Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kutokana na kuipenda sana club iliokuwa inatesa ligi kuu ya German a.k.a Bundesliga club ya Borrusia Dortmund (BvB) wadhamini wao wakubwa ndio jina nalotumia, ila now sifuatilii tena ligi ya German baada ya Bayern kutawala ligi zaidi misimu 7 mfululizo.
 
Hujakosea kabisa. Bibi yake alikuwa girlfriend wangu. Tulimtimua mama yake mwaka 1989 alipopata ujauzito akiwa sekondari.
So ni binti ako ?

Hivi kwa nini ulijiita aspirini

Dawa ya warembo sio ? [emoji1][emoji28][emoji16]
 
So ni binti ako ?

Hivi kwa nini ulijiita aspirini

Dawa ya warembo sio ? [emoji1][emoji28][emoji16]
Dawa ya kutuliza maumivu ya warembo... nyie waumizeni kina mama Swalehe mimi nawaondolea maumivu. Maumivu yakizidi wanamwona daktari mkuu aliye juu
 
Back
Top Bottom