Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Hafs ni muongo kwenye Hadith ila Koran kawaletea ya kweli😂😂😂
sawa sawa , Jibu hoja usirukeruke na hoja yza rafiki yako Hafs au naye kawaandikia biblia ??
 
Unakubali Yesu si Mungu kwa hoja nilizowaandikia ??
Kitu Cha kwanza kabla hauja hoji uungu wa Yesu , unatakiwa kwenye kichwa chako utofautishe kwanza Mungu wa wakristo na Mungu Allah nature zao ni tofauti kabisa

Ukileta nature ya Allah Kwa Jehovah lazima utaanza kuandika vitu ukajiona una hoja ila tunakuona ni mpuuzi tu

Nature ya Allah
Physical being, yani ni kitu kinachoonekana kwa macho ya damu na nyama na kinashikika kina macho, mguu mmoja, mikono miwili upande mmoja, na penis

Nature ya Jehovah
Ni spirit au ni Roho

Tuanzie hapo kwanza
 
Tueleze Hafs miaka zaidi ya 200 baada ya muhammad halijuaje Koran?


Injili kama ilivyo andikwa na…


Wanatheolojia wanatufahamisha kuwa Biblia imeandekwa kwa uwezo wa roho mtakatifu kwa maana kila kilichokuwemo ndani ya biblia ni kitakatifu na hakina shaka.

Historia kama nilivyo eleza hapo juu, haitufahamishi chochote kile kuhusu asili ya biblia ya mwanzo imepotelea wapi. Kilicho patikana ni ile iliyokuwa imeandikwa kwa kigiriki na kisha ikatafsiriwa kwa Kiyahudi na lugha nyinginezo. Ikiwemo lugha maarufu ya kiingereza.

Kosa mojawapo kubwa lililo fanyika katika kutafsiri biblia hizi, ni kunakili kutoka biblia zenye asili ya Kiyunani au kigiriki. (Greek). Watarajuni walio tafsiri kutoka asili yake na kupeleka kwa lugha ya kigiriki hawajulikani na wala hatuambiwi ni kina nani. Naogopa kusema kuwa asili ya biblia ilitokana na lugha aliyo zungumza Bwana Yesu kwa kuchelea kutopata ushahidi yakinifu.

Kwa maana hiyo basi injili asili haipatikani kwenye biblia hizi tuzijuazo. Kinachopatikan ni kumbukumbu na mifano ya injili iliyochanganyika na maneno ya waandishi. Na ndio maana tukaona injili hizi za kwenye biblia zimebeba vichwa vya maneno yafuatayo… “Injili kama ilivyoandikwa na…” (The Gospel According to…), Kumbukumbu la... nk.

Na ukiangalia madhumuni ya injili ya Luka, hutashindwa kugunduwa kuwa mwandishi alikusudia kumfahamisha Theofilo mambo mambo yaliopitikana zamani. Mambo yaliyompata Bwana Yesu.

Thomas Ward mwandishi wa kikatoliki ameandika kwenye kitabu chake kuwa;

''…Wasomi wa zamani walikuwa na wasi wasi na sura ya mwisho ya injili ya Marko na wengine hawakukubali baadhi ya aya za sura ya 23 kwenye injili ya Luka na wengine hawakubali kabisa sura mbili za mwanzo katika injili hiyi hiyo ya Luka. Kwa sababu sura hizo hazi kuwemo kwenye injili za asili...''

Wataalamu wa mambo ya uandishi, fasihi na lugha wanasema kuwa mtindo wa uandishi wa kiyahudi hautofautiani sana ule wanao tumia waislam. Yaani kuunganisha mapokeo (Isnad). Lakini katika injili hizi nne hatuyakuti hayo. Tumeletewa tafsiri bila asili.

