Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

ISIS the one and only Goddess,
Najisikia mimi ni Mungu
IMG_3090.jpg

IMG_0877.jpg

IMG_0063.jpg
 
Sasa nimeelewa wale waliokuwa wanasema unatafuna lile jani maarufu. Ushaweka rasta mpya?

Bushmamy nikiwa namaanisha kuwa napenda asili, vitu vya asili,
Sio mtu wa kujiweka kimjini mjini sana, hata muonekano wangu pia ni wa asili asili
 
Yes digging deeper means mtu anayechimba sana katika mambo mbalimbali neno hili nililipata kwenye kitabu cha ngaiza advanced chemistry ambapo kulikuwa na quiz kwenye kitabu ambazo zilikuwa sio lelemama alikuwa anachimba sana maswali ya topic
 
Sasa nimeelewa wale waliokuwa wanasema unatafuna lile jani maarufu. Ushaweka rasta mpya?
Dah kuanza tena rasta upya sio mchezo Bablaii, umri ushanitupa mkono sana 🎅 nadili na afro tu Sasa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
luambo Makiadi
Mimi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za Rhumba Sasa huwa namkubali Sana huyu mwamba ndio maana nikajiita hivyo
 
INSIGNE is a sign or mark distinguishing a group, grade, rank, or function. It can be a symbol of personal power or that of an official group or governing body.
 
id yangu inaendana na uhalisia ulivyo na lilitokaga wakati ule wa jambo chat ama tuseme wakati tunatumia michuzi tunachat wote sehemu mmoja tu
 
Back
Top Bottom