamna uhakika kama anachowaambia ni kweli au si kweli.Tena akiweka na maandiko kidogo ndiyo mnapatikana kweli.Je mmesahau ya kuwa shetani ni baba wa uongo?Je hujui kama shetani kuna muda huwa anasema ukweli kidogo ili akunase?Elimu inayotakiwa kufundishwa kanisani chanzo chake ni lazima iwe Mungu na siyo shetani.Kama Mungu anataka tuyajue yanayofanywa upande wa giza yeye ana uwezo wa kuyaweka wazi.Yesu alipokuwa anatoa pepo alikuwa haruhusu mapepo yaanze kuto maelezo,leo hii eti mtumishi anamsikilza pepo anavyotoa amelezo "tulimtesa sana huyu,bibi yake anamhitaji awe cmhawi,pepo anaongea nawe unasadiki,lakini hapo ujue kuna ukweli umechanganyikana na uongo....".Enzi za Yesu alikuwa anasema "Pepo ninakuamulu ukae kimya na umtoke mtu huyu,leo mtumishi anapiga story na mapepo,"ehe Mlivyomchukua mlimfanya nini...?? .Nawahurumia sana wale manojiita Wakristo na hamna muda wa kusoma biblia na kuyafuatilia haya mambo.Someni biblia ili muijue kweliotherwise utaingia kwenye mitego ya adui.
Kwa hiyo hii elimu yakoya kipimo cha nguvu ni batili,ila kama utaweza kuniletea maandiko kutoka kwenye biblia yanayoisupport yamkini naweza kukubaliana na wewe kama utakuwepo ushahidi.Nawakaribisha Private (pm) kwa ushauri na maswali.
Regards
Aqua
Asili ni chanzo na nguvu ni uwezo wa kufanikisha jambo.Mkuu Kalunya , mpaka uliopo kati ya Nguvu na Asili ni UPI? Maana kwangu Asili ni kisawe tu cha neno Nguvu.
Ni nini hasa kilifanya uwepo wa nguvu mbili, yaani Hasi na Chanya? Yaani Shetani na Mungu?
Kwanini asikuepushe kabisa na tukio hilo, mpaka amekuacha ugongwe, upata hasara ya gari.Yesu ndio chanzo cha uzima wangu, nilishawahi kugongwa na treni, licha ya kwamba gari yangu iliharibiwa kabisa lakini mimi binafsi nilitoka nikiwa mzima kabisaaaaaaaaa
Wizi utapeli umehamia makanisaniShetani hajawahi liogopa. Ndio manaa Kila Siku anaingia Kanisani. Na Kuwavuruga Humo. Sasa Hivi Ni Jina La Maigizo Zaidi kuliko Uhalisia
Wachawi wanauwa watoto wadogo ambao hawana ulinzi wa damu ya Yesu Kristo kwa ajili ya Kazi za kichawi au kujiimalisha kichawi au kumtolea sadaka shetani afurahi Ili awape kile watakacho.Unatofautishaje Maangamizo ya Uchawi na yale ya Mungu?
Wachawi wanaua watoto wadogo, sawa na Mungu katika maandiko.
Unatofautishaje?
Ili uKuu wake ujihidhirishe kwake na hata kwa wengine wapate shuhuda ya kwamba ukimtumaina Yesu Kristo hawezi kukuacha yatima.Kwanini asikuepushe kabisa na tukio hilo, mpaka amekuacha ugongwe, upata hasara ya gari.
Ulimkosea nini mpaka akakuacha, unaingia kwenye ajali, iliyekupa hasara.
Yesu kwako anakulinda wewe tu, mali zinajilinda zenyewe.
Ni mpaka upibuliopo kati ya Asili/Chanzo na Nguvu? Maana kwangu bado hicho ni Kitu kimoja.Asili ni chanzo na nguvu ni uwezo wa kufanikisha jambo.
Ili nguvu iwepo ni lzm iwepo chanzo cha nguvu hio negative au positive.
Nguvu na asili vinategemeana nguvu haiwezi fanya Kazi kama hakuna asili.
Hakuna dhambi bila shetani. Hakuna wokovu bila Mungu.
