umeambiwa ushuhudie yesu amekutendea Jambo gani seems like hakuna alichokutendea imebidi uhamishie mada upande wa pili. pole mkuu maumivu yako hayana dawa unaumia watu kumpinga Yesu wakati wapo watu waliishi nae na walimuona live kipindi Cha uhai wake na walimpinga hata huyo unaemuita karani hajakuepo maana unaumizwa na uwepo wa huyo karani utafikiri yeye na wafuasi wake ndo walimgonga misumari na kumtundika kwenye mti Mungu mtoto wenu.Kuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa
Yesu ndio chanzo cha uzima wangu, nilishawahi kugongwa na treni, licha ya kwamba gari yangu iliharibiwa kabisa lakini mimi binafsi nilitoka nikiwa mzima kabisaaaaaaaaaumeambiwa ushuhudie yesu amekutendea Jambo gani seems like hakuna alichokutendea imebidi uhamishie mada upande wa pili. pole mkuu maumivu yako hayana dawa unaumia watu kumpinga Yesu wakati wapo watu waliishi nae na walimuona live kipindi Cha uhai wake na walimpinga hata huyo unaemuita karani hajakuepo maana unaumizwa na uwepo wa huyo karani utafikiri yeye na wafuasi wake ndo walimgonga misumari na kumtundika kwenye mti Mungu mtoto wenu.
Ajali ya treni nilipatia hapo Kamata nikitoka kwenye soko la Kibasila miaka mitano nyumaumeambiwa ushuhudie yesu amekutendea Jambo gani seems like hakuna alichokutendea imebidi uhamishie mada upande wa pili. pole mkuu maumivu yako hayana dawa unaumia watu kumpinga Yesu wakati wapo watu waliishi nae na walimuona live kipindi Cha uhai wake na walimpinga hata huyo unaemuita karani hajakuepo maana unaumizwa na uwepo wa huyo karani utafikiri yeye na wafuasi wake ndo walimgonga misumari na kumtundika kwenye mti Mungu mtoto wenu.
Yataje mapenzi ya Mungu yanahotajwa kwenye mistari hiyo uliyoiwekaWacheni kudanganyana, someni Biblia...
Mathayo 7:
21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Jina la Yesu ni moto ulao consuming firePelekea moto fire
Kwanini huwezi kuliamini jina la Yesu? Au umesha mezeshwa madini na Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA?Sidhani kama nitakuja kuamini tena huo upuuzi
Shetani alipiga story na yesu fresh tu,Wala hakukimbia,zaidi alikua anampa yesu chemsha bongo,kwamba geuza hili jiwe kuwa mkateUkitaka kujua uKuu wa jina hili muulize shetani akupe jibu
Desmond Doss alikua ni mwanajeshi kutokea Marekani, alishiriki Vita Ya Pili Ya Dunia kama mtoa huduma ya kwanza. Kipindi chote cha vita alikataa kushika bunduki au kuua adui kutokana na imani yake (alikua ni msabato). Vitani aliweza kuokoa wanajeshi takribani 75 na kupokea medali nyingi za heshima. Alifariki mwaka 2006, Filamu inayohusu maisha yake inaitwa Hacksaw Ridge (2016) iliigizwa na Andrew Garfield
Majini si yapo kanisani huko ndiyo wanatokana kila siku,akianza yesu kuyafurusha,Sasa yamebaki hukohuko kanisaniSubiri mapovu ya wafuga majini...usiseme sikukwambia.
#MaendeleoHayanaChama
Bahati nzuri mpaka muda huu hawajajitokeza, nadhani hawana muda na kile ulichotarajia.
Yaani kwa kifupi hawajachokozeka.
Yesu yupi huyo mnayemwongelea?Panapo mchawi, jini, pepo, tamka tu kwa jina la Yesu, Hakuna mchawi wala jini litabaki hapo wote lazima wasambaratike vibaya
Panapo mchawi, jini, pepo, tamka tu kwa jina la Yesu, Hakuna mchawi wala jini litabaki hapo wote lazima wasambaratike vibaya
Katika hali ya kustaajabisha mwanzoni mwa mwaka 2012, nyumbani kwetu tuliingia vita ya kiroho kati yetu sisi na jirani aliye kua mganga wa kienyeji (R.I.P)
Yule mganga ilifika kipindi akamtupia pepo la uchizi dada angu awali katika kustaajabu hali kama ile tulianza kwenda hospital kujua hali yake ki afya kama amepatwa na maralia kali au kuna kingine, tulimkuta ana maralia ringi 15 akatumia sindano ya dozi lakini hakutengemaa.
Tuliona ile vita si ugonjwa wa maralia ikabidi tumfanyie maombi maarumu kanisani alikaa siku tatu pale kanisani yale mapepo machafu yalimtoka na kawa safi mpaka leo.
Baada ya mwaka mmoja vita ikarud kwa mama hii haikudumu sana. Naye pia alirushiwa pepo la uchizi akawa anacheka cheka tu kwakua tayari iliwahi kutokea kwa sister tuliingia moja kwa moja kwenye maombi tukitumia mamlaka tuliyo pewa na Mungu kupitia jina la Yesu kristo tukafurumisha mapepo wachafu wakatajana mpka walio watuma wakaondoka.
Miezi michache mbele yule mganga alianza kuugua ugonjwa ambao ulisababisha kifo chake.
Hakika Yesu ni Mkuu alitutendea Makuu bila gharama yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani hajawahi liogopa. Ndio manaa Kila Siku anaingia Kanisani. Na Kuwavuruga Humo. Sasa Hivi Ni Jina La Maigizo Zaidi kuliko UhalisiaUkitaka kujua uKuu wa jina hili muulize shetani akupe jibu
Nilikuwa na interview kwenye taasisi moja kubwa ya umma, hapa nchini; mara ghafla mida ya saa 9 usiku nikiwa usingizini nikasikia sauti ikiniamsha amka uombe maana Kristo amekusudia kukupa hii kazi, hitaji lako la kazi Mungu amelisikia na anakwenda kukutendea muujiza, amka uombe, usiache kuombaHili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie