Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Sasa nimeelewa wale waliokuwa wanasema unatafuna lile jani maarufu. Ushaweka rasta mpya?

Bushmamy nikiwa namaanisha kuwa napenda asili, vitu vya asili,
Sio mtu wa kujiweka kimjini mjini sana, hata muonekano wangu pia ni wa asili asili
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

wabongo sisi hujipachika majina
hatakama hayana maana yenyewe
humu ndani kuna semenya,gongaonga nk.
 
Yes digging deeper means mtu anayechimba sana katika mambo mbalimbali neno hili nililipata kwenye kitabu cha ngaiza advanced chemistry ambapo kulikuwa na quiz kwenye kitabu ambazo zilikuwa sio lelemama alikuwa anachimba sana maswali ya topic
 
Sasa nimeelewa wale waliokuwa wanasema unatafuna lile jani maarufu. Ushaweka rasta mpya?
Dah kuanza tena rasta upya sio mchezo Bablaii, umri ushanitupa mkono sana πŸŽ… nadili na afro tu Sasa
 
Reactions: BAK
luambo Makiadi
Mimi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za Rhumba Sasa huwa namkubali Sana huyu mwamba ndio maana nikajiita hivyo
 
INSIGNE is a sign or mark distinguishing a group, grade, rank, or function. It can be a symbol of personal power or that of an official group or governing body.
 
id yangu inaendana na uhalisia ulivyo na lilitokaga wakati ule wa jambo chat ama tuseme wakati tunatumia michuzi tunachat wote sehemu mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…