Mungu kaumba dunia na kaweka vitu vyote vinavyoonekana na visivyoenekana, kaweka misingi ya ulimwengu. Shetani alikuwa kwa Mungu baada ya kulewa sifa na kuzijua siri akaingiwa wivu na tamaa ya kutaka kuumiliki ulimwengu. Mungu akaona hila ya shetani akamfukuza toka mbinguni pamoja na malaika zake waliomuasi Mungu. shetani akaweka bifu na vita ya kupambana na Mungu. Shetani ni mpinzani wa Kazi ya Mungu ulimwengu akaanzisha nae sheria zake kupitia zile za Mungu ambazo zinaitwa dhambi mfano ua, zini, iba, uwongo, abudu mizimu, tumainia waganga wa kienyeji, na vyote kinyume na Mungu. So nguvu nyanya zinatoka kwa Mungu na hasi kwa shetani na hizi nguvu uoenekana kupitia matendo.
Alilala.Kwanini asikuepushe kabisa na tukio hilo, mpaka amekuacha ugongwe, upata hasara ya gari.
Ulimkosea nini mpaka akakuacha, unaingia kwenye ajali, iliyekupa hasara.
Yesu kwako anakulinda wewe tu, mali zinajilinda zenyewe.
Yaani hata mbwa analinda mtoto wa bwana wake anaposogelewa na hatari, Ila huyo Yesu amekaa tu anaangalia mtoto mdogo akidhurumiwa uhai naye yupo tu asimpe ulinzi?Wachawi wanauwa watoto wadogo ambao hawana ulinzi wa damu ya Yesu Kristo kwa ajili ya Kazi za kichawi au kujiimalisha kichawi au kumtolea sadaka shetani afurahi Ili awape kile watakacho.
Watoto wachanga ni bidhaa ghali Sana kwa wachawi ikiwemo kutengeneza mafuta ya upako,na Kazi zingine.
Tofauti ya maangamizo ya kichawi na ya Mungu.
Mungu amchukui mtu ambae ajamaliza miaka yake aliyopangiwa kuishi.Wachawi uua mtu asiye na ulinzi wa Mungu kwa interest zao kama ni kuwafanya misukule kwa Kazi za dukani, mashambani, kafara ya utajiri, vyeo, madaraka, matambiko, kufanya Kazi kuzimu, au kuwala nyama, nk. Kuna vifo vya aina mbili cha Matakwa ya wachawi na cha Matakwa ya Muumba.
Ili aonyeshe ukuu wakeKwanini asikuepushe kabisa na tukio hilo, mpaka amekuacha ugongwe, upata hasara ya gari.
Ulimkosea nini mpaka akakuacha, unaingia kwenye ajali, iliyekupa hasara.
Yesu kwako anakulinda wewe tu, mali zinajilinda zenyewe.
Kumbe serikali inakosea sana, Wanapo waasa madereva, kuwa tahadhari ya usalama barabarani, kumbe ajari zinasababishwa na Wachawi.Ili uKuu wake ujihidhirishe kwake na hata kwa wengine wapate shuhuda ya kwamba ukimtumaina Yesu Kristo hawezi kukuacha yatima.
Je wajua ya kwamba katika usafiri wa mabus hata abiria mmoja tu akisali na kuomba ulinzi wa damu ya Yesu Kristo bus haliwezi onekana kwenye radar za wachawi barabarani Ili litolewe kafara.
Panapo original na feki nayo ipo.Watu wanashindwa tofautisha Kati ya Christianity na white magic,kuna mitume na manabii feki na original, na huu ni msiba wa dini zote hizi mbili kuna watu ni mashehe lakini ni waganga na wanawaongopea watu kwa kuwahadaa kutumia vitabu vya Mungu, ndo hao udanganywa watu kwamba kuna jini mzuri na kuna jini mbaya Ili kuwahadaa waumini, hawa wote ni washirikina tupu jini ni kiumbe kilichomuasi Mwenyezi Mungu toka lini kikawa kizuri, jini ni shetani na Kazi ya shetani ni kuuwa, shetani hana urafiki kabisa na mwanadamu hata kama atampa utajiri na mali lakini mwishoni ni lzm atamuua tu baada ya kumaliza ndugu zake.
