Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Kuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa
Labda mimi mmoja hao, nijibu sawali
hili.
1. Yesu anaokoa, Mbona omba omba wengi ni walokole ambao ni wakristo, utakuta wanatembea na maspika wanajifanya kuhubili, mwisho wa siku wanaomba hela.
2. Ukienda kwa madada poa wakristo wapo tena ndiyo wengi.

Ukienda pale Ubungo Darajani watoto wengi wanaolala pale ni wa jamii ya kikikristo, hakuana mkristo anaeguswa kwenda kuwachukua na kuwasaidia.

Kuna wale ombaomba, amba wengi wako katikati ya jiji la Dar, ambao hudhaniwa ni wenyeji wa mkoa wa Dodoma, wengi ni wakristo yesu mbona hajawaokoa, wala alieokoka kwenda kuokoa, kama akina Lusekelo Gwajima, Mwamposa, Mwingira na wengine wenye uchumi mzuri tu. Au yesu anaokoa baada mtu kufa.

Kila maisha anayoyspitia asiekua mkristo, na mkristo anayapitia dhiki, maradhi kila shida, sasa huyo yesu anawasaidiaje, Ili asiekua mkristo aone utofauti.
 
Desmond Doss alikua ni mwanajeshi kutokea Marekani, alishiriki Vita Ya Pili Ya Dunia kama mtoa huduma ya kwanza. Kipindi chote cha vita alikataa kushika bunduki au kuua adui kutokana na imani yake (alikua ni msabato). Vitani aliweza kuokoa wanajeshi takribani 75 na kupokea medali nyingi za heshima. Alifariki mwaka 2006, Filamu inayohusu maisha yake inaitwa Hacksaw Ridge (2016) iliigizwa na Andrew Garfield
...Imehusu, kwenye huu Uzi wa Yesu?
 
Kama Unaona Kuingia Kanisani Si Tatizo Sasa Wewe Unamuepukaje Huyo Shetani Wakati Kwenye Nyumba Ya Mungu Anaweza Kuingia Na Akawadondosha Watu na Kuwafanya Atakavyo yeye. Leo akitoka Kwa Huyu anaingia Kwa Huyu bila Shida Yeyote.

Hapo Keshashinda maana Kaweza Kuingia Mpaka Sehemu anayoabudiwa Mungu. Sehemu mnayosema ni Takatifu
Kuna mahusiano gani kati ya Mungu na wewe na shetani na wewe?
 
Swali lina sehemu mbili.
  • Una uhusiano gani na Mungu?
  • Una mahusiano gani na shetani?
1. Mimi siwezi Kuwa na Mahusiano na Mungu. Mana Yeye Si Kiumbe Kama Mimi Nilivyo. Yeye aliniumba Akaniweka Mimi nilipo. Mimi nina Enzi naye Tu. NabYeye ana Enzi na Mimi

2. Shetani sina Uhusiano Naye Maana Yeye ni Kiumbe Aliyeumbwa na Kuwekwa sehemu Yake na Mimi Sehemu Yangu. Ingawa kutokana Na Kwamba Viumbe Tulioumbwa Tunatamaa Za Utawala Shetani na Malaika na Viumbe wengine Tunaweza Ingiliana Kwa Sababu yabKutaka Kutawala Zaidi ya Mazingira Tuliyopo. Kama Vile tunavyotaka Kwenda Sayari Zingine
 
Ajali zaidi ya 11 nimeepushwa nazo kwa Jina la Yesu tangu utoto hadi utuuzima hivi sasa.

Nimeponywa na changamoto nyingi sana za nguvu za giza kwa kuumwa na kichwa, kuwa na kizunguzungu na kifua kubana kwa zaidi ya miaka miwili nikiandamwa na roho za mauti kupitia ndoto ila kwa jina la Yesu pekee.

Nimepata Mke Mwema, kazi, elimu ya juu, cheo, afya njema na hata sasa ni Yesu ameniweka huru kiuchumi, kiroho, kimwili, kiafya na kiakili na kuwaponya wagonjwa niliowaombea na kuwatendea miujiza ya baraka tele.

Nina amani ya roho kubwa sana kwa jina la Yesu.
 
Wao huyapunga. Niliona mkutano mmoja wa Mashehe Morogoro. Wanayapunga tu kwani Shetani hawezi mtoa shetani mwenzake.
Kwa kweli ukweli huu wataukataa kwa nguvu zao zote SHETANI HAWEZI KUMTOA SHETANI MWENZAKE.Waislam na Mashetani na mapepo machafu hawazuliani Lao moja wapinga Kristo wote hao

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Panapo mchawi, jini, pepo, tamka tu kwa jina la Yesu, Hakuna mchawi wala jini litabaki hapo wote lazima wasambaratike vibaya
Bwahahahaha bwahahaha
IMG_20210924_074847.jpg
 
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0




1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1




2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2




3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3




4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Watakwambia yesu ni mwana wa Mungu
 
Kuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa
Uko nje ya mada.
Jibu swali!!
 
Back
Top Bottom