Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Ni kweli, ni Yesu huyo huyo huwaponyaWanaopona ajali ni wengi,hata wasio na dini wanapona katika ajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ni Yesu huyo huyo huwaponyaWanaopona ajali ni wengi,hata wasio na dini wanapona katika ajali.
Jua linazama kwenye matopeWewe jamaa Ni mpumbavu aliyekubuhu...kushinda shetani mkuu kilaza wewe.......
Mkuu ni imani tu, si kweli kama Yesu anaponya.Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Kama ambavyo ni imani tu kwamba bangi ni mbaya ila ganja ni nzuri sana kwa afyaMkuu ni imani tu, si kweli kama Yesu anaponya.
Dini kwangu ni mfumo wangu wa maisha niliowekewa na Yule aliyeniumba.Acha udini
Ipo nguvu juu ya imaniMkuu ni imani tu, si kweli kama Yesu anaponya.
Ukiweza kutofautisha Kristo na Yesu utapata majibu ya ulichoandika
Yohana 14: 8-9
"Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"
Yesu ni Mungu
Ukiweza kutofautisha Kristo na Yesu utapata majibu ya ulichoandika
Yohana 14: 8-9
"Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"
Yesu ni Mungu
Ukiweza kutofautisha Kristo na Yesu utapata majibu ya ulichoandika
Yohana 14: 8-9
"Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"
Yesu ni Mungu
Ukiweza kutofautisha Kristo na Yesu utapata majibu ya ulichoandika
Yohana 14: 8-9
"Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"
Yesu ni Mungu
Ni kweli, ni Yesu huyo huyo huwaponya
Jua linazama kwenye matope
Ni kweli, ni Yesu huyo huyo huwaponya
u upumbavu wa kudhani imani yako ni bora kuliko kuliko ya mwingine, iliniganya ninunue bibilia nisome ili niwe najibu kwa mstari, humu tulikua na akina mgeni na wakristo wengine wenye majina fulani ya kishoga.
Lakini mwisho wa Siku tulikubaliana, Uwe Muislam uwe mkristo maisha ni yale yale Shida raha tunaziishi wote, bila kujali imani yako.
Hivyo kubisha hapa ni upumbavu tu, imani yako kama ndiyo bora kwanini ulalamikie kupanda kwa mafuta, kwanini Mungu wako asikurahishie eneo hilo, ili tabu muachie wasiamini kwenu.
Mtu anafunga Ramadhini yake kwa imani yake, alafu anatokea mjinga mmoja, anakosoa kupitia bibilia, huu si ujinga, yeye hafungi kupitia bibilia yako.
Kitabu chenu nimempa rafiki yangu John Ndongo, Ujinga uishie Mbali, Mungu hawezi kukuacha Salama ikiwa huheshimu wengine, Maana kwa mkosaji nini yeye mwenye uwezo wa kumuonyesha njia sahihi nae ndiye mwenye Kuhukumu.
Ila mkilianzisha sikai ki
Kama nilivyosema mwanzo w a l e j a m a a (Yahaya mpe MIC) wamewapoteza sana,na inaonekana mna program maalum yakufanya upotoshaji.Nimegundua uwezo wenu sasa naomba uniruhusu nikufundishe kama mtoto wa darasa la kwanza,nimeona jinsi ninavyokuelezea huelewi una lengo lako,najua kabisa unajua unachokifanya na unawajua na ndugu zako mnaoshirikiana nao kuweka sumu,ndiyo sababu,huna vitu vyako wewe kama wewe,mambo mengi unayoyaandika tukiyatafuta tunayakuta mitandaoni yanafanana.Hii inaonyesha umekalilishwa au umepewa maswali fulani ndiyo sababu hutoki na haujibu maswali yangu ila unaendelea kuleta maswali yako.Unashindwa kujibu maswali yangu kwa sababu haya ninayoukuuliza huna desa.Yesu alionya, lakini Paulo hakusikia:
"Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."
Yaliyosemwa yamekuwa. Kwa kitendo cha Paulo kuwaingiza mapagani wa Kizungu katika dini ya Yesu sharia ya Mwenyezi Mungu ikaambiwa ni laana, ikatolewa ruhusa kula nyamafu, nguruwe na damu, na kila kiuzwacho sokoni bila ya kutia wasiwasi wo wote katika dhamiri.
