Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie




UKOO WA YESU


Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza
kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).


Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibayasana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,

Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).


Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?


Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.

Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.

Kwahiyo karibuni sana
 
mbona hujatuambia roho ni nini ??
Roho ni nafsi iliyo hai katika ulimwengu usioonekana
[/QUOTE]

kama ni hivyo basi MLOKOLE, MKATOLIKI , MAKANISA YA SHETANI , MHINDU , BUDHA NA WENGINEO WOTE WANAYO AU VIPI ?
 
Roho ni nafsi iliyo hai katika ulimwengu usioonekana

kama ni hivyo basi MLOKOLE, MKATOLIKI , MAKANISA YA SHETANI , MHINDU , BUDHA NA WENGINEO WOTE WANAYO AU VIPI ?
[/QUOTE]
Kwann wasiwe nazo maana KILA roho imetoka kwenye asili yake na asili utambulika kulingana na mapokeo ya hizo nyumba za ibada.
 
kama ni hivyo basi MLOKOLE, MKATOLIKI , MAKANISA YA SHETANI , MHINDU , BUDHA NA WENGINEO WOTE WANAYO AU VIPI ?
Kwann wasiwe nazo maana KILA roho imetoka kwenye asili yake na asili utambulika kulingana na mapokeo ya hizo nyumba za ibada.
[/QUOTE]

kwa hivyo yeyote anaweza kuisoma biblia yoyote kutoka dini yeyote, hata wasio na dini
 
takbiriii allah wakubhal ,faidha ameokoka anampenda Yesu
Kama kuokoka ni kumpenda Yesu Alayhi Salaam basi Waislaam wote wameokoka. Hakuna Muislam anaemchukia Yesu alayhi salaam.

Kumbe ulikuwa hulijuwi hilo? Nakushauri isome Qur'an upate kumjuwa Yesu alayhi salaam vizuri.
 
Muhammad said: Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it. Sahih Muslim 2167a
Have you ever heard of "sabab al-nuzul & sha'n al-nuzul"?

This narration implication was in a "specific situation only", The Prophet said to his companions when they were marching to the tribe of QURAYZA in Medina who then "violated their peace treaty", before the battle of trench they were allied with Muslims, later during the battle they betrayed the Muslims and leaned with pagan arabs, it was unfair and hypocritical

All factors remain constants it's inappropriate and unacceptable in ISLAM to harm anyone or anything without a just cause

Peace
 
Since nothing is off limits, just fabricate the evidence and write whatever you want, fingers crossed

Unfortunately, hate won't win [emoji4]
 
Nilijua yataanza malumbano ya kidini. Tumekuwa na kizazi chenye iq ndogo sana. Kizazi cha mzaha, ukuaji na kupinga kila kitu. Lengo la muanzisha thread lilikuwa zuri tu ila tumesharibu uzi. Sijui kwanini kama wewe unaona uzi haukuhusu usiuache wengine waendelee nao na sio kulumbana.

Mimi nina ushuhuda nimeeleza hapo juu jinsi Jina hilo lilivyoniokoa na Mauti. Naandaa shuhuda yangu kamili ya kile ambacho Mungu amenitendea. Nitaweka humu.
 
Hahahaaa
Kweli una maumivu imebidi Michele
Njoo kwa Yesu atakuponya
Kwa Yesu hakuna kunyoosheana vidole
Ila kuombeana na kuelekezana kuelekea njia nzuri
Wakristu wasikuoe shida hvyo ukapata vidonda vya tumbo
Wakristu ni Wana wa Mungu
Usigurahi juu yangu eeh adui yangu
Niangukapo mm nitasimama tena
Yesu ni njia kweli na uzima
Mfuate Yesu upate uzima na uokoe roho yako
 
Kama kuokoka ni kumpenda Yesu Alayhi Salaam basi Waislaam wote wameokoka. Hakuna Muislam anaemchukia Yesu alayhi salaam.

Kumbe ulikuwa hulijuwi hilo? Nakushauri isome Qur'an upate kumjuwa Yesu alayhi salaam vizuri.
Umpende umkiri kwa kinywa chako na umfuate kwani Biblia inasema Yesu ni njia kweli na uzima
 
Umpende umkiri kwa kinywa chako na umfuate kwani Biblia inasema Yesu ni njia kweli na uzima
Hilo la njia hatua tatizo, Waislaam tunaamini mitume wote ni njia. Hilo la uzima, hapo unajichanganya wewe mwenyewe. Au hukumbuki alipomlilia anaetoa uzima? "Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha"? Fikiri.
 
Dini ya kiislamu ni dini ya kishetani na mtume wenu ni mtume wa mashetani alikwenda pangoni huko alikumbwa na jini kuu likijifanya malaika gabriel na hapo ndio alipopewa hayo maelezo nyie mnaita Quran hayo yote ni takataka kama unataka kuijua historia ya maisha ya Yesu ndugu soma injili na kama unataka kujua historia yote ya chimbuko la ukoo wa Yesu soma biblia nzima ndio neno la uzima achana na hiyo dini magumashi mzee mnapotea sana.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Yesu na Muhammad ni nyie kujipendekeza tu mkatae msikatae ukweli ndio huo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Since nothing is off limits, just fabricate the evidence and write whatever you want, fingers crossed

Unfortunately, hate won't win [emoji4]
Better you have known that deep inside your that Hate of you muslims won't win the name of Jesus Christ.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante [emoji4], naomba nikukumbushe kwamba mada ni hii: Je, jina la YESU ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie
 
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0




1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1




2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2




3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3




4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
ALLAH WA QUR'AN SI MUNGU KWELI USHAHIDI HUU HAPA ANAABUDU KILA SAA USHAHIDI HUU HAPA


ALLAH ANASALI KAMA WEWE KWA MUNGU MWINGINE

Qur'an 33:56. Hakika Allah na Malaika wake wanamsalia Nabii Muhammad. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.

Qur'an 1:5. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

SWALI
ALLAH ANASALI KWA MUNGU YUPI HAPO NAWAKATI ANASALI ALLAH DUNIA HII HUWA ANAIONGOZA NANI NA WAPI HUONDOKA KWENYE SALA ?

ALLAH NI MWOMBEZI NA MPATANISHI WA DHAMBI ZA WAISLAMU KWA MUNGU MWINGINE
Qur'an 6:51. Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye Allah, ili wapate kuchamngu.
Qur'an 32:4. Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye tu (Allah). Basi, je, hamkumbuki?


ALLAH ANAKIRI KWA KUTAMKA SHAHADA KUWA YEYE SI MUNGU NA ILA ANAMUNGU WAKE KAMA WEWE :
Quran 3: 18 Allah na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
SWALI :Allah na Malaika na wenye ilimu wanashahadia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye
SWALI HUYU YEYE JINA LAKE ANAITWA NANI AMBAYE ALLAH NA MALAIKA NA WENYE ILIMU WANAMSHUDIA?

ASALAAM ALEIKUM
 
Doesn't deserve clarification [emoji4]
 
Nyie mmejaa Majin kuliko dini yeyote maana mwenye mapepomnayapooza na kusema kitu kasema hvi na Hiv kama lin shetani akabembelezwa badala stole, pia Kwa mwamposa waliojaa huko ni waislam na wanaanguka mapepo vibaya mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…