Hujakosea kabisa. Bibi yake alikuwa girlfriend wangu. Tulimtimua mama yake mwaka 1989 alipopata ujauzito akiwa sekondari.
[emoji23][emoji23][emoji23] 90's baby
Itakuwa umezaliwa 1990
🤣🤣🤣 ati niniii?Sio kweli.
Sasa hivi una wangapi?Tumezaliwa wanne..namimi nataka watoto wanne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati niniii?
Bwana asifiwe Mpendwa, pole na kuniombea, karibu faraga ya emau!Anne jina langu lingine ila Sio official.
Nilizaliwa kipindi wazazi wanasali uwata.
Yalipendekezwa majina 3 baada ya maombi na hili lilikuwapo.
Likapita moja la kutumia officially.
Saint ,hakuna aliye mkamilifu ila najitahidi kuutafuta utakatifu ili niwe Bora na nimpendeze Mungu sawa na zaburi 16:3
Aisee mwenyewe nishawahi kumuuliza nikahisi ni humble African , ila alisema siyo yeye etiiNadhani hata huyu ni mmoja wao kwa id ya Humble African kama sikosei.
Huwa wanakataa tu, kuna mtu nafahamu id zake 3 lakini ukimuuliza anajifanya kuikana.Aisee mwenyewe nishawahi kumuuliza nikahisi ni humble African , ila alisema siyo yeye etii
Hahaha...umemsahau Khabib Nurmagomedov.The notorious conor mcgregor fearless young talented ucl fighter of all time(kwangu). Huyu jamaa kapitia life gumu sana mpaka akaja kutoboa kupitia ucl fights sio mchezo aisee.
I was so dissapointed alivyopigwa na mayweather aisee
Lol nilijua umeitoa kwenye ule wimbo wa Joh Makini ft AKA wa Don't Bother kwenye chorus kuna mstari anasema "daraja mbili ngarero daraja hili hawadandii masoro"'Ngareroo'natokea Ngarenaro A-Town Arusha,,Ngareroo ni swaggz tu ya Jina Ngarenaro,pia napenda sana kuongea Slangs ya Chuga ambayo tunaiitaga 'Ngareroo slangs'...Ni ivo tu Laigwanani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani.Hahahahahaha
Kadogo bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio kongwe kuliko ile. Izoee tu mama.
[emoji3] [emoji3] , wanahofia nini kwaniHuwa wanakataa tu, kuna mtu nafahamu id zake 3 lakini ukimuuliza anajifanya kuikana.
[emoji3][emoji3][emoji3]
PoleMUKI1990
M....Mukitaka.
U....Uongozi.
K....Kuweni na
I.....Ihsani.
1990 ni mwaka ambao siwezi kuusahau wazazi wangu waliuwawa na kikosi cha watanganyika kisiri siri lengo ni kudhoofisha kudai haki za zaznibar.
Kingozi! Akili yangu ni nzito sana.KAYEMBA
Kayemba ni jina/title ambalo mzazi wangu analomuita mzazi wa mke wangu kwa kule kwetu nyanda za juu kusini. Sasa mimi nimefanana sana na babu yangu mzaa mama hivyo babu na bibi upande baba wakawa wananiita KAYEMBA
Haha in terms of counting heyWith all due respect, I see only two (2) vowels