Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Twendezetu tukapunguze stress..[emoji16][emoji16]..Ule upweke wa ugeni wala hautakuwepo
Subiri nijipange boss.
Nauli tu ukute Ni mashamba 10 ya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu kwenda huko Ni Hadi bongo pasieleweke kabisa
 
Subiri nijipange boss.
Nauli tu ukute Ni mashamba 10 ya mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu kwenda huko Ni Hadi bongo pasieleweke kabisa
Haya nikikutangulia nitakuandalia makao..[emoji23][emoji23]
So hautateseka pa kufikia wiki ya kwanza..[emoji28][emoji28]
 
All the best.
Mimi kwa hizo hesabu ulizonipigia hapo juu Ni Bora Nibaki bongo tu
Ni kweli...ushauri wangu wa bure...kwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza laki 5 na kuendelea kwa kila mwezi, simshauri hata kuwaza kwenda ughaibuni.....labda uende kutembea au upate kazi zinazolipa kuanzia $ 2500...hapo sawa

Ukiwa na hela bongo maisha matamu....[emoji28][emoji28] haswa linapokuja suala la socialization...

Kwa kuwa umegoma kwenda, basi na mi siendi..[emoji23][emoji23]
 
basi tuko tofauti.Maisha ya huko ningeyapendea kitu kimoja tu..hakuna kujichanganya changanya hovyo.. Mimi siinjoy Sana kusocialize na watu..
Wacha nipambane tu bongo hapahapa..hizo hela za kwenda kutembea marekani nazitolea wapi!?[emoji23][emoji23]
 
Ni kweli...ushauri wangu wa bure...kwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza laki 5 na kuendelea kwa kila mwezi, simshauri hata kuwaza kwenda ughaibuni.....labda uende kutembea au upate kazi zinazolipa kuanzia $ 2500...hapo sawa

Ukiwa na hela bongo maisha matamu....[emoji28][emoji28] haswa linapokuja suala la socialization...

Kwa kuwa umegoma kwenda, basi na mi siendi..[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Eti kwa kuwa nimegoma Na wewe huendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..embu kuwa Serious boss.
 
Mm nibiru X niliitwa hivyo maan nilizunguka kijijini kuwaambia watu kuna sayari inawaka moto inakuja kugonga dunia lakini haikuja tena hivyo nikataniwa nibiru nibiruuu huyoo
 
Leo nalewa nyumban kwa kuibia wamenipa vidonge wameniambia nisinywe na huyu mdada hapa yupo hapa ananisaidia saidia mambo ya home ni jirani yangu
anapiga patrol kuchek Kama nina mzgo ila nimetia konyag zangu kweny kidumu cha Kilimanjaro bado hajagundua anajua nakunywa maji
Haya mambo ya kufatiliana haya ngoja nimkaushie tu maana ananiambia akiniona nalewa atamwambia baba mwenye nyumba mi mgonjwa nalewa ntamletea murder case

Unetisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Eti kwa kuwa nimegoma Na wewe huendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..embu kuwa Serious boss.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa home sicknesses niliyo experience kipindi naishi, dah...sitaki kwenda mwenyewe.....
Unaujua upweke, sijui hata nielezeje...bora hapa bongo unaweza ukasikia hata jogoo wanapigana huko nje ukatoka ukawaangalia...
Yaani nilikuwa nikikutana na mtanzania, tukaonhea kiswahili naona yesu ameshuka..[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti Yesu anashuka
Mimi huko kungenifaa Sana yaani.
Kuna muda huwa sitamani hata kutoka nje..najichimbia ndani tu..huko Ni kuzuri Sana.
Ila ung'eng'e ungenipa tabu..mambo ya kuo gea hicho zidhungu mbona Ni shughuli ngumu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..maana nimezoea kiswahili na lugha ya kikabila kidogo.
 
Hivi kaka yangu unadhani pombe zitabadilisha uhalisia wa Mambo yaliyotokea!???
Ukweli Ni kwamba pombe zitakuchakaza tu, sometimes ukilewa Sana unakuwa Kama mjinga km jinsi ulivyosema kwamba unaweza lala bar,utatapika,,unahatarisha afya yako...
Huoni Kama Ni hatari kunywa wakati mgonjwa!??. huoni km inaweza kukusababishia madhara au kifo kabisa?.
-Vipi baada ya kunywa mawazo yameisha!.?
-Uhalisia wa Mambo umebadilika!?
Kuna faida gani katika pombe!??
Ukifikiria haya utajua ukweli kwamba uhalisia wa Mambo uko pale pale...
There is no way you can change your past my brother.. you have to accept it without any regret..
Now you have to handle your present with all your confidence.. don't allow your past to destruct your present and your future.

Kwanini usiachane na hayo maisha ya ulevi ambayo hayana faida yoyote, nadhani hata wewe umeona hayana faida,, Zaidi vitu vimebaki Kama vilivyotokea....
Natamani Sana ubadilike., nitafurahi Sana endapo utabadilika,,je upo tayari??
Tafakari tena,, maisha yako kiujumla..kweli kote ulikotoka,ndoto zako, Jinsi ulivyo fight huko nyuma,elimu yako..unataka vipite bure!??
Hukuzaliwa uishi hivi unavyoishi.
Hukuzaliwa uumie.
Tafakari tena
Yupo rafiki mmoja,mwaminifu,amejaa kweli.
MLEVi Mmoja
[emoji848] upo sawa
Thanks mkuu
Nitapunguza punguza kdogo kunywa
 
Rudi nyumbani.
Wewe sio yule wa mwanzo.
Tengeneza upya...acha kuutafuta mwisho mbaya.
Teh! teh! npo fine na hapa nlpo mkuu bar hazipo mbali sana [emoji16] ..just joking

Tengeneza upya..? [emoji848] I will consider that and thanks

Mwisho mbaya?. Hakunaga mwisho mbaya wala mzur mwisho ni mwisho tu
Anyway thanks again mkuu
 
Back
Top Bottom