Naona kazi yako inakushinda, you need to retire [emoji2][emoji2]Mimi ndio Ninaemzuia Mchomoa Betri pale Tanker la Mafuta Linapoanguka
Dah tunaongea na wasomi humuMimi langu ni jina la course yangu niliyosomea chuo, nimesoma Bcom banking and financial services, huwa napata sms za watu wanahitaji financial assistance wakihisi nahusika na hizo huduma,dooh mwenyewe naunga unga tuu
Tabia mbaya hiyo.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125]
We utakuwa mtamuSababu ninazo Ila siwezi sema
Itakuwa umezaliwa 1990Kabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga
kwanini sasa ulikuwa unakwepa umande professorDah tunaongea na wasomi humu
Mi nimeishia la sita b
So ni binti ako ?Hujakosea kabisa. Bibi yake alikuwa girlfriend wangu. Tulimtimua mama yake mwaka 1989 alipopata ujauzito akiwa sekondari.
Teh. .... [emoji28][emoji28]kwanini sasa ulikuwa unakwepa umande professor
Dawa ya kutuliza maumivu ya warembo... nyie waumizeni kina mama Swalehe mimi nawaondolea maumivu. Maumivu yakizidi wanamwona daktari mkuu aliye juuSo ni binti ako ?
Hivi kwa nini ulijiita aspirini
Dawa ya warembo sio ? [emoji1][emoji28][emoji16]
Sikuona jina lako Kwenye ile post.
Mimi mzima wa afya
Mwaka wako w kuzaliwa nahisi.Kabila langu. Hiyo 90 sijui ilipotokeaga
Don Crelicuzio, Life is just a giftNahisi kama hii topic ilishapita, sina kumbukumbu kama nilijibu kwa ID hii au zile zingine.
Ngoja nitafute kwanza nisichanganye madesa.
BTW, I hope you are okay.
Dawa ya kutuliza maumivu ya warembo... nyie waumizeni kina mama Swalehe mimi nawaondolea maumivu. Maumivu yakizidi wanamwona daktari mkuu aliye juuSo ni binti ako ?
Hivi kwa nini ulijiita aspirini
Dawa ya warembo sio ? [emoji1][emoji28][emoji16]
Mafufuku kunisahihisha mi lugha za kigeni..sawa?Sorry mi mMexico kimombo kinanitia ukakasi mpk nitumie dikshenare
Don Crelicuzio, Life is just a gift
Sawa mpenzi...Mafufuku kunisahihisha mi lugha za kigeni..sawa?