Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kuingia kanisani sio tatizo,kulishinda kanisa ndio tatizo.Shetani hajawahi liogopa. Ndio manaa Kila Siku anaingia Kanisani. Na Kuwavuruga Humo. Sasa Hivi Ni Jina La Maigizo Zaidi kuliko Uhalisia
Shetani ajawahi shinda jina hilo