Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Yeah njoo pm..Pm Tena jamn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah njoo pm..Pm Tena jamn
Jina lako nalo ni vere uniq😂Dah
Umenikumbusha miaka ya nyuma wakati najaribu kujiunga jf
Nilitumia majina ambayo yalikuwa yakipingwa vikali na moderators
We jamaa jina lako limekaa kiJoblessDah
Umenikumbusha miaka ya nyuma wakati najaribu kujiunga jf
Nilitumia majina ambayo yalikuwa yakipingwa vikali na moderators
Atakaye pata maana ya jina “Mbute na Chai” kuna zawadi nono.Nimejaribu kuvumilia nimeshindwa! Kuna majina huwa yananitafakarisha sana! Kila ninaposoma nyuzi za baadhi ya watu huwa najikuta nalitazama jina la muhusika na kuzama katika lindi la mawazo nikitafakari lina maana gani?
Hivi kwa mfano wewe Imeloa, una maana gani kujipa hilo jina? Ni nini hiyo iliyoloa? Kuna huyu Bwana Utamu nk. Majina yenu kwa kweli huwa yananifanya niwaze na kuwazua. Naomba mtushirikishe maana hasa ya kujiita mlivyoamua kujiita.
Jina lako lina maana yoyote? Tushirikishe tafadhali kwa nini umejipa jina hilo?
Kwangu mimi Elisha ni jina la meanangu. Wewe je? Hebu twende kazi! Kwa nini umejiita ulivyojiita? Hii ni kwa wote tafadhali siyo tu kwa ndugu Imeloa!
Ahsante
hahahahahah nilikua nataka nikutag Kwa kukuita kubwa la maadui GENTAMYCINEGENTAMYCINE Dawa Kabambe ya Kutibu...
1. Magonjwa Sugu na Fangasi zote tu
2. Kutibu Upumbavu Uliomtukuka Mtu
3. Kukuongezea Akili ambazo hauna
4. Kiboko ya Wanafiki na Wachokozi JF
5. Upweke kwa kukupa Furaha kila 27/4
6. Kupotea kwa Kumbukumbu Kichwani
7. Magonjwa yote yatokanayo na Zinaa
Dimwit.Huna lolote.
Aliyekubeba Tumboni mwake Miezi Kenda alipona lini labda huo ( huu ) Ugonjwa?we popoma mbona Umesahau kutaja ugonjwa wako wa akili?
We kajamaa una matusi kama mwanamke mwenye mimbaAliyekubeba Tumboni mwake Miezi Kenda alipona lini labda huo ( huu ) Ugonjwa?
Kiboko cha wambea na wanafiki😂😂😂GENTAMYCINE Dawa Kabambe ya Kutibu...
1. Magonjwa Sugu na Fangasi zote tu
2. Kutibu Upumbavu Uliomtukuka Mtu
3. Kukuongezea Akili ambazo hauna
4. Kiboko ya Wanafiki na Wachokozi JF
5. Upweke kwa kukupa Furaha kila 27/4
6. Kupotea kwa Kumbukumbu Kichwani
7. Magonjwa yote yatokanayo na Zinaa
Genta huwa ana hasira na ghadhabu za haraka.Mkuu napenda vile unavyowahi ku-jam
Huwa nacheka sn unavyowaporomoshea matusi
Nimejaribu kuvumilia nimeshindwa! Kuna majina huwa yananitafakarisha sana! Kila ninaposoma nyuzi za baadhi ya watu huwa najikuta nalitazama jina la muhusika na kuzama katika lindi la mawazo nikitafakari lina maana gani?
Hivi kwa mfano wewe Imeloa, una maana gani kujipa hilo jina? Ni nini hiyo iliyoloa? Kuna huyu Bwana Utamu nk. Majina yenu kwa kweli huwa yananifanya niwaze na kuwazua. Naomba mtushirikishe maana hasa ya kujiita mlivyoamua kujiita.
Jina lako lina maana yoyote? Tushirikishe tafadhali kwa nini umejipa jina hilo?
Kwangu mimi Elisha ni jina la meanangu. Wewe je? Hebu twende kazi! Kwa nini umejiita ulivyojiita? Hii ni kwa wote tafadhali siyo tu kwa ndugu Imeloa!
Ahsa
Kuna hawa Mimi sikulamba sukari na Jana Ulirudi Usiku