Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Giannis mzee wa Bucks...ngoja tuone playoffs za mwaka huu.Antetokounmpo,watu wa NBA wanaujua umwamba wa huyu jamaa kweny kikapu, last season alkua Mvp ....En I love basketball so nikaona inafaa kutumia jna lake huku kwa great thinkers kumwakilisha Mwamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Antetokounmpo,watu wa NBA wanaujua umwamba wa huyu jamaa kweny kikapu, last season alkua Mvp ....En I love basketball so nikaona inafaa kutumia jna lake huku kwa great thinkers kumwakilisha Mwamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliona slam dunk contest ya mwaka huu? Aisee Aaron Gordon kafunikwa mbaya na Jones Jr hadi akawa anarudia ma danki. Jamaa alimruka Tacko FallGiannis mzee wa Bucks...ngoja tuone playoffs za mwaka huu.
Mim kwa upande wangu, Aaron gordon ndo alshnda....kumruka Tacko Fall sio mchezo, jamaa height yake ni 7.5 meterUliona slam dunk contest ya mwaka huu? Aisee Aaron Gordon kafunikwa mbaya na Jones Jr hadi akawa anarudia ma danki. Jamaa alimruka Tacko Fall
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweny playoffs, wazee hua wanamkamia sana En Kwa Bucks ukimshka yeye tu, Team nzima umeishkaa.Giannis mzee wa Bucks...ngoja tuone playoffs za mwaka huu.
Mim kwa upande wangu, Aaron gordon ndo alshnda....kumruka Tacko Fall sio mchezo, jamaa height yake ni 7.5 meter
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana, sema ndo hivo hana kumbe la dunk, af ndo alsema hashirik tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha si yamebadilika lakini kwa upande wako?Duuu,,,................................
Niliwahi kufanya kazi Na maprofessor wa Harvard miaka ya 2004 moshi, nikazinguana na mabosi zangu walikua wananilipa vizuri sana kipindi hicho kazi yenyewe nilipata kibahati then nikaacha kazi kwa hasira, nikaingia mtaani nikahustle saana tuu kwa 2 years then nikaishi porini huko tanga kwa mwaka mmoja maji ya madimbwi kuoga ilikua ishu no phone no what msosi ilikua ishu nikarudi mjini nikapigwa miezi sita jela nikatoka nikaenda znz mwaka 1 porini kabisa huko kizimkazi kwenda hta town ilikua ishu nikateseka na wachina kinoma tulikua tunajenga mi kama kibarua then,,,, mwaka jana nikaingia mjini mambo yakaanza kwenda saafi....noti ikakubali na hapo nikafikiriiiiiiaaa weeeee nikagundua kweli "maishapopote" Hiyo avatar ni picha ya arnold schwazernegger akiwa gym miak ile eee kipindi kile akiwania mr olympius then nikaangalia mtiririko wa maisha yake hadi sasa amekua gorvenor bado naamini
maisha popote...........na sikati tamaaa!!!!!!!!!!!