Serikali haishughuliki na mambo ya ulimwengu usioonekana bali unaonekana.Kumbe serikali inakosea sana, Wanapo waasa madereva, kuwa tahadhari ya usalama barabarani, kumbe ajari zinasababishwa na Wachawi.
Hao wengine watapataje Shuhuda, ikiwa kuamini ajali ile amekuponya yesu inabaki kwa muumini, asiamini bila kumuona yesu akifanya uokoaji ataamini vipi.
Hao watoto waliouliwa na huko Misri ndo kwanza taarifa hizo napata kwako,liweke wazi hili.Yaani hata mbwa analinda mtoto wa bwana wake anaposogelewa na hatari, Ila huyo Yesu amekaa tu anaangalia mtoto mdogo akidhurumiwa uhai naye yupo tu asimpe ulinzi?
Mbwa wa namna hiyo nyumbani hufukuzwa.
Katika biblia, Mungu aliamuru kuuliwa watoto wadogo wakiume huko misri? Unatofautishaje hilo na Uchawi? Usiukimbie Ukweli. Mungu aliruhusu na kubariki Uzinzi wa mtu na watoto wake, nk...
Unatofautishaje na kazi za umuitaye shetani?
KILA mtu ana utashi wake na uamua upande autakao kulingana na interest zake.Hakuna mipaka Kati ya nguvu na asili.Mwanadamu ni roho na roho ndio utenda Kazi ndani ya mwanadamu.Roho ni nguvu.dhambi ni roho chanzo ni nguvu hasi.Ni mpaka upibuliopo kati ya Asili/Chanzo na Nguvu? Maana kwangu bado hicho ni Kitu kimoja.
Unasema ili kuwa na Nguvu ni lazima kuwe na Chanzo, na kwa mujibu wako umedai Mungu ni Positive Energy na Shetani ni Negative. Je, ndio kusema kwamba kuna kilicho juu ya Mungu? Yaani ASILI?
Lakini pia, ni nini kinakufanya uipersonalize Nguvu, iwe hasi au chanya? Nguvu inavaaje Sifa na kuenenda kwa mihemko ya kibinadamu, amabayo kwa wazi kabisa inatambulika kuwa ni zao LA mwili?
Shetani akalewa Sifa, Mungu akaona/akamfukuza....nk.. Kwanini unazivisha hizi nguvu sifa za kibinadamu?
Kwangu Ukamilifu uko katika Umoja, ni kutokuwa na upande wa Pili.
Unachokiita keo kuwa Dhambi, vyote vimeshawahi kufanywa na Mungu wa vitabuni, je naye ataandikiwa hizo dhambi?
Mkuu, IPO Nguvu moja tu nayo ndiyo ASILI, ukiamua kuiita Mungu au Shetani ni sawa tu. Ila cha kuzingatia UNAPOITII INATENDA, na UNAPOIKIUKA INATENDA VILEVILE.
Ila hakuna aneweza kuendesha gari, kanuni za usalama barabarani, Ukitegemea Yesu atakuokoa.Serikali haishughuliki na mambo ya ulimwengu usioonekana bali unaonekana.
Yesu ni roho, Yesu ni nguvu, huwezi ona roho au nguvu katika ulimwengu wa mwili
Panapo original na feki nayo ipo.Watu wanashindwa tofautisha Kati ya Christianity na white magic,kuna mitume na manabii feki na original, na huu ni msiba wa dini zote hizi mbili kuna watu ni mashehe lakini ni waganga na wanawaongopea watu kwa kuwahadaa kutumia vitabu vya Mungu, ndo hao udanganywa watu kwamba kuna jini mzuri na kuna jini mbaya Ili kuwahadaa waumini, hawa wote ni washirikina tupu jini ni kiumbe kilichomuasi Mwenyezi Mungu toka lini kikawa kizuri, jini ni shetani na Kazi ya shetani ni kuuwa, shetani hana urafiki kabisa na mwanadamu hata kama atampa utajiri na mali lakini mwishoni ni lzm atamuua tu baada ya kumaliza ndugu zake.
Mfano zumarid anafanya white magic na sio Christianity, chochote kile kifanyikacho nje ya maandiko siyo cha Kikristo. Hata Yesu alionya watakuwepo Ma Yesu wengi kuwaadaa watu.