Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Antetokounmpo,watu wa NBA wanaujua umwamba wa huyu jamaa kweny kikapu, last season alkua Mvp ....En I love basketball so nikaona inafaa kutumia jna lake huku kwa great thinkers kumwakilisha Mwamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you say that someone is licking their wounds, you mean that they are recovering after being defeated or made to feel ashamed or unhappy.

Ila niliipenda hii phrase from Lucky Dube's song Victims

Still licking Wounds from brutality
Still licking Wounds from humiliation...

I hope u got the meaning,ain't it?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu jf
Kama maada inavojieleza!!
Waswahili wanasema "wakipunga naww punga"

Ndo nilichokikuta hapa jf miaka kadhaa huko nyuma!! Nilipofungua acc hapa.....
Watu hawatumii majina yao halisi au picha zao halisi asilimia kumbwa 90's% hivi.....sijajua kwann

Lakini watu hao hao wako Instagram n fb kwa acc zao real na wanapost au kuonesha sura zao!!

Sasa swali Je ni kwanini jf watu hawafanyi hivo kuweka ID zao !!?

Kuna uhusiano na kuamini app za waazungu kuliko zetu!?

Comment yako n muhimu Sana hasa kujua nn n nn?

Shukran
Jf
 
Duuu,,,................................
Niliwahi kufanya kazi Na maprofessor wa Harvard miaka ya 2004 moshi, nikazinguana na mabosi zangu walikua wananilipa vizuri sana kipindi hicho kazi yenyewe nilipata kibahati then nikaacha kazi kwa hasira, nikaingia mtaani nikahustle saana tuu kwa 2 years then nikaishi porini huko tanga kwa mwaka mmoja maji ya madimbwi kuoga ilikua ishu no phone no what msosi ilikua ishu nikarudi mjini nikapigwa miezi sita jela nikatoka nikaenda znz mwaka 1 porini kabisa huko kizimkazi kwenda hta town ilikua ishu nikateseka na wachina kinoma tulikua tunajenga mi kama kibarua then,,,, mwaka jana nikaingia mjini mambo yakaanza kwenda saafi....noti ikakubali na hapo nikafikiriiiiiiaaa weeeee nikagundua kweli "maishapopote" Hiyo avatar ni picha ya arnold schwazernegger akiwa gym miak ile eee kipindi kile akiwania mr olympius then nikaangalia mtiririko wa maisha yake hadi sasa amekua gorvenor bado naamini
maisha popote...........na sikati tamaaa!!!!!!!!!!!
Maisha si yamebadilika lakini kwa upande wako?
 
Back
Top Bottom