Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Sioni tofauti said ya tofauti ya lugha tukulingana maana yake nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni tofauti said ya tofauti ya lugha tukulingana maana yake nini ?
Sioni tofauti said ya tofauti ya lugha tu
Ukiamua kuilazimisha akili yako kutafuta vikasoro kwenye jambo huwezi kosaNdiyo maana ya kulingana hiyo?
kulingana ndio maana yake nyengine ?, mbona unazunguka mbuyu au kiswahili kinakupiga chenga?Ukiamua kuilazimisha akili yako kutafuta vikasoro kwenye jambo huwezi kosa
Yesu si Mungu nje ya imani ya Ukristo.
![]()
Uungu wa Yesu Kristo
78-001 (2 Yohana 1:7)/ Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Utangulizi kuhusu Kristolojia (Fundisho juu ya Yesu Kristo)/ Somo # 1/ Andiko Msingi: “Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri…www.tgvs.org
Ukishasema filamu iliigizwa na basi hamna uhalisia hapo ni maigizo ilitakiwa filamu ya matukio iliyorekodiwa hayo matukio yakimtokea siyo ujingaDesmond Doss alikua ni mwanajeshi kutokea Marekani, alishiriki Vita Ya Pili Ya Dunia kama mtoa huduma ya kwanza. Kipindi chote cha vita alikataa kushika bunduki au kuua adui kutokana na imani yake (alikua ni msabato). Vitani aliweza kuokoa wanajeshi takribani 75 na kupokea medali nyingi za heshima. Alifariki mwaka 2006, Filamu inayohusu maisha yake inaitwa Hacksaw Ridge (2016) iliigizwa na Andrew Garfield
Filamu ili base kwenye true story. Kwani hujawahi kuona filamu ya Mandela, ya Mohamed Ali etcUkishasema filamu iliigizwa na basi hamna uhalisia hapo ni maigizo ilitakiwa filamu ya matukio iliyorekodiwa hayo matukio yakimtokea siyo ujinga
Nini according , sikiliza clip hii
Nini according , sikiliza clip hii
Sass shehe anajua nini wakati uisilamu umokopi kutoka Ukristo uka edit kidogo tu?
Si kwa mtazamo Wake yeye ni Hao walioziandika biblia ndiyo wanaosemaNi kwa mtazamo wake yeye na si kwa mtazamo wa waamini.
Ni SAwa na wanazuoni wasemao uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutooa.
Ni kwa mtazamo wake yeye na si kwa mtazamo wa waamini.
Ni SAwa na wanazuoni wasemao uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutooa.
Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.
Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.
Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.
Sana waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.
Mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.
Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.
Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.
Katika Injili ya Yohana, ambako maneno ya maelezo yamewekwa kwenye mdomo wa Yesu, injili zote nyengine zinaeleza kuwa wenye kutumia maneno kama 'Mtakatifu wa Mungu', au 'Mwana wa Daudi', au 'Mwana wa Mungu' si Yesu bali wengineo.
Jina pekee alilokuwa mwenyewe Yesu daima akilitumia ni 'Mwana wa Adamu'...
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:
Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56
Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.
Ukitaka kujua uKuu wa jina hili muulize shetani akupe jibu
Kazi imeisha, usirudie tena kusema uwongo kwamba Yesu hakujiita mwana wa Mungu
Malaika waovu huwa nao wana sifa kama za malaika wengine wao wamebadilika?Kitambo tu mbona ameungana nao kwa kuwatumia malaika zake waovu Ili kuwaingia wanadamu watende matendo maovu Ili kumuabudu.
Kazi imeisha, usirudie tena kusema uwongo kwamba Yesu hakujiita mwana wa Mungu
Hata wewe ni mwana wa mungu kwa mujibu wa biblia
Tatizo hakuna jina moja wazungu wanamwita Jesus na waswahili wanamwita Yesu na lugha zengine wanamwita vyengine pia sasa hapo tutasemaje ni jina moja?Sababu ipo nguvu kuu ya utendaji ndani ya jina la Yesu. Hayo majina mengine hayana nguvu ya kutenda chochote.