Watu hawajiulizi mbwa anabadilika nini anapoitwa paka.Kuna imani za kijinga sana jina kama jina halina maana yoyote, na kulitumia kamaa hirisi ni ujinga wa kiwango alichokizungumzia Gwnerali Ulimwengu, IMBECILE - UZUZU
Acha uvivu sasa ndugu. Mimi nimeishia hapo. Wewe sasa ndio wa kwenda kuthibitisha.
Uliniuliza wapi imetamkwa hivyo nikakuletea huo mstari. Hivyonkujua huo mstari umeandikwa nini rudi kwenye msingi wa swali lako.Ndivyo 1 John3:20 inavyosema hivyo katika biblia ya kanisa lako?
Uliniuliza wapi imetamkwa hivyo nikakuletea huo mstari. Hivyonkujua huo mstari umeandikwa nini rudi kwenye msingi wa swali lako.
Usipoweza, basi nikutakie Kila LA heri Mkuu katika Imani zenu.
Unahoji?huamini?unashangaa?unadadisi? Unadhihaki? Unachangamsha? Unaburudisha? Ni chemsha bongo?Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Hilo jina ukilisikia na vile lilivyo fupi unaweza ukadhani ni la kawaida kumbeee,naomba niishie hapa nisije nikajaza serverHili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Akimuuliza atamdanganya kwa sababu shetani ni Baba wa uongoUkitaka kujua uKuu wa jina hili muulize shetani akupe jibu
Kipepeo kaota manyoyaKati ya wakristo na Waislamu, wafuasi wepi wanaongoza kuanguka mapepo kwenye nyumba zao za ibada Kama sio nyie wakristo?!!
Wakristo mna mapepo mengi Sana sababu mnaongoza kwa kila uchafu na kutembea nusu uchi pia, nyie mnamiliki majini maovu wengi kwenye majumba yenu ya ibada kuliko Waislamu, wamiliki madanguro mjini karibia wote wakristo, Sinza pale bar karibia zote na club Ni za wakristo, tabata pia alkadhalika,
Hakika nyie Ni wakala wa mambo yote ya kishetani,
Na ndio mnasababisha tusipate mvua aisee
Hilo jina ukilisikia na vile lilivyo fupi unaweza ukadhani ni la kawaida kumbeee,naomba niishie hapa nisije nikajaza server
OkUnahoji?huamini?unashangaa?unadadisi? Unadhihaki? Unachangamsha? Unaburudisha? Ni chemsha bongo?
Mimi huwa naongea na Mungu nikiwa ndotoni ila huwa simuoni japo majibu huwa ananipa
Sasa kama unategemea majini na shetani lazima utapata maisha murua tu ila cha moto itaja kiona siku ya hukumu kwani si hata shetani anawapa uwezo na mafanikio wanaomwabudu kuna matajiri wangapi ni wafuasi wa lucifer na wamejaa tele kutoka huko upande wenu na dini zingine kama wahindu na buddha kuna MUNGU na miungu mnapata hayo manufaa toka kwa shetaniWe Ndio huna hekima simtaji huyo Yesu na maisha yangu murua kabisaaa [emoji16][emoji16]
Hayo majina mengine hayana nguvu ACDs zake zipo chini.ACDs ni kipimo kipimacho nguvu ya imani.Kwa uzito huohuo tumia jina jingine, iwe La babu yako au mbwa wenu nyumbani, hata shetani, halafu uje utuletee matokeo hapa.
Uungu hauna mipaka ya majina. Popote unapofikiwa Ukamilifu wake unatenda. Haijalishi utaupa jina gani.
Injili ni moja mkuu toka katika Biblia takatifu usipende kukariri kamstari huwezi pata maana.Injili ipi au kiswahili kinakupiga chenga?
Au injili ya kanisa lako Ina tafsiri nyengine ya kiswahili mnachoongea kanisani kwenu?
Kuna mwingine aliwahipitia hali kama yako lkn hajawahi kanyaga kanisani lbda wakat anabatizwa na kufunga ndoa kwa sasa ni mademu kwenda mbele, huyo utampeleka upande ganiYesu ndio chanzo cha uzima wangu, nilishawahi kugongwa na treni, licha ya kwamba gari yangu iliharibiwa kabisa lakini mimi binafsi nilitoka nikiwa mzima kabisaaaaaaaaa
Injili ni moja mkuu toka katika Biblia takatifu usipende kukariri kamstari huwezi pata maana.
Biblia usomi kama kitabu cha hadithi.
Usomwa kwa tafakuri
Hayo majina mengine hayana nguvu ACDs zake zipo chini.ACDs ni kipimo kipimacho nguvu ya imani.
*Jesus anayo ACDs 100%
*Shetani anayo ACDs 40%
*Majemedari sita wa shetani wanayo 3 hawa ni wasaidizi wakuu wa shetani.
*Jini anayo 2.5
*Mwanadamu yeyeto anayo ACDs 1
*Wanyama wanayo 0.5.
Mwanadamu ACDs yake inapanda kadri ya upande anaoutumikia. S
So attack yeyeto ya kiroho itategemea na nguvu uliyojiunganisha nayo.
Kwann tuna believe in Jesus sababu anayo ACDs 100 so ukijiconnect nae Hakuna cha jini, shetani, mzimu, mchawi sijui takataka gani itakuweza sababu unapokea nguvu direct toka kwa Jesus Power.
Wanasemaga ukilitaja jina la yesu na usione matokeo yoyote, eti wanasemaga huna imani. Kuna watu wajanja sanaJina la Yesu ni moto ulao consuming fire
Mungu anahitaji mtoto? Mtoto wa nini kwake?Ni muweza wa vyote. Unataka kujua kipi asichoweza kwa Muweza wa vyote? Mpaka akuambie?
Hope unajua kuwa amejitamkia kuwa yu muweza wa yote. (Hayo yote ni pamoja na kupata mtoto)
Asante kwa ushuhudaKatika hali ya kustaajabisha mwanzoni mwa mwaka 2012, nyumbani kwetu tuliingia vita ya kiroho kati yetu sisi na jirani aliye kua mganga wa kienyeji (R.I.P)
Yule mganga ilifika kipindi akamtupia pepo la uchizi dada angu awali katika kustaajabu hali kama ile tulianza kwenda hospital kujua hali yake ki afya kama amepatwa na maralia kali au kuna kingine, tulimkuta ana maralia ringi 15 akatumia sindano ya dozi lakini hakutengemaa.
Tuliona ile vita si ugonjwa wa maralia ikabidi tumfanyie maombi maarumu kanisani alikaa siku tatu pale kanisani yale mapepo machafu yalimtoka na kawa safi mpaka leo.
Baada ya mwaka mmoja vita ikarud kwa mama hii haikudumu sana. Naye pia alirushiwa pepo la uchizi akawa anacheka cheka tu kwakua tayari iliwahi kutokea kwa sister tuliingia moja kwa moja kwenye maombi tukitumia mamlaka tuliyo pewa na Mungu kupitia jina la Yesu kristo tukafurumisha mapepo wachafu wakatajana mpka walio watuma wakaondoka.
Miezi michache mbele yule mganga alianza kuugua ugonjwa ambao ulisababisha kifo chake.
Hakika Yesu ni Mkuu alitutendea Makuu bila gharama yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app