Kwenye Injili ya Yohana sentesi zilizo tumika au aya zinaonyesha kuwa zimeandikwa katika mtindo wa nafsi ya tatu kiambata. (third person). Yohana 1:6 na 1:15, Hii inaonyesha kuwa mwandishi si Yohana bali mtu mwingine kabisa, lakini lengo lake ni kutaka kuinasibisha injili hii na Yohana wa Zebedayo.

Injili hii imeandikwa mnamo mwaka wa 90-100AD. Japokuwa wanatheolojia wanatuambia kuwa mwandishi yawezekana ni Yohana wa Zebedayo au Yohana Mkubwa (John The Elder). Uandishi wa biblia na kukosa kwake kupata asili yake, ndo ulopelekea hata hao walio nakili kutoka kwenye lugha ya kigiriki kuwa na shaka na kuamua kuandika maneno haya yafuatayo… “Injili kama ilivyo andikwa na…

Ukisoma Yohana 21:24 utagunduwa tu kuwa mwandishi alikuwa anataka kumsingizia Yohana ili injili yake ikubaliwe. Wayahudi ni kama Waarabu hawatumii jina moja katika kutaja majina yao. Hawa wana tabia ya kutaja jina lake na baba na hata babu wakati mwingine. Utamaduni ulotumika hapa ni wa kigiriki na si wa kiyahudi.

Askofu Irenaeus wa Lione wa karne ya pili, ambaye aliakuwa mwanafunzi wa Polycarp (69-155AD), Polycarp ambaye inasemekana ni mwanafunzi wa Yohana wa Zebedayo, hakukubali wala kuikataa injili hii kama haliwahi kumsikia Polycarp akisema kuwa hii ni injili ya Yohana. Polycarp alikuwa ni mtu hodari na mahiri sana. Yeye alikuwa ameweza kuihifadhi injili yote kichwani kwake. Kama vile tunavyo hifadhi waislam Qur’an. Irenaeus aliwahi kumsikia Polycarp akisema kuwa;

…nilisikiliza maneno haya kwa uangalifu mkubwa na kwa rehma zake Mungu niliyaandika yote si kwenye karatasi tu bali hata kwenye moyo wangu, na kwa kipindi kirefu nilijenga tabia ya kuyasoma mara kwa mara

Lakini ni kitu cha ajabu sana kwa askofu huyu, kwani hakuwahi kuthibitisha ukweli wa injili hii ya Yohana. Aliogopa kuwa kama akisema kweli kitakacho mpata ni mauti ya kuchomwa moto adharani. Na hii ndio ilikuwa adhabu maarufu kwa wakati huo.

Wanatheologia wanadai kuwa injili ya kwanza kuandikwa ni ya Mathayo. Lakini wataalamu hivi leo wanatuambia injili ya kwanza kabisa ni ya Marko na si Mathayo. Baadae ndo zikafuata injili ya Mathayo na Luka na mwisho injili ya Yohana. Injili hizi hazitokani na wanfunzi wa Bwana Yesu ni mapokeo ya mdomo kwa mdomo tu kutoka kwa watu tofauti tofauti. (Luka 1:1-4).

Injili tatu za mwanzo zina maudhui yanayo fanana, zinaeleza histori matendo na kazi zake Bwana Yesu. Injili ya nne ya Yohana imejikita sana na kutangaza uungu wa bwana Yesu. Kiasi ya kwamba hata wataalamu wa biblia wakaitilia shaka kama tulivyo eleza hapo juu. Wataalamu na wachunguzi wa kijerumani Bwana Karlhudwig Schmidt, Martin Debelius na Puddf Bultmann, ambao walianzisha kitu kinacho itwa uchunguzi makini wa vyanzo vya uandishi wa injili wanasema kwamba injili hizi hazina ushirikiano katika mambo mengi ya msingi.

Kuanzia kuzaliwa kwa Bwana Yesu mpaka kunako semakana kuondoka kwake hapa duniani. Injili hizi hazina ushirikiano wa tarehe, muda, na hata mahala. Kila injili inatofautiana na nyingine. Mfano mdogo ni pale aliposurubiwa Nabii Yesu (as). Je ni neno gani la mwisho alilo tamka Bwana Yesu (as). Kabla ajakata roho?

Mathayo na Marko wanakoti maneno kutoka Zaburi 22:2, “…Eloi Eloi lama sabaktan…”, injili ya Luka inasema “…Baba mikononi mwako naiweka roho yangu…”, injili ya Yohana inasema “…imekwisha”.

Grotius msomi maarufu wa enzi zake anasema kuwa Injili ya Yohana ya asili, ilikuwa na sura 20 tu. Sura ya 21 ilikuja kuongezwa baadae na kanisa la Ephosus.

Na hata dhehebu la kale la Allogia, kwenye karne ya pili wao hawakuikubali injili hii na kazi zote za Mtakatifu Yohana. Hata waandishi wa kikristo mwanzo hawakukubali aya 11 za mwanzo katika sura ya 8, kwa sababu aya hizi hazipo kwenye biblia ya Syrine Version.
 

ushahidi wa maandiko please
 
Jina lipitalo majina yote nafsi ya pili ya Mungu inayokaa upande wa kuume wa Mungu Jina unalolitaja pakiwa na mapepo km Maimuna,Fatuma yanatoroka kabisa ni jina lenye kuogopwa sana Zaidi hta ya vitu vyote km matememeko,radi Hilo ni jina la Yesu Masihi atakayerudi Kiama kufufua walio wafu
 

Jina La Allah Ndani Ya Biblia





Ukifungua "Al-Kitaab Al-Muqadis(الكتاب المقدس)' (yaani Kitabu Kitakatifu), bibilia itumiwayo na wakristo wanaozungumza lugha ya Kiarabu neno Allah limetumiwa kila penye neno Mungu au Yehova.

Kwa wale ambao hawafahamu herufi za Kiarabu nimeweka hapa aya kutoka katika Qur'an ili wapate kulinganisha. Katika aya hizi za kiarabu zilizopo hapa chini, neno la Kiarabu "Allah" nimelikoza ili liweze kutambulika kirahisi.

Baada ya kulinganisha aya hizi inategemewa kila mmoja ataweza kuona kwamba neno 'Allah' linaonekana katika Qur'an na pia katika Biblia, kwani ni neno la Kiarabu lenye maana ya Mwenyezi Mungu.

Insha'Allah, mifano hii itaondoa mashaka kwa wale walioingizwa kwenye mkumbo wa kuamini kwamba "Waislamu na wakristo wanaamini Mungu tofauti"

Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha ukweli huu isipokuwa kumshauri kila mmoja mwenye mashaka kufanya utafiti wake mwenyewe bila ya upendeleo, chuki na jazba.

[Qur'an 1:1 * tafsiri ya Kiswahili]

"Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu"

"Bismi Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"

بسم الله الرحمن الرحيم

[Mwanzo 1:1 * Biblia ya Kiswahili]

"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na na nchi"

[Mwanzo 1:1 *Biblia ya Kiarabu]

"Fiy-al-badi' khalaqa Allahu as-Samawawwat wal Ardh"

فِي الْبَدْءِ خَلَقَ اللهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ،
source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: Genesis 1

[Yohanna Mt. 3:16 * Biblia ya Kiswahili]

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa..."

[Yohanna 3:16 * Biblia ya Kiarabu]

"Li-annhu haakadha ahabba Allahu ul 'Aalama hataa badhala"

لأَنَّهُ هكَذَا أَحَبَّ اللهُ الْعَالَمَ حَتَّى بَذَلَ ابْنَهُ الْوَحِيدَ، لِكَيْ لاَ يَهْلِكَ كُلُّ مَنْ يُؤْمِنُ بِهِ، بَلْ تَكُونُ لَهُ الْحَيَاةُ الأَبَدِيَّةُ.

source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: John 3:16;

[Luka 1:30 * Biblia ya Kiswahili]

"Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu"

[Luka 1:30 * Biblia ya Kiarabu]

"Laa takhaafiy, yaa Maryam, li-annaki qad wajadt ni'mat(an) 'inda Allahi"



لاَ تَخَافِي يَامَرْيَمُ، فَإِنَّكِ قَدْ نِلْتِ نِعْمَةً عِنْدَ اللهِ
source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: Luke 1:30;

[Luka 3:38 * Biblia ya Kiswahili]

"wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu"

[Luka 3:38 * Biblia ya Kiarabu]

"bni anuusha, bni shiyti, bni Aadama, abni Allahi."

بْنِ أَنُوشَ بْنِ شِيثِ، بْنِ آدَمَ ابْنِ اللهِ

source: http://www.biblegateway.com/passage/?search=luke 3:38;&version=28;

[Mathayo 19:17 * Biblia ya Kiingereza * New King James Version]

Yaani "aliye mwema ni mmoja, naye ni Mungu

"there is none good but one, that is, God"


[Mathayo Mt. 19:17 * Biblia ya Kiarabu]

"laysa ahadun saalihaan illa waahdun wa huwa Allahu"


 
Mkristo yeyeto anaetumia jina Allah anakosea

Umeshamsikiliza sheikh wako anakwambia Allah ana viungo na ni physical being

Sasa katika Hali hiyo anapohoji mambo ya Yesu na uungu wake usiweke nature ya Allah
 
Mkristo yeyeto anaetumia jina Allah anakosea

Umeshamsikiliza sheikh wako anakwambia Allah ana viungo na ni physical being

Sasa katika Hali hiyo anapohoji mambo ya Yesu na uungu wake usiweke nature ya Allah
Anakosea kwa amri yako au mchungaji wako ??

Na ndio maana quran imekuja kuweka sawa .

Unajaribu kuleta mambo ya huyo sheikh wazko unasahau kuwa huyo jehovah katika biblia amevuta mpaka sigara ??? akaomba msamaha, yaani alikosea vile , akanyoa nywele ,,,akapigwa mieleka ? hiyo ni topic nyengine tuje kwenye hoja ya Yesu si mungu
 
Amenifanyia amani by Paul Clement
Amenifanyia amani
amenifanyia furaha
kaondoa huzuni yangu
 
Hiyo biblia iliyotaja jina Allah ni yenu waislamu,

Sheikh umemuelewa kwanza , Allah ana mikono miwili upande mmoja, ana ugoko, vidole ,mguu, USO , macho na penis

Mpaka uelewe hapa kwanza NDio tuje ya uungu wa Yesu , usipo elewa Allah wako alivyo tukija kwa Yesu utachanganyikiwa kama ulivyochanganyikiwa sasa
 

unajaribu kubadilisha topic , wewe endelea kumfuata huyo sheikh , lakini yesu mwenyewe katika biblia anakataa kuwa yeye ni mungu

na ushahidi nimekuwekea hujajibu unakimbilia kwa huyo sheikh wako
 
Kuna vitu nataka uelewe kwanza kabla hatujaja kwa Yesu

Tuna visa viwili hapa
1. Jibril Kawa mtu kamili na for sure alikuwa na penis , swali huyu mtu wangemuua wangekuwa wamemuua Jibril au la?
19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu

2. Jibril yupo chumbani kwa Muhammad na ana umbo la binadamu ambae alikuwa handsome pale kijiji kwa Muhammad anaitwa kalbi, muhammad anakwambia huyu mlie ni Kuta nae chumbani sio kalbi mnae mjua ni jibril , swali kwa nini jibril atumie umbo la kalbi? Je wangamuua umbo kalbi wangekuwa wamemuua Jibril au la ? Kama la kwa nini? Kama ndio kwa nini?

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…