Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Huna lolote.
 
Mkuu napenda vile unavyowahi ku-jam
Huwa nacheka sn unavyowaporomoshea matusi
 
we popoma mbona Umesahau kutaja ugonjwa wako wa akili?
 
Hili jina nilipewa na rafiki yangu nilikutana naye chuga, nikalipenda tangia siku hiyo likastick kwa kichwa.

Nilipojiunga JF nikaona ndio sehemu rasmi ya kulitumia. Kama yupo huku anaweza kuconnect dots as tumepotezana kwa muda kidogo
Nilikuwa nakutafuta sana tangu tuachane ni muda mrefu hebu njoo PM.
 
Haha..
Genta kuna watu unawapaga furaha serious kabisa.??
I wonder walaqhi'..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…