Tohara aliyoamrishwa Ibrahimu na Mwenyezi Mungu na Manabii wote wakaifuata mpaka mwenyewe Yesu na wanafunzi wake, Paulo aliipuuza kuwaridhi makafiri. Imani za kipagani za mungu mwana na utatu zilizoenea katika mila za Mithra, Osiris, Attis n.k. zikaingizwa katika dini ya Kikristo.
Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu. Injili ya Mathayo inasema:
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Mathayo 19.28
Hata katika maombi yake inaonyesha kuwa Yesu alikuwa anajua mipaka yake na uwezo wake.
Madai ya kuwa yeye ni mwombezi, mbali kuwa ni mwokozi, wa ulimwengu mzima ni kumsingizia jambo ambalo mwenyewe hakulidhania.
Kumpa mtu cheo asichokuwa nacho ni kumtukana, ni kumvika kilemba cha ukoka, kama Mayahudi walivyotaka kumkejeli kwa kumvika taji la miba.
Cheo alicho nacho kwa hakika si kidogo. Kuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu miongoni mwa Mitume na Manabii watukufu ni jambo kuu kweli kweli.
Kuwa mtumishi wa Mwenyezi Mungu mwenye kupendeza si utukufu mdogo.
Na Yesu alitafakhari nao, na alitafakhari kuwa yeye hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Ki-Israili.
Na hayo si kwa upungufu wo wote kwa upande wake, ila ni kuutumikia ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa kuulinda usiharibiwe na washirikina mpaka ufike wakati wa kuja huyo atayekuwa kazi yake ni kuitangazia risala ya Mungu kwa ulimwengu mzima.
Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.
Yohana 17.9
Ni jambo linalojuulikana katika historia - na hata ukisoma katika Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume utaona - ya kuwa Ukristo kwanza haukuhubiriwa kwa mataifa mengine mpaka alipoingia Paulo.
Na yeye alipingwa vikali sana kwa kutoa shauri hiyo na wanafunzi wake Yesu waliomwona na wakawa naye siku zote na wakajifunza vilivyo mafunzo yake na makatazo yake ya kwenda kuwahubiria watu ambao bado ni makafiri.
Ukristo tuuonao na ulioenea ulimwenguni sio Ukristo aliofundisha Yesu. Wa Yesu ulitoweka na mwenyewe na wafuasi wake wa mwanzo wa kabila la Kiyahudi. Paulo kaufuja Ukristo.
Kauli zinazonukuliwa kwa kudai kuwa ni ushahidi kuwa Yesu mwenyewe alitaka mafunzo yake yakafundishwe kwa ulimwengu wote yamo katika Injili ya Mathayo 28.19-20, Injili ya Luka 24.46-49 na Marko 16.15. Mathayo inasema:
Basi, enendeni, mkwafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Mathayo 28.19-20
Luka anatwambia:
(Yesu) akwaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, naweletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kueni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.
Luka 24.46-49
Na Injili ya Marko inasema:
(Yesu) akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko 16.15
Je, imekuwaje?
Yesu ni kigeugeu?
Mbona huku anawakataza wanafunzi wake wasende kuwahubiria ila kabila kumi na mbili za Israili, na huku anawaambia nendeni kuwahubiria Injili ulimwengu mzima.
La, Yesu si mbabaishi, wala si kigeugeu.
Hebu natuziangalie vilivyo hizo amri mbili, moja ya kuwa mafunzo yake wasifunzwe ila wana wa Israili tu, na ya pili ni hii ya kuwa watu wote wafunzwe dini.
Vipande vyote vitatu tulivyonukulu mwishoni havitaji mambo ya Yesu alipokuwa na maisha yake ya uhai wa kidunia, lakini vyaeleza mambo yaliyotukia baada ya "kufufuka kutoka wafu" kama inavyosimuliwa na Injili zote tatu.
Yajuulikana kuwa Injili ya mwanzo kuandikwa ni Injili ya Marko. Hizo nyingine ziliandikwa baadae, na labda ujuzi wao ulitegemea hiyo hiyo Injili ya Marko.
Yajuulikana vile vile kuwa maneno yote yaliyohusu kufufuka Yesu kutokana na wafu, pamoja na hayo maamrisho ya kwenda kuihubiri Injili "kwa kila kiumbe", kinyume na maamrisho yake yote ya kuwa asihubiriwe ila Muisraeli tu - maneno hayo yote hayakuwamo katik Marko ya asli, bali yaliongezwa baadae.
Encyclopaedia Brittanica, nakla ya 11, jalada 17, sahifa 730, yasema ya kuwa kipande chote hicho kiliongezwa baadae, yamkini mwanzo mwanzo wa karne ya pili, kuchukua maneno yaliyopotea, au yaliyoonekana kuwa ni mapungufu.
Only sometimes it is better to be quite than to speak or write cause by talking or writing we give information about us.Huu upumbavu wa kudhani imani yako ni bora kuliko kuliko ya mwingine, iliniganya ninunue bibilia nisome ili niwe najibu kwa mstari, humu tulikua na akina mgeni na wakristo wengine wenye majina fulani ya kishoga.
Lakini mwisho wa Siku tulikubaliana, Uwe Muislam uwe mkristo maisha ni yale yale Shida raha tunaziishi wote, bila kujali imani yako.
Hivyo kubisha hapa ni upumbavu tu, imani yako kama ndiyo bora kwanini ulalamikie kupanda kwa mafuta, kwanini Mungu wako asikurahishie eneo hilo, ili tabu muachie wasiamini kwenu.
Mtu anafunga Ramadhini yake kwa imani yake, alafu anatokea mjinga mmoja, anakosoa kupitia bibilia, huu si ujinga, yeye hafungi kupitia bibilia yako.
Kitabu chenu nimempa rafiki yangu John Ndongo, Ujinga uishie Mbali, Mungu hawezi kukuacha Salama ikiwa huheshimu wengine, Maana kwa mkosaji nini yeye mwenye uwezo wa kumuonyesha njia sahihi nae ndiye mwenye Kuhukumu.
Ila mkilianzisha sikai kimya.
Mkuu utajishusha status yako kuna ndugu zako wanakutegemea hapa kwa majibu yako na maswali yako,na hapa pia huwa mnakosea "kujifanya hamjui na kuuliza maswali yasiyo na msingi".Naamini unasoma biblia otherwise hausomi Biblia ila una access na website/Vitabu za jamaa zako walioweka maswali yenye utata au ya kuwauliza wakristo.kwa hiyo naamini unajua sura halisi ya Yesu Kristo haijulikani.Hayo mambo ya Yesu mweupe au mweusi ni for educational purpose lakini sura halisi ya Yesu haijulikani.Sanasana kama unaitaka sura yake kama alivyoonyeshwa Yohana utaipata kwenye ufunuo lakini hiyo ni sura akiwa mbinguni siyo duniani.Unashindwaje kuyajua haya masomo ya elementary katika ukristo?Yesu yupi mzungu au yule mweusi ?
Una mikwala ,unaleta maneno ya Kigiriki,sijui kilatinji ili watu wadhani uko deep kumbe unachukua sehemu unapaste kama yalivyo hata "font" na "style" zinaonekana hujazibadilisha umechukua sehemu umeleta zigo kama lilivyo.Kuna muda unaleta tu vitu haviendani kabisa na kinachojadiliwa.Vipi unataka tujadili mafuta au?🤣🤣🤣🤣🤣Neno KRISTO linatokana na neno Messiah la Kiebrania.
Kwa Kiarabu ni Masih.
Shina la neno ni m-a-s-a-h-a, maana yake ni kuchuwa, kusinga, kupaka.
Makuhani na wafalme walisingwa (walipakwa mafuta) kabla ya kusimikwa katika katika nyadhifa zao. Lakini kwa haiba yake ya tafsiri ya Kigiriki, neno hili linaonekana kuwa mahususi, likiswihi kwa Yesu tu.
Mkristo ana mazoweya ya kubadilisha metali kuwa dhahabu ing’arayo. Walichoweza kukifanya ni kuyabadili kabisa maneno katika lugha yake kama vile “Cephus” kuwa Peter, “Messiah” kuwa Christ.
Anawezaje kufanya hivyo? Rahisi sana. Neno MASSIAH la Kiebrania, kwa Kiingereza, maana yake ni Anointed (aliyepakwa, aliyetiwa au aliyesingwa mafuta). Neno la Kigiriki la kutafsiri neno hilo ni “christos”.
Inyofowe ‘os’ katika neno christos, hapo unabakiwa na christ. Sasa geuza “c” ndogo kuwa “C” kubwa, yebo! Hapo sasa keshaunda jina jingine!
Christos maana yake ni ALIYETIWA (ALIYEPAKWA) MAFUTA, na mpakwa mafuta, kwa maana yake ya kidini ni MTEULE (ALIYETEULIWA). Yesu (as), baada ya ubatizo wake kwa Yohana, aliteuliwa kuwa nabii wa Mungu. Kila nabii wa Mungu huteuliwa hivyo (anointed or appointed).
Biblia imejaa “wapakwa mafuta” kibao. Yaani kwa lugha asiliya ya Kiebrania-waliofanywa kuwa “messiah”.
Hebu tubakiye na tafsiri hiyo ya Kiingereza- “anointed.”
Siyo tu manabii makuhani na wafalme waliotiwa mafuta (christos-ed- waliofanywa kristo) bali pembe, kerubi na nguzo nazo piya zilitiwa mafuta (zilifanywa kristo)
Kama Kuhani aliyetiwa mafuta akifanya dhambi... (mambo ya walawi 4:3)
Kisha Musa akatwaa hayo mafuta matakatifu ya kutia, akatia mafuta maskani, na vyote vilivyokuwamo, na kuvitakasa...(mambo ya walawi 8:10)
Bwana.... Na kuitukuza pembe ya masihi wake (1Samweli 2:10)
Haya ndiyo Bwana amwambiayo Koreshi, masihi wake...(Isaya 45:1)
Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta.... (Ezekieli 28:14)
Kuna zaidi ya mifano mia kama hiyo katika Biblia. Kila ukutanapo na neno anointed katika lugha ya Kiingereza (iliyotumika kutafsiri Biblia kwa Kiswahili), uchukuliye kuwa neno hilo ni christos kwa tafsiri ya Kigiriki.
Na ukilichukuwa neno christ ambalo wakristo wameliunda, utakuwa na Christ Cherub (Kerubi Kristo), Christ Cyrus (Koreshi Kristo), Christ Priest (Kuhani Kristo), Christ Pillar (Nguzo Kristo) n.k.
Hoja1:Wewe kutokuwa na Biblia original au kutokujua ipi ni original hakufanyi isiwepo,nyie ndiyo huwa mnatabia za kuseama pesa hazipo?Usiseme pesa hazipo sema sina pesa kwa nini unajumuisha na wengine?Biblia original hakuna Na ndio maana tukaletewa biblia tofauti nyingi Tu,
Na wale wanafunzi wa Yesu Hakuna uthibitisho wowote kuwa waliandika injili.
Pia katika hao wanaoambiwa waliandika biblia Luka hakuwa mwanafunzi wa Yesu Na alichoandika ni barua aliyo.pelekea rafiki yake Theophilus.
Kwa hivyo vitu Kama hivi vinakuwa taabu kuthibitika mbele ya wanasheria wa dini yeyote Na mahakama yoyote yenye kufuata haki Na ukweli
Kwani muhimu Si elimu au vipi ? Kwani hizo Aya Za biblia huwa wewe unaziandika ,Si unazi copy kutoka kwenye vitabu ? Kwani Nani kakukataza kutuwekea elimu kutoka kwenye vitabu vya Kanisa lako ?Una mikwala ,unaleta maneno ya Kigiriki,sijui kilatinji ili watu wadhani uko deep kumbe unachukua sehemu unapaste kama yalivyo hata "font" na "style" zinaonekana hujazibadilisha umechukua sehemu umeleta zigo kama lilivyo.Kuna muda unaleta tu vitu haviendani kabisa na kinachojadiliwa.Vipi unataka tujadili mafuta au?🤣🤣🤣🤣🤣