Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mimi mmoja hao, nijibu sawaliKuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa
...Imehusu, kwenye huu Uzi wa Yesu?Desmond Doss alikua ni mwanajeshi kutokea Marekani, alishiriki Vita Ya Pili Ya Dunia kama mtoa huduma ya kwanza. Kipindi chote cha vita alikataa kushika bunduki au kuua adui kutokana na imani yake (alikua ni msabato). Vitani aliweza kuokoa wanajeshi takribani 75 na kupokea medali nyingi za heshima. Alifariki mwaka 2006, Filamu inayohusu maisha yake inaitwa Hacksaw Ridge (2016) iliigizwa na Andrew Garfield
Yeye ndie muasisi wa positive powerYesu wenu analiogopa ?
Muisome.Kikongwe lengo la kuweka hii mistari ni nini? Ulipotea sana humu Faiza kipindi cha JPM naona umerudi sasa kipindi cha Mama.
Kuna mahusiano gani kati ya Mungu na wewe na shetani na wewe?Kama Unaona Kuingia Kanisani Si Tatizo Sasa Wewe Unamuepukaje Huyo Shetani Wakati Kwenye Nyumba Ya Mungu Anaweza Kuingia Na Akawadondosha Watu na Kuwafanya Atakavyo yeye. Leo akitoka Kwa Huyu anaingia Kwa Huyu bila Shida Yeyote.
Hapo Keshashinda maana Kaweza Kuingia Mpaka Sehemu anayoabudiwa Mungu. Sehemu mnayosema ni Takatifu
Swali lako sijalielewa nduguKuna mahusiano gani kati ya Mungu na wewe na shetani na wewe?
Swali lina sehemu mbili.Swali lako sijalielewa ndugu
1. Mimi siwezi Kuwa na Mahusiano na Mungu. Mana Yeye Si Kiumbe Kama Mimi Nilivyo. Yeye aliniumba Akaniweka Mimi nilipo. Mimi nina Enzi naye Tu. NabYeye ana Enzi na MimiSwali lina sehemu mbili.
- Una uhusiano gani na Mungu?
- Una mahusiano gani na shetani?
Kwa kweli ukweli huu wataukataa kwa nguvu zao zote SHETANI HAWEZI KUMTOA SHETANI MWENZAKE.Waislam na Mashetani na mapepo machafu hawazuliani Lao moja wapinga Kristo wote haoWao huyapunga. Niliona mkutano mmoja wa Mashehe Morogoro. Wanayapunga tu kwani Shetani hawezi mtoa shetani mwenzake.
Jisemee weweKwa jina la Yesu Kristu nawabariki wote
Bwahahahaha bwahahahaPanapo mchawi, jini, pepo, tamka tu kwa jina la Yesu, Hakuna mchawi wala jini litabaki hapo wote lazima wasambaratike vibaya
Watakwambia yesu ni mwana wa Mungu
Sasa unataka kusema Yesu ni mwana wa nani?Watakwambia yesu ni mwana wa Mungu
Kwamba Mungu Ana Mtoto [emoji1787], Mungu Hafanani Na Kitu Chochote.
Yesu ni nabii
Ntawaambia waaisome Biblia vizuri, huyo hakuwa mwananwe wa kwanza...Watakwambia yesu ni mwana wa Mungu
Uko nje ya mada.Kuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa