Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Subiri nijipange boss.Twendezetu tukapunguze stress..[emoji16][emoji16]..Ule upweke wa ugeni wala hautakuwepo
Haya nikikutangulia nitakuandalia makao..[emoji23][emoji23]Subiri nijipange boss.
Nauli tu ukute Ni mashamba 10 ya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kwenda huko Ni Hadi bongo pasieleweke kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitashukuru boss.Haya nikikutangulia nitakuandalia makao..[emoji23][emoji23]
So hautateseka pa kufikia wiki ya kwanza..[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitashukuru boss.
Umenikumbusha injili ya yohana Yesu alipokaribia kupaa mbinguni
Mkuu hilo lako una maana gani?Jina Gani Mkuu Maana Umeniacha Njia Panda
All the best.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli...ushauri wangu wa bure...kwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza laki 5 na kuendelea kwa kila mwezi, simshauri hata kuwaza kwenda ughaibuni.....labda uende kutembea au upate kazi zinazolipa kuanzia $ 2500...hapo sawaAll the best.
Mimi kwa hizo hesabu ulizonipigia hapo juu Ni Bora Nibaki bongo tu
basi tuko tofauti.Maisha ya huko ningeyapendea kitu kimoja tu..hakuna kujichanganya changanya hovyo.. Mimi siinjoy Sana kusocialize na watu..Ni kweli...ushauri wangu wa bure...kwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza laki 5 na kuendelea kwa kila mwezi, simshauri hata kuwaza kwenda ughaibuni.....labda uende kutembea au upate kazi zinazolipa kuanzia $ 2500...hapo sawa
Ukiwa na hela bongo maisha matamu....[emoji28][emoji28] haswa linapokuja suala la socialization...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ni kweli...ushauri wangu wa bure...kwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza laki 5 na kuendelea kwa kila mwezi, simshauri hata kuwaza kwenda ughaibuni.....labda uende kutembea au upate kazi zinazolipa kuanzia $ 2500...hapo sawa
Ukiwa na hela bongo maisha matamu....[emoji28][emoji28] haswa linapokuja suala la socialization...
Kwa kuwa umegoma kwenda, basi na mi siendi..[emoji23][emoji23]
hahahhaha umetisha sana kiongozi!Mm nibiru X niliitwa hivyo maan nilizunguka kijijini kuwaambia watu kuna sayari inawaka moto inakuja kugonga dunia lakini haikuja tena hivyo nikataniwa nibiru nibiruuu huyoo
Boss embu nambie ukweli.. Humble African Ni wewe!?hahahhaha umetisha sana kiongozi!
Leo nalewa nyumban kwa kuibia wamenipa vidonge wameniambia nisinywe na huyu mdada hapa yupo hapa ananisaidia saidia mambo ya home ni jirani yangu
anapiga patrol kuchek Kama nina mzgo ila nimetia konyag zangu kweny kidumu cha Kilimanjaro bado hajagundua anajua nakunywa maji
Haya mambo ya kufatiliana haya ngoja nimkaushie tu maana ananiambia akiniona nalewa atamwambia baba mwenye nyumba mi mgonjwa nalewa ntamletea murder case
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa home sicknesses niliyo experience kipindi naishi, dah...sitaki kwenda mwenyewe.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Eti kwa kuwa nimegoma Na wewe huendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..embu kuwa Serious boss.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti Yesu anashukaHahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa home sicknesses niliyo experience kipindi naishi, dah...sitaki kwenda mwenyewe.....
Unaujua upweke, sijui hata nielezeje...bora hapa bongo unaweza ukasikia hata jogoo wanapigana huko nje ukatoka ukawaangalia...
Yaani nilikuwa nikikutana na mtanzania, tukaonhea kiswahili naona yesu ameshuka..[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Anamaanish Hilo jina Kichwa kichafu .linasadifu nini ndani yake??
[emoji848] upo sawaHivi kaka yangu unadhani pombe zitabadilisha uhalisia wa Mambo yaliyotokea!???
Ukweli Ni kwamba pombe zitakuchakaza tu, sometimes ukilewa Sana unakuwa Kama mjinga km jinsi ulivyosema kwamba unaweza lala bar,utatapika,,unahatarisha afya yako...
Huoni Kama Ni hatari kunywa wakati mgonjwa!??. huoni km inaweza kukusababishia madhara au kifo kabisa?.
-Vipi baada ya kunywa mawazo yameisha!.?
-Uhalisia wa Mambo umebadilika!?
Kuna faida gani katika pombe!??
Ukifikiria haya utajua ukweli kwamba uhalisia wa Mambo uko pale pale...
There is no way you can change your past my brother.. you have to accept it without any regret..
Now you have to handle your present with all your confidence.. don't allow your past to destruct your present and your future.
Kwanini usiachane na hayo maisha ya ulevi ambayo hayana faida yoyote, nadhani hata wewe umeona hayana faida,, Zaidi vitu vimebaki Kama vilivyotokea....
Natamani Sana ubadilike., nitafurahi Sana endapo utabadilika,,je upo tayari??
Tafakari tena,, maisha yako kiujumla..kweli kote ulikotoka,ndoto zako, Jinsi ulivyo fight huko nyuma,elimu yako..unataka vipite bure!??
Hukuzaliwa uishi hivi unavyoishi.
Hukuzaliwa uumie.
Tafakari tena
Yupo rafiki mmoja,mwaminifu,amejaa kweli.
MLEVi Mmoja
Rudi nyumbani.[emoji848] upo sawa
Thanks mkuu
Nitapunguza punguza kdogo kunywa
Teh! teh! npo fine na hapa nlpo mkuu bar hazipo mbali sana [emoji16] ..just jokingRudi nyumbani.
Wewe sio yule wa mwanzo.
Tengeneza upya...acha kuutafuta mwisho mbaya.