Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
sasa kama ni hivyo jibu hojahata mimi ni mwanafunzi wa Yesu ,unasemaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama ni hivyo jibu hojahata mimi ni mwanafunzi wa Yesu ,unasemaje sasa
Hafs ni muongo kwenye Hadith ila Koran kawaletea ya kweli😂😂😂Ushahidi wako huo kuwa luka ni mwanafunzi wa Yesu ??
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 halleluya, vipi leo kwenye mkesha twaenda?Mengi mengi mengi...hata siwezi kuelezea ukuu wake kwangu
Leta hoja unayoona wewe nami nikohoji kadri utakavyosasa kama ni hivyo jibu hoja
sawa sawa , Jibu hoja usirukeruke na hoja yza rafiki yako Hafs au naye kawaandikia biblia ??Hafs ni muongo kwenye Hadith ila Koran kawaletea ya kweli😂😂😂
Tueleze Hafs miaka zaidi ya 200 baada ya muhammad halijuaje Koran?sawa sawa , Jibu hoja usirukeruke na hoja yza rafiki yako Hafs au naye kawaandikia biblia ??
Leta hoja unayoona wewe nami nikohoji kadri utakavyo
Kitu Cha kwanza kabla hauja hoji uungu wa Yesu , unatakiwa kwenye kichwa chako utofautishe kwanza Mungu wa wakristo na Mungu Allah nature zao ni tofauti kabisaUnakubali Yesu si Mungu kwa hoja nilizowaandikia ??
Tueleze Hafs miaka zaidi ya 200 baada ya muhammad halijuaje Koran?
Kitu Cha kwanza kabla hauja hoji uungu wa Yesu , unatakiwa kwenye kichwa chako utofautishe kwanza Mungu wa wakristo na Mungu Allah nature zao ni tofauti kabisa
Ukileta nature ya Allah Kwa Jehovah lazima utaanza kuandika vitu ukajiona una hoja ila tunakuona ni mpuuzi tu
Nature ya Allah
Physical being, yani ni kitu kinachoonekana kwa macho ya damu na nyama na kinashikika kina macho, mguu mmoja, mikono miwili upande mmoja, na penis
Nature ya Jehovah
Ni spirit au ni Roho
Tuanzie hapo kwanza
ushahidi wa maandiko please
Nishtue tu time ikifika🙏🙏🙏🙏🙏🙏 halleluya, vipi leo kwenye mkesha twaenda?
Mkristo yeyeto anaetumia jina Allah anakosea
Jina La Allah Ndani Ya Biblia
Ukifungua "Al-Kitaab Al-Muqadis(الكتاب المقدس)' (yaani Kitabu Kitakatifu), bibilia hitumiwayo na wakristo wanaozungumza lugha ya Kiarabu neno Allah limetumiwa kila penye neno Mungu au Yehova.
Kwa wale ambao hawafahamu herufi za Kiarabu nimeweka hapa aya kutoka katika Qur'an ili wapate kulinganisha. Katika aya hizi za kiarabu zilizopo hapa chini, neno la Kiarabu "Allah" nimelikoza ili liweze kutambulika kirahisi.
Baada ya kulinganisha aya hizi inategemewa kila mmoja ataweza kuona kwamba neno 'Allah' linaonekana katika Qur'an na pia katika Biblia, kwani ni neno la Kiarabu lenye maana ya Mwenyezi Mungu.
Insha'Allah, mifano hii itaondoa mashaka kwa wale walioingizwa kwenye mkumbo wa kuamini kwamba "Waislamu na wakristo wanaamini Mungu tofauti"
Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha ukweli huu isipokuwa kumshauri kila mmoja mwenye mashaka kufanya utafiti wake mwenyewe bila ya upendeleo, chuki na jazba.
[Qur'an 1:1 * tafsiri ya Kiswahili]
"Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu"
"Bismi Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
بسم الله الرحمن الرحيم
[Mwanzo 1:1 * Biblia ya Kiswahili]
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na na nchi"
[Mwanzo 1:1 *Biblia ya Kiarabu]
"Fiy-al-badi' khalaqa Allahu as-Samawawwat wal Ardh"
فِي الْبَدْءِ خَلَقَ اللهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ،
source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: Genesis 1
[Yohanna Mt. 3:16 * Biblia ya Kiswahili]
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa..."
[Yohanna 3:16 * Biblia ya Kiarabu]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu ul 'Aalama hataa badhala"
لأَنَّهُ هكَذَا أَحَبَّ اللهُ الْعَالَمَ حَتَّى بَذَلَ ابْنَهُ الْوَحِيدَ، لِكَيْ لاَ يَهْلِكَ كُلُّ مَنْ يُؤْمِنُ بِهِ، بَلْ تَكُونُ لَهُ الْحَيَاةُ الأَبَدِيَّةُ.
source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: John 3:16;
[Luka 1:30 * Biblia ya Kiswahili]
"Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu"
[Luka 1:30 * Biblia ya Kiarabu]
"Laa takhaafiy, yaa Maryam, li-annaki qad wajadt ni'mat(an) 'inda Allahi"
لاَ تَخَافِي يَامَرْيَمُ، فَإِنَّكِ قَدْ نِلْتِ نِعْمَةً عِنْدَ اللهِ
source: BibleGateway.com - Passage*Lookup: Luke 1:30;
[Luka 3:38 * Biblia ya Kiswahili]
"wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu"
[Luka 3:38 * Biblia ya Kiarabu]
"bni anuusha, bni shiyti, bni Aadama, abni Allahi."
بْنِ أَنُوشَ بْنِ شِيثِ، بْنِ آدَمَ ابْنِ اللهِ
source: http://www.biblegateway.com/passage/?search=luke 3:38;&version=28;
[Mathayo 19:17 * Biblia ya Kiingereza * New King James Version]
Yaani "aliye mwema ni mmoja, naye ni Mungu
"there is none good but one, that is, God"
[Mathayo Mt. 19:17 * Biblia ya Kiarabu]
"laysa ahadun saalihaan illa waahdun wa huwa Allahu"
![]()
Anakosea kwa amri yako au mchungaji wako ??Mkristo yeyeto anaetumia jina Allah anakosea
Umeshamsikiliza sheikh wako anakwambia Allah ana viungo na ni physical being
Sasa katika Hali hiyo anapohoji mambo ya Yesu na uungu wake usiweke nature ya Allah
Hiyo biblia iliyotaja jina Allah ni yenu waislamu,Anakosea kwa amri yako au mchungaji wako ??
Na ndio maana quran imekuja kuweka sawa .
Unajaribu kuleta mambo ya huyo sheikh wazko unasahau kuwa huyo jehovah katika biblia amevuta mpaka sigara ??? akaomba msamaha, yaani alikosea vile , akanyoa nywele ,,,akapigwa mieleka ? hiyo ni topic nyengine tuje kwenye hoja ya Yesu si mungu
Hiyo biblia iliyotaja jina Allah ni yenu waislamu,
Sheikh umemuelewa kwanza , Allah ana mikono miwili upande mmoja, ana ugoko, vidole ,mguu, USO , macho na penis
Mpaka uelewe hapa kwanza NDio tuje ya uungu wa Yesu , usipo elewa Allah wako alivyo tukija kwa Yesu utachanganyikiwa kama ulivyochanganyikiwa sasa
Kuna vitu nataka uelewe kwanza kabla hatujaja kwa YesuAnakosea kwa amri yako au mchungaji wako ??
Na ndio maana quran imekuja kuweka sawa .
Unajaribu kuleta mambo ya huyo sheikh wazko unasahau kuwa huyo jehovah katika biblia amevuta mpaka sigara ??? akaomba msamaha, yaani alikosea vile , akanyoa nywele ,,,akapigwa mieleka ? hiyo ni topic nyengine tuje kwenye hoja ya Yesu